TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

It has been challenging and painful experience. nafikiri sasa TRA wameona yale tuliyokuwa tunayalalamikia sana tena kwa muda mrefu. Ile njia ya kufikia malengo kwa kurudia hesababu za nyuma na kuja na makodi kibao ulikuwa wizi mtupu. Ilikuwa dhuluma
 
Naunga mkono sheria nyingi za Kodi ni kandamizi, TRA ni watekelezaji tu wakulaumiwa ni wawakilishi wetu bungeni waliotunga na kupitisha sheria hizo.Pitieni upya sheria za Kodi ziwe rafiki kwa pande zote mbili.TRA wakiamua kusimamia sheria ipaswavyo ni vilio na kusaga meno kwa walipa kodi.
Wao ni wanufaika wakubwa wa utekelezaji sheria hizo. Wengi wananuka rushwa. Wengi ni wala rushwa wakubwa
 
Wao ni wanufaika wakubwa wa utekelezaji sheria hizo. Wengi wananuka rushwa. Wengi ni wala rushwa wakubwa
Nina pendekeza Serikali iwachunguze wafanyakazi wake wa TRA na mali wanazomiliki.
Wafanyakazi hao si wengi kiasi cha kushindwa kudhibiti jinsi walivyojipatia mapato yatokanayo na rushwa.
 
Wao ni wanufaika wakubwa wa utekelezaji sheria hizo. Wengi wananuka rushwa. Wengi ni wala rushwa wakubwa
CAG wa sasa Ndg Kichere, aliwahi kuwa Commissioner General wa TRA, wakati wizi huuunaanza kuoga mizizi.
Kwa hali inavyoelekeawalikuwa wanatekeleza amri toka juu namna ya kuibia wananchi wake.
 
Dhuluma tupu
Ni kweli kabisa.
Pamoja na malalamiko haya ya muda mrefu, hakuna hatua yoyote ya makusudi iliyochukuliwa na serikali kutatua tatizo hili.
Hapa unaweza kubaini kuwa haya yote yalifanyika kwa ridhaa ya serikali, maana kuna watu walikuwa wanafaidika kwa namna moja au nyingine binafsi kwa wizi huu..

Na kwa sasa hivi inabidi tuwashangae wale wanaomwona Mama Samia mbaya, ingalae yeye amekemea tatizo hili.
 
Back
Top Bottom