Kama hajapata kazi hadi leo hatokuja kupata kamwe

The best way

Member
Mar 16, 2023
23
53
Habari za juma pili

Naomba nichukue fursa hii ku-share mkasa mmoja uliomkuta rafiki yangu wa karibu sana kwa jina anaitwa Said.
saidi huyu ni mshikaji wangu niliekutana nae chuo na tukawa marafik wa kubwa tu, kiasi kwamba hadi familia zetu zikaja kuwa marafiki kupitia sisi.
Tulifanikiw kumaliza chuo wote, tukaingia mtaani rasmi kutafuta kazi au biashara ya kufanya, sasa katika miangaiko huku na huku tukajikutaa tunatengana mikoa na tukawa tunawasiliana tunapokuwa free.

jamaa yangu alikuwa na bahati sana ya kuitwa kwenye interview na alikuwa anafany vizur tu ila swala la kuitw kazini ndio lilikuw tatizo lake lililo-mtesa nami kama rafiki yake pia lilikuwa linaninyima raha. japo wote kwa muda huu hatukuwa na kazi ile bora yeye alikuwa anaitwa hata kwenye interview tofauti na mimi hata shortlisted list sijawah kuwepo 😀😀😀😀.

Siku moja alinipigia simu , nakuniambia kaka nataka tuongee ukiwa free nikamjibu sawa nitakutafta maana mda huo nilikuwa kwenye pilikapilika zangu, siku ile ikapita sikumtafta akaja kunitafta yeye kesho yake asubuhi na kunimbia : kaka kuna jambo nataka tuongee, nikakaa vizuri kumskiliza akaanza kuniambia kuwa Farida kamtafta kuwa mtot anaumwaa sana akamuuliza je amerdhika mtoto wake afe bila kumuona au kumskia?

Ikabidi nimuulize farida ni nan maana sijawahi kumskia kabla , ndio akaniambia kuwa alikuwa ni girlfriend wake kipindi wapo sekondari, ikabidi nimuulize kwahyo ulizaa nae ? akanijibu kuwa anajua kuwa farida anamtoto ila nahisi sio wangu (kwa maana nyingine alikataa mimba toka enzi hizo), huwa ananitafta kwa mwaka mara moja na akinipigia huwa sipokei simu yake ila jana ndio nikaona nipokee ndio nikakutna na hayo maneno yake.nikamuuliza uyo binti yupo wapi akanijibu yupo iringa ndio kwao. nikamuuliza kwahyoo unampango gani ?

Anajibu hana mpango wowte ule, maana mtoto sio wake, nikamuuliza uyo mtot anaumri gan akanijibu miaka 6 sasa. nikamuuliza tena so miaka yote hyo sita uyoo bintii bado anakukazia uyoo mtoto ni wako akajibu ndio.

Ikabidi ni nimwambie aende kumuona mtoto hata kama anahisi mtot sio wake na inawezekana kweli sio wake ila kiubinadamu ebu nenda kamuone dogo japo kwa shingo upandee tu, jamaa akakataaa akatoa na sababu yeye yupo mwanza na hana hiyo hela ya nauli kwa wakati huo na hajui huko atakuatana na nini , jamaa akakataa kabisa kwenda. basi story zikaishia hvyoo tukaagana.

kesho jioni akanipigia tena simu kaka yule mwanamke kanitafta ameniomba hela ya hospital mtoto amelazwa ikonda na wamejitahidi kama familia yao hawawez tena mtoto anaumwa sana. kaka mimi sijui nifanyanye maana hela sina ningempa japo najua kuwa mtoto sio wangu ningemsaidia tu kwa kuwa aliwahi kuwa girlfriend wangu, kaka kama unahela niazime niwatumie iwe nimetoa tu sadaka. ki ukweli sikuwa na hela ila kaakiba nilikuwa nacho kama laki 7 hivi, ikabidi ni mwambie anitumie hyo namba ya farida niweze kumtumia hyo hela japo wote hatukujua hosptal inaitajika shilingi ngapi , akanitumia namba kabla sijatuma hela ikabidi nimpigie nimuulize anaitaji shilingi ngapi? simu ikapokelewa na baada ya kujitambulisha nikawapa pole nikamuuliza hosptal wanaitaj kias gani akanijibu lak 5 na nusu basi nikamwambia nakutumia laki 6 hapo, poleni sana aya tukaagana nikamtumia ile pesa siku ikapita,kesho yake nayo ikapitaa bila kuwasiliana na saidi wala farida kuhusu hari ya mtoto.

Basi maisha yakaendelea na harakati za hapa na pale , ilikuwa juma 5 mida ya saa nne Asubuhi nikapokea simu namba ngeni, baada ya salamu akajitmblish yeye ni Farida ohoo hadi hapo nikajua naongea na nani, vip mtoto anaendeleaje akanijibua ajambo saiz ananafuu nimepiga simu kukushkuru nikamjibu asante utukufu apewe MUNGU, baada ya story mbili tatu akaniuliza hivi wew na SAIDI ni ndugu nikamjibu hapana ni marafiki lakni kama ndugu. akaniuliza tena Said anaishi wapi nikamwambia yupo mwanza mimi nipo dodoma,huko mwanza anafanya nini nikamjibu yupo anafanya biashara ndogo ndogo huku akisubiri ajira kama mimi , akaniuliza saidi amemaliza lini chuo nikamjibu ni mwaka wa tatu sasa , akaniuliza muda wote huoo ajawah kupata kazi nikamjibu ndio ila ipo siku atapata tu na atamtunza mtoto wake ( ambaye umezaa na farida) ikabidi nimpe moyo japo najua jamaa kashakataa mtoto toka enzi hzo kwahyo hata akija toboa sidhani kama atamjali uyoo chalii, sasa cha ajabu huyoo bintii alichonijibu ndio kilinipa utata hadi leo hii nikaona ni share huu mkasa na wengine wajifunze zaidi, KAMA AJAPATA KAZI HADI LEO HAWEZI PATA KAMWE, YEYE SI MJANJA SAWA TUONE.

Yani nikabaki nimeduwaa nikamuuliza unamaana gani unasema hvyoo akacheka akasema anatania tu.
basi tukaagana akakata simu.

Siku moja katika story za hapa na pale na Said katika simu tukajikuta tunazngumzia swala la kazi upatikanaji wake ulivyoo mgumu sana,ndio nikakumbuka ile kauli ya farida juu ya saidi , ikabidi nimwambie ila nikamwambia yeye amesema anatania ila nina was was na hyoo kauli kwann aseme kwa wakat huu na na aniambie mimi wakati sina utani nae na katika mazungumzo yetu yalikuwa ya siriazi hakukuwa na utani kabla,
saidi hakutilia maanani kama mimi so tukaipotezea ile kauli maisha yakaendelea.

Interview ya TRA dodoma. siku ya siku tukaitwa kwenye interview kabla ya hii ya mwisho ya juzi zilizofanyika kikanda, nikakutana na msela wangu tukapiga interview tukasepa yeye akarudi mwanza, majibu yakaja kutoka SAID kapata 49.5 na pass mark ni 50 na kibaya zaidi wote walioingia oral yan 50 above wakachukuliwa moja kwa moja kazin, yan kile kitu kilinitesa sana mimi binafsi juu saidi kwann saidi huwa anashindwa padogo sana kila wakati, tofauti na mimi ambaye hata kuita kwa enterview ni muujiza kwangu, ikabidi nimkumbuke Farida na kauli yake ile juu ya saidi, basi siku moja nikajikuta naumia sana juu ya saidi ni mtu ambay anahaso sana ila hamna kitu anapata kwa kweli, ikabidi nimpigie saidi tuongeee, katika story zetu nikaingizia story za farida jamaa akawa naitikia japo kishingo upande ,ikabidi nimwambie amtafte Farida kwann aongee kauli kama ile na wiki chache jamaa anakosa kazi katika mazingir tata sana, nikamwambia mtafute farida tena jishushe kuwa mjinga akulaumua alie weeee aongeee yote we itikia tu na kumuomba msamaha ilitujue ile kauli yake alimaanisha au ni utani kama alivyosema,kweli saidi alikuja atamtafuta farida na wakangea mengi sana ,
Mwisho wa siku farida akafunguka akasema nanukuu! SAIDI ULINIUMIZA SANA NIKAFUKUZWA SHULE SABABU YA MIMBA YAKO NA UKAIKATAA NIKAFUKUZWA NYUMBANI KISA MIMBA YAKO NIKAWA NAKUTAFUTA UNANIJIBU VIBAYA MARA UNANIBLOCK KWA KWELI NILIUMIA NA NINAUMIA SANA HADI LEO , SASA IPO HIVI NILIWEKA NADHIRI KUWA KAMA HUYU MTOTO NI WAKO USIFANIKIWE MAISHA YAKO YOTE HADI PALE UTAKAPOKUBALI HUYU MTOTO NI WAKO NA UJE UMSHIKE KWA MIKONO YAKO UTAMKE HUYU MTOTO NI WANGU, NA KAMA SIYO WAKO BASI UENDELEE NA MAISHA YAKO SINA SHIDA NAWEWE , NILIPOJIFUNGUA NILICHUKUA KITOVU CHA MTOTO NIKAKISEMEA MANENEO HAYO NA NIKAKIFUNGA KWENYE CHUPA MIEZI MITATU NDIO NIKAENDA KUKITUPA, SASA KAMA UNASEMA HUYU MTOTO SIO WAKO SAWA WEWE ENDELEA NA MAISHA YAKO ILA UKIONA NI WAKWAKO NA KUNA HAJA YA KUMTAMBUA KARIBU MUDA WOWOTE, mwisho wa nukuu.

Baada ya maongez hayo saidi alinipgia simu safari hii akiwa amepoa kwel kwel na kunipa story yotee na maongezi yalivyokuwa , Dah nilijihic vbaya sana na ilinimiza sana maana jamaa kama kupambna alikuwa anapambna kweli ila hamna kitu, tukaongea mengi kubwa ni kuwa tupange siku anipitie hapa dodoma twende huko iringa , japo hatujui kwel kama mtoto ni wetu au vipi ila katika kutafuta tusipuuzie kitu, kweli baada ya wiki mbili tukafanikiwa kufika iringa makete, basi tukatafuta wazee wawili tukawapanga tukawalipa tukaomba direction toka kwa farida tukafika kwao, tukapokelewa ,kesi ikaanza ikabidi tukubali yote tukapingwa faini tukalipa yani kifupi tulikubali kila kitu ili tu mambo yetu yaende ,basi baada ya taratbu zote tukaletewa mtoto tukamuona ni mtoto wa kiume, tukajitambulish kwake ,tukampa zawadi tulizombebea kama wazazi ,kutala kukaaga tukaondoka kurudi mjini, ili kesho yake tuwahi magari ya kwenda dodoma.

Ila kabla ya kuondoka tuliomba tuongea na farida nikiwa na saidi , ikabidi nimuombee jamaa yangu msamaha kwa yoteee, Farida hakuw na shida japo alilia sna sana hadi nikajuta kuwa mwenyekit wa kile kikaoo ila mwish wa sku farida akasema kuwa amemsameh jamaa hana shida nae tena yeye akaoe na awe na familia yake ila huyu mtoto asije kumsahau kamwe, basi tukaaga tukaondoka.

Njiani tukawa tunaongea wenyew kuwa ngoja tuone kama kweli yeye alikuwa chanzo au vip tukawa tunapiga stor tunachekaa ,ila ki ukweli yule mtoto afanani kabisa na jamaa na wala ndugu zake saidi ila hatukuwa na jinsi tulikubali tu kuwa ni wakwetu na kuahidi kumtunza kumsomesha hvyoo tu ili tuonee matokee ya utaftaji wa saidi.

Basi miezi ikapita mingi tu, ikatokea interview ya loan board (utumishi) kama kawaida tukaenda tukafanya interview tukasepa, majibu yakatoka jamaa kapitaa oral, akaenda kupika oral, jamaa akachomoa vizuri sana, akapangiwa kituo cha kazi Dar es salaam.
Japo jamaa bado anasisitza yule mtoto sio wake , na amepanga siku za mbeleni kwenda kupima DNA ,ila kwa hili lililotokea na ile kauli ya Farida inanipa mawazo hasi na mawazo chanya juu ya utafutaji ,na maisha ya binadamu ya kila siku.

karibuni wenye ujuzi zaidi katika mambo haya ila hili la SAIDI limenipa funzo kubwaa sana.
 
Haya mambo yapo mlikurupuka huyo ni mtoto wa Said ndiomana dua za farida zinakubalika, akienda kwa wasambaa akipima kuhusu mtoto atajua ukweli wote, mlienda na notion mbaya ingekuwa ngumu kuona ufanano wa haraka
 
Habari za juma pili

Naomba nichukue fursa hii ku-share mkasa mmoja uliomkuta rafiki yangu wa karibu sana kwa jina anaitwa Said.
saidi huyu ni mshikaji wangu niliekutana nae chuo na tukawa marafik wa kubwa tu, kiasi kwamba hadi familia zetu zikaja kuwa marafiki kupitia sisi.
Tulifanikiw kumaliza chuo wote, tukaingia mtaani rasmi kutafuta kazi au biashara ya kufanya, sasa katika miangaiko huku na huku tukajikutaa tunatengana mikoa na tukawa tunawasiliana tunapokuwa free.

jamaa yangu alikuwa na bahati sana ya kuitwa kwenye interview na alikuwa anafany vizur tu ila swala la kuitw kazini ndio lilikuw tatizo lake lililo-mtesa nami kama rafiki yake pia lilikuwa linaninyima raha. japo wote kwa muda huu hatukuwa na kazi ile bora yeye alikuwa anaitwa hata kwenye interview tofauti na mimi hata shortlisted list sijawah kuwepo 😀😀😀😀.

Siku moja alinipigia simu , nakuniambia kaka nataka tuongee ukiwa free nikamjibu sawa nitakutafta maana mda huo nilikuwa kwenye pilikapilika zangu, siku ile ikapita sikumtafta akaja kunitafta yeye kesho yake asubuhi na kunimbia : kaka kuna jambo nataka tuongee, nikakaa vizuri kumskiliza akaanza kuniambia kuwa Farida kamtafta kuwa mtot anaumwaa sana akamuuliza je amerdhika mtoto wake afe bila kumuona au kumskia?
Ikabidi nimuulize farida ni nan maana sijawahi kumskia kabla , ndio akaniambia kuwa alikuwa ni girlfriend wake kipindi wapo sekondari, ikabidi nimuulize kwahyo ulizaa nae ? akanijibu kuwa anajua kuwa farida anamtoto ila nahisi sio wangu (kwa maana nyingine alikataa mimba toka enzi hizo), huwa ananitafta kwa mwaka mara moja na akinipigia huwa sipokei simu yake ila jana ndio nikaona nipokee ndio nikakutna na hayo maneno yake.nikamuuliza uyo binti yupo wapi akanijibu yupo iringa ndio kwao. nikamuuliza kwahyoo unampango gani ?
anajibu hana mpango wowte ule, maana mtoto sio wake, nikamuuliza uyo mtot anaumri gan akanijibu miaka 6 sasa. nikamuuliza tena so miaka yote hyo sita uyoo bintii bado anakukazia uyoo mtoto ni wako akajibu ndio.

ikabidi ni nimwambie aende kumuona mtoto hata kama anahisi mtot sio wake na inawezekana kweli sio wake ila kiubinadamu ebu nenda kamuone dogo japo kwa shingo upandee tu, jamaa akakataaa akatoa na sababu yeye yupo mwanza na hana hiyo hela ya nauli kwa wakati huo na hajui huko atakuatana na nini , jamaa akakataa kabisa kwenda. basi story zikaishia hvyoo tukaagana.

Dunia iliumbwa Kwa Neno! Kila neno analotamka mtu Lina roho nyuma yake linalosimamia utekelezaji wa kilichotamkwa!
Haya mambo yapo sana tu!
Ni vile makanisani hawafundishi sana.
Ndo maana unatakiwa kabla hujalala au Kila baada ya muda fulani lazima uombe maombi ya kufuta maneno uliyonenewa popote pale ,maana wanaotunenea na hatuwajui ni wengi kuliko tunaowajua!
vile tu huyu kaka hakuwa na msaada wa kiroho,yaani maarifa!
Hapo ilitakiwa kwenda kwenye maombi,na kutubu halafu kutangua na kufuta hayo maneno, basi!
Sasa ni vile hakuwa na maarifa!

Hata hivyo asiache kuomba Ili kufuta hayo maneno hata km ye anaona yameisha.
 
Dunia iliumbwa Kwa Neno! Kila neno analotamka mtu Lina roho nyuma yake linalosimamia utekelezaji wa kilichotamkwa!
Haya mambo yapo sana tu!
Ni vile makanisani hawafundishi sana.
Ndo maana unatakiwa kabla hujalala au Kila baada ya muda fulani lazima uombe maombi ya kufuta maneno uliyonenewa popote pale ,maana wanaotunenea na hatuwajui ni wengi kuliko tunaowajua!
vile tu huyu kaka hakuwa na msaada wa kiroho,yaani maarifa!
Hapo ilitakiwa kwenda kwenye kwenye maombi,na kutubu halafu kutangua na kufuta hayo maneno, basi!
Sasa ni vile hakuwa na maarifa!

Hata hivyo asiache kuomba Ili kufuta hayo maneno hata km ye anaona yameisha.
Dah hatar sana ila nimejifunza kitu, nitamshauri aende huko kwa maombi, japo ni imani tofauti ila nitamwambia kama rafiki yake naamin atanielew maana aliyoyapitia anayajua mwenyewe
 
Habari za juma pili

Naomba nichukue fursa hii ku-share mkasa mmoja uliomkuta rafiki yangu wa karibu sana kwa jina anaitwa Said.
saidi huyu ni mshikaji wangu niliekutana nae chuo na tukawa marafik wa kubwa tu, kiasi kwamba hadi familia zetu zikaja kuwa marafiki kupitia sisi.
Tulifanikiw kumaliza chuo wote, tukaingia mtaani rasmi kutafuta kazi au biashara ya kufanya, sasa katika miangaiko huku na huku tukajikutaa tunatengana mikoa na tukawa tunawasiliana tunapokuwa free.

jamaa yangu alikuwa na bahati sana ya kuitwa kwenye interview na alikuwa anafany vizur tu ila swala la kuitw kazini ndio lilikuw tatizo lake lililo-mtesa nami kama rafiki yake pia lilikuwa linaninyima raha. japo wote kwa muda huu hatukuwa na kazi ile bora yeye alikuwa anaitwa hata kwenye interview tofauti na mimi hata shortlisted list sijawah kuwepo 😀😀😀😀.

Siku moja alinipigia simu , nakuniambia kaka nataka tuongee ukiwa free nikamjibu sawa nitakutafta maana mda huo nilikuwa kwenye pilikapilika zangu, siku ile ikapita sikumtafta akaja kunitafta yeye kesho yake asubuhi na kunimbia : kaka kuna jambo nataka tuongee, nikakaa vizuri kumskiliza akaanza kuniambia kuwa Farida kamtafta kuwa mtot anaumwaa sana akamuuliza je amerdhika mtoto wake afe bila kumuona au kumskia?
Ikabidi nimuulize farida ni nan maana sijawahi kumskia kabla , ndio akaniambia kuwa alikuwa ni girlfriend wake kipindi wapo sekondari, ikabidi nimuulize kwahyo ulizaa nae ? akanijibu kuwa anajua kuwa farida anamtoto ila nahisi sio wangu (kwa maana nyingine alikataa mimba toka enzi hizo), huwa ananitafta kwa mwaka mara moja na akinipigia huwa sipokei simu yake ila jana ndio nikaona nipokee ndio nikakutna na hayo maneno yake.nikamuuliza uyo binti yupo wapi akanijibu yupo iringa ndio kwao. nikamuuliza kwahyoo unampango gani ?
anajibu hana mpango wowte ule, maana mtoto sio wake, nikamuuliza uyo mtot anaumri gan akanijibu miaka 6 sasa. nikamuuliza tena so miaka yote hyo sita uyoo bintii bado anakukazia uyoo mtoto ni wako akajibu ndio.

ikabidi ni nimwambie aende kumuona mtoto hata kama anahisi mtot sio wake na inawezekana kweli sio wake ila kiubinadamu ebu nenda kamuone dogo japo kwa shingo upandee tu, jamaa akakataaa akatoa na sababu yeye yupo mwanza na hana hiyo hela ya nauli kwa wakati huo na hajui huko atakuatana na nini , jamaa akakataa kabisa kwenda. basi story zikaishia hvyoo tukaagana.
kesho jioni akanipigia tena simu kaka yule mwanamke kanitafta ameniomba hela ya hospital mtoto amelazwa ikonda na wamejitahidi kama familia yao hawawez tena mtoto anaumwa sana. kaka mimi sijui nifanyanye maana hela sina ningempa japo najua kuwa mtoto sio wangu ningemsaidia tu kwa kuwa aliwahi kuwa girlfriend wangu, kaka kama unahela niazime niwatumie iwe nimetoa tu sadaka. ki ukweli sikuwa na hela ila kaakiba nilikuwa nacho kama laki 7 hivi, ikabidi ni mwambie anitumie hyo namba ya farida niweze kumtumia hyo hela japo wote hatukujua hosptal inaitajika shilingi ngapi , akanitumia namba kabla sijatuma hela ikabidi nimpigie nimuulize anaitaji shilingi ngapi? simu ikapokelewa na baada ya kujitambulisha nikawapa pole nikamuuliza hosptal wanaitaj kias gani akanijibu lak 5 na nusu basi nikamwambia nakutumia laki 6 hapo, poleni sana aya tukaagana nikamtumia ile pesa siku ikapita,kesho yake nayo ikapitaa bila kuwasiliana na saidi wala farida kuhusu hari ya mtoto.

Basi maisha yakaendelea na harakati za hapa na pale , ilikuwa juma 5 mida ya saa nne Asubuhi nikapokea simu namba ngeni, baada ya salamu akajitmblish yeye ni Farida ohoo hadi hapo nikajua naongea na nani, vip mtoto anaendeleaje akanijibua ajambo saiz ananafuu nimepiga simu kukushkuru nikamjibu asante utukufu apewe MUNGU, baada ya story mbili tatu akaniuliza hivi wew na SAIDI ni ndugu nikamjibu hapana ni marafiki lakni kama ndugu. akaniuliza tena Said anaishi wapi nikamwambia yupo mwanza mimi nipo dodoma,huko mwanza anafanya nini nikamjibu yupo anafanya biashara ndogo ndogo huku akisubiri ajira kama mimi , akaniuliza saidi amemaliza lini chuo nikamjibu ni mwaka wa tatu sasa , akaniuliza muda wote huoo ajawah kupata kazi nikamjibu ndio ila ipo siku atapata tu na atamtunza mtoto wake ( ambaye umezaa na farida) ikabidi nimpe moyo japo najua jamaa kashakataa mtoto toka enzi hzo kwahyo hata akija toboa sidhani kama atamjali uyoo chalii, sasa cha ajabu huyoo bintii alichonijibu ndio kilinipa utata hadi leo hii nikaona ni share huu mkasa na wengine wajifunze zaidi, KAMA AJAPATA KAZI HADI LEO HAWEZI PATA KAMWE, YEYE SI MJANJA SAWA TUONE.
Yani nikabaki nimeduwaa nikamuuliza unamaana gani unasema hvyoo akacheka akasema anatania tu.
basi tukaagana akakata simu.

Siku moja katika story za hapa na pale na Said katika simu tukajikuta tunazngumzia swala la kazi upatikanaji wake ulivyoo mgumu sana,ndio nikakumbuka ile kauli ya farida juu ya saidi , ikabidi nimwambie ila nikamwambia yeye amesema anatania ila nina was was na hyoo kauli kwann aseme kwa wakat huu na na aniambie mimi wakati sina utani nae na katika mazungumzo yetu yalikuwa ya siriazi hakukuwa na utani kabla,
saidi hakutilia maanani kama mimi so tukaipotezea ile kauli maisha yakaendelea.
Interview ya TRA dodoma. siku ya siku tukaitwa kwenye interview kabla ya hii ya mwisho ya juzi zilizofanyika kikanda, nikakutana na msela wangu tukapiga interview tukasepa yeye akarudi mwanza, majibu yakaja kutoka SAID kapata 49.5 na pass mark ni 50 na kibaya zaidi wote walioingia oral yan 50 above wakachukuliwa moja kwa moja kazin, yan kile kitu kilinitesa sana mimi binafsi juu saidi kwann saidi huwa anashindwa padogo sana kila wakati, tofauti na mimi ambaye hata kuita kwa enterview ni muujiza kwangu, ikabidi nimkumbuke Farida na kauli yake ile juu ya saidi, basi siku moja nikajikuta naumia sana juu ya saidi ni mtu ambay anahaso sana ila hamna kitu anapata kwa kweli, ikabidi nimpigie saidi tuongeee, katika story zetu nikaingizia story za farida jamaa akawa naitikia japo kishingo upande ,ikabidi nimwambie amtafte Farida kwann aongee kauli kama ile na wiki chache jamaa anakosa kazi katika mazingir tata sana, nikamwambia mtafute farida tena jishushe kuwa mjinga akulaumua alie weeee aongeee yote we itikia tu na kumuomba msamaha ilitujue ile kauli yake alimaanisha au ni utani kama alivyosema,kweli saidi alikuja atamtafuta farida na wakangea mengi sana ,
Mwisho wa siku farida akafunguka akasema nanukuu! SAIDI ULINIUMIZA SANA NIKAFUKUZWA SHULE SABABU YA MIMBA YAKO NA UKAIKATAA NIKAFUKUZWA NYUMBANI KISA MIMBA YAKO NIKAWA NAKUTAFUTA UNANIJIBU VIBAYA MARA UNANIBLOCK KWA KWELI NILIUMIA NA NINAUMIA SANA HADI LEO , SASA IPO HIVI NILIWEKA NADHIRI KUWA KAMA HUYU MTOTO NI WAKO USIFANIKIWE MAISHA YAKO YOTE HADI PALE UTAKAPOKUBALI HUYU MTOTO NI WAKO NA UJE UMSHIKE KWA MIKONO YAKO UTAMKE HUYU MTOTO NI WANGU, NA KAMA SIYO WAKO BASI UENDELEE NA MAISHA YAKO SINA SHIDA NAWEWE , NILIPOJIFUNGUA NILICHUKUA KITOVU CHA MTOTO NIKAKISEMEA MANENEO HAYO NA NIKAKIFUNGA KWENYE CHUPA MIEZI MITATU NDIO NIKAENDA KUKITUPA, SASA KAMA UNASEMA HUYU MTOTO SIO WAKO SAWA WEWE ENDELEA NA MAISHA YAKO ILA UKIONA NI WAKWAKO NA KUNA HAJA YA KUMTAMBUA KARIBU MUDA WOWOTE, mwisho wa nukuu.

Baada ya maongez hayo saidi alinipgia simu safari hii akiwa amepoa kwel kwel na kunipa story yotee na maongezi yalivyokuwa , Dah nilijihic vbaya sana na ilinimiza sana maana jamaa kama kupambna alikuwa anapambna kweli ila hamna kitu, tukaongea mengi kubwa ni kuwa tupange siku anipitie hapa dodoma twende huko iringa , japo hatujui kwel kama mtoto ni wetu au vipi ila katika kutafuta tusipuuzie kitu, kweli baada ya wiki mbili tukafanikiwa kufika iringa makete, basi tukatafuta wazee wawili tukawapanga tukawalipa tukaomba direction toka kwa farida tukafika kwao, tukapokelewa ,kesi ikaanza ikabidi tukubali yote tukapingwa faini tukalipa yani kifupi tulikubali kila kitu ili tu mambo yetu yaende ,basi baada ya taratbu zote tukaletewa mtoto tukamuona ni mtoto wa kiume, tukajitambulish kwake ,tukampa zawadi tulizombebea kama wazazi ,kutala kukaaga tukaondoka kurudi mjini, ili kesho yake tuwahi magari ya kwenda dodoma.

Ila kabla ya kuondoka tuliomba tuongea na farida nikiwa na saidi , ikabidi nimuombee jamaa yangu msamaha kwa yoteee, Farida hakuw na shida japo alilia sna sana hadi nikajuta kuwa mwenyekit wa kile kikaoo ila mwish wa sku farida akasema kuwa amemsameh jamaa hana shida nae tena yeye akaoe na awe na familia yake ila huyu mtoto asije kumsahau kamwe, basi tukaaga tukaondoka.

Njiani tukawa tunaongea wenyew kuwa ngoja tuone kama kweli yeye alikuwa chanzo au vip tukawa tunapiga stor tunachekaa ,ila ki ukweli yule mtoto afanani kabisa na jamaa na wala ndugu zake saidi ila hatukuwa na jinsi tulikubali tu kuwa ni wakwetu na kuahidi kumtunza kumsomesha hvyoo tu ili tuonee matokee ya utaftaji wa saidi.

Basi miezi ikapita mingi tu, ikatokea interview ya loan board (utumishi) kama kawaida tukaenda tukafanya interview tukasepa, majibu yakatoka jamaa kapitaa oral, akaenda kupika oral, jamaa akachomoa vizuri sana, akapangiwa kituo cha kazi Dar es salaam.
Japo jamaa bado anasisitza yule mtoto sio wake , na amepanga siku za mbeleni kwenda kupima DNA ,ila kwa hili lililotokea na ile kauli ya Farida inanipa mawazo hasi na mawazo chanya juu ya utafutaji ,na maisha ya binadamu ya kila siku.

karibuni wenye ujuzi zaidi katika mambo haya ila hili la SAIDI limenipa funzo kubwaa sana.

Nikimkosea Mtu nitamwomba Msamaha, nikilala na mtu akapata mimba nikiona si yangu nitathibitisha

Ila, kamwe....

Sitakaa niache mapambano kwa Imani kama hizi, jamaa hakuwa mwema kwa huyo Dada, ila mimi siamini kama vina uhusiano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom