Treni kusafirisha wananchi Dar es Salaam

The Dar metro transit train project would have been completed as we are talking had it not been for the stupidity, jealousy and ignorance of the TRC workers whose intention was to block any good moves that were put in place by the RITES management.

She****nzi mkubwa wewe! Mnakuja kutuibia then unaleta upupu wako hapa! Mod niban kwa miezi miwili nisiendelee kuuona ujinga wa wahindi hawa! Ninavyowachukia wahindi...khaaaaa only God knows!!
 
She****nzi mkubwa wewe! Mnakuja kutuibia then unaleta upupu wako hapa! Mod niban kwa miezi miwili nisiendelee kuuona ujinga wa wahindi hawa! Ninavyowachukia wahindi...khaaaaa only God knows!!

Oooh c'mon man!
Don't be so mad. Let's discuss issues here on JF and not racism!
Relax!
 
The Dar metro transit train project would have been completed as we are talking had it not been for the stupidity, jealousy and ignorance of the TRC workers whose intention was to block any good moves that were put in place by the RITES management.

Kwanini msituachie nchi yetu? Huwa ninapata hasira sana ninapoona mtu anatetea upumbavu.Yaani unawatetea RITES? mwanzoni nilifikiri umetumia jina lao tu lkn sasa naanza kuamini kuwa wewe ni mwenzao na hao BOGUS INDIAN INVESTORS.
 
kwa kweli mwaka ambao serikali yetu ya TZ itatatua tatizo la foleni barabarani na shida za public transportation dar, mimi nadhani ndio mwaka huo huo itakuwa kiama/kurudi kwa yesu mara ya pili, yaani ni jambo tunalilofikiria litafinyika lakini hatuna uhakika zaidi ya kuwa na imani tu! LOL
 
Its not about racism,hawa wahindi wameshindwa kazi.wafanyakazi wanasuffer,maisha yao ni magumu mno.jk anawabeba mno
 
Itaongeza msongamano Dar unless waweke uderground tunnels, this is is a lie because 4.8 billions is not enough.
 
ujui wametangaza hiyo wakiingiza mkononi wanadai hela imekuwa ndog wanongeza muda nhci italiwa na wenye nchi tu
 
She****nzi mkubwa wewe! Mnakuja kutuibia then unaleta upupu wako hapa! Mod niban kwa miezi miwili nisiendelee kuuona ujinga wa wahindi hawa! Ninavyowachukia wahindi...khaaaaa only God knows!!

Huwezi amini kuna mhindi nimekutana nae yupo tofauti sana na wenzie (roho nzuri sana) na akaniambia hataki kabisa kuwa karibu na wahindi wenzake na sababu hakuisema.Usiwachukie sana sio wote wana uroho ya uhindi.
 
Lengo halisi si kuondoa kero ya usafiri..wameibua mradi huu ili wapate sababu ya kuombea fungu la fedha..milioni elfu nne na mia nane (4.8b)..wakishapata tu hautasikia tena habari za mradi..na wakiulizwa na wanahabari huwa wakali na wakibanwa zaidi watatoa sababu za kutunga za kushindwa kwa mradi...tumeona miradi kama hii mwisho wake huwa kama hivyo.
 
Back
Top Bottom