Transcription na soko la Ajira, inawezekana kweli?

Mr. Masasi

Member
May 12, 2011
53
4
Wana jf habari zenu? Hv kweli kuna uwezekano wa kupata ajira kwa kutumia transcript badala ya original certifate ya chuo? Nisaidien kimawazo mana nategemea kumaliza chuo mwaka huu na ninampango wa kupata kazi mapema! Kwa tarifa tu nilizo nazo vyeti huchukua zaidi ya mwaka. Nisaidien wadau
 
unampango wa kupata kazi mapema kwa style gani? maana hii nchi ina mambo yake katika suala la ajira, kupata kazi kwa kutumia transcript inategemea na compuny gani inayotaka kukuajiri.
 
nyengine pia huangalia cv tu.
na kama ni mtu wa watu basi hata hiyo transcript ni useless. kwa mdomo tu huyu mwanangu mchukue
 
Baba yako au mjomba yupo serikalini bila shaka,vinginevyo usingesema unategemea kupata ajira mapema sana.
 
Samahani wadau, lengo langu lilikuwa nikusema kwamba nampango kuanza kutafuta kazi mapema, na sio kupata kaz mapema, sina mjomba wala baba ambaye yuko serikalin mwenye uwezo wa kunisaidia
 
kutafuta kazi pia ni kazi bora uanze mapema na kama unawadau wa ukweli anza ku wa set la sivyo itakula kwako
 
Back
Top Bottom