Chinkugwata
Member
- Feb 13, 2012
- 6
- 2
Majamaaa, meskia skia kwa mbali sana kua hawa majamaa wameanza kuita. So kila mwenye mdau aliye kua awasiliane kama hilo limetokea kisha tupate habari kama kuna habari kama hyo huko kwa roots!Wooi,zile sim mara hazipatikani mara hazipokelewi nini,yani famfa moja kwa moja.