Tra oral interview feedback

Aise., basi tuwapongeze wale waliopata., nasisi tuliokosa wakati huu tuendelee kuitafuta nafasi ambayo ipo kwaajili yetu mahali pengine kwa vyovyote! hongereni sana.,

Haya ndo maneno,halafu c rahs waitwe watu woote leo waishe ,there is smthn a day n time 4 othrs includn you.don gv up.so put a smile on face all who are broken hearted:)
 
huo ndio ukweli mtupu ndugu fikra mlazo,sio upotoshaji,,,wameita leo wamemamliza assistant tax officers,mpe pole rafikiyako mwambie there is always next time asikate tamaa
 
taarifa kamili ni hizi hapa
wameita jumla ya watu 72 tuu,na hao watu 72 wanatakiwa wafike kesho makao makuu ya tra saanne asubuhi kuchukua barua zao,na hao 72 wote wamepigiwa wamepokea simu na wamepewa taarifa.......asanteni,tukutane kesho saanne asubuhi

vp kuhusu preventive wameitwa?
 
Back
Top Bottom