Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,734
- 2,265
Hongera Dr Mpango.kulifuatilia hili lalamiko na kutoa maagizo ya kutatua kero hii.
Tunashukuru kwa serikali kufuatilia.
Hayo tunayosema si majungu, ni ukweli kabisa.
In the long run, TA itaikosesha mapato serikali, kwa jinsi wanavyo disenfranchise walipakodi, hasa wazalendo