TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

kulifuatilia hili lalamiko na kutoa maagizo ya kutatua kero hii.

20201217_081408.jpg


Tunashukuru kwa serikali kufuatilia.
Hayo tunayosema si majungu, ni ukweli kabisa.
Hongera Dr Mpango.
In the long run, TA itaikosesha mapato serikali, kwa jinsi wanavyo disenfranchise walipakodi, hasa wazalendo
 

Baadhi ya malipo ambayo yapo subject na withholding tax ni kama
1.Paye
Hapa withholding unapiga kwenye gross before any deduction
2.secondary employment.
The same as primary tofauti ni rate tu
3.annual part time director fee
Inapigwa kwenye gross

4.malipo ya insurance premium kama ume-insure kwenye makampuni ya bima yaliyo nje nchi.
Inapigwa kwenye gross
5. Malipo ya kamisheni ya mawakala wa Mpesa, tigopesa etc
Kama wakala ametengeneza kamisheni ya mil.1 anapigwa withholding tax ya 10%
6. Kama una-supply bidhaa ofisi za serikali, kabla hujalipwa unapigwa withholding tax ya 2% ya gross
7.umenunua hisa , ukalipwa gawio.kabla hujalipwa unakatwa 10%
8.umeweka pesa kwenye fixed deposit ukapata interest, kabla hujalipwa unakatwa 10% ya gross
9.una kitalu chako cha mgodi au shamba lako ukaamua kukodisha watu walime au wachimbe kupata madini, kabla hawajakulipa wanakukata 15% ya gross
10.umepangisha fremu zako za biashara au apartment for business purpose, kabla hujalipwa unakatwa 10% ya annual gross amount
11.umekodisha ndege kama chadema walivyokodisha ndege kwa Lissu alipopigwa risasi, chadema walikata witholding tax ya 10% kabla hawajamlipa
11.ndege za biashara zinazomilikiwa na non resident na hawana ofisi Tanzania, wakiwa wanapita Tz (in transitl kwa maana wakishusha abiria, haina shida , ila ikatokea wakapakia hapa nchini yule general agent wa tiketi anatakiwa akate withholding tax ya 15% kwa nauli za abiria waliopakiwa airport za tz.kama hujaelewa vizuri mfano zamani watu wanaokwenda bukoba walikuwa wanapita Nairobi na Uganda ndio wafike bukoba, sasa kwa abiria waliopakia DSM au mkoa wowote wa tz mf.arusha na anaenda bukoba hakuna withholding tax ila akipakia mteja Kenya au Uganda na huyo mteja anakuja tz, yule agent wa tiketi wa Kenya au Uganda atakata witholding tax na kupeleka TRA za Kenya au Uganda.na hizi zinapigwa on gross

Sasa tuje kwenye service , nikueleweshe vizuri.
Service inayokatwa withholding tax, zinategemea huyo anayetoa service ni resident au non resident
(i) incase of resident service provider, service inayomaanishwa hapa ni professional service na ni 5%, na sio any service.mfano cleaning and sanitation service ni service lakini sio professional service hivyo hizi kampuni za usafi maofisini hatuzicharge withholding tax
(ii) incase of non resident service provider, service inayozungumziwa hapa ni all services.hatubagui na ni 15%.

Sasa kuna njia tofauti 6 za kucharge withholding tax depend na aina ya mkataba wa hiyo huduma. Ukitaka darasa na hili nitakupa nikipata muda.

Sasa kuwa specific huelewi nini nikueleweshe
Hayo majibu ya kukariri unayapata TRA mkuu.
Umeulizwa maswali ya kutumia akili unapiga chenga tu!
 
Nmesoma comments za watu wengi humu...nikagundua kama serikali haitakaa sawa kutengeneza partnership na wafanyabiashara basi nchi badala ya kuwa ya wafanyakazi wakulima na wafanyabiashara basi itaenda kuwa nchi itaenda kuwa ni ya wafanyalumumba tu....

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hayo majibu ya kukariri unayapata TRA mkuu.
Umeulizwa maswali ya kutumia akili unapiga chenga tu!
Kuna siku nilibishana na mtu humu mpaka tukahamia PM, baada ya miezi michache tukawa marafiki, ndio nikajua yuko mwaka wa 3 Udom.
I feel the same smell here
 
U
Kuna siku nilibishana na mtu humu mpaka tukahamia PM, baada ya miezi michache tukawa marafiki, ndio nikajua yuko mwaka wa 3 Udom.
I feel the same smell here
Ulipokuwa unamaliza praimari sisi tayari ni proffessionals.
Nakukumbusha mara nyingine tena dont beat around the bush, jibu hoja.
 
Haya ndio yanayoendelea na yamekuwa common nchi nzima kwa kuwabambikia kodi wazalendo kiasi kwamba kuna ambao wanafunga hizi biashara na rushwa wanailamisha sana.

Rafiki yangu wa AR walimwambia kwa miaka kumi anadaiwa 70M akaonyesha mahesabu yake yote yaliyovyokuwa (tax clearance) lakini wapi walibanana nae hadi ikawa 30M hapo wakakomaa alipe. Hadi sasa hajui anazipata wapi!
Huyo rafiki yako ameshalipa kodi TRA kiasi gani?
 
Nchi inaendeshwa na wahuni wanaodhani kujua idadi ya samaki waliomo hlbahari ya hindi ndio maendeleo ya nchi....

Ulimbukeni wa hali ya juu sana
 
Waziri mipango ongeza idadi hao 22 ni wachache mno, vinara wa kuwabambikia kodi kubwa na kufunga Account za wafanyabiashara wapo ilala na Kinondoni pitia huko utawakamata wengi wapenda Rushwa
 
Back
Top Bottom