TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

Wenzangu na mimi ndoto za kununua magari zitayeyuka, labda tutafute third hand kwa waswahili wenzetu.
 
Jamani hizi ni chuki binafsi ndio zinaturudisha nyuma....hawa jamaa wameona kwanini weenzetu waendeshe Rangerover Sports nasi tuwe na Baluni tuu...wameamua kuziba kote...huu ni ujinga kuwabana watu binafsi wakati makampuni ya nje yanaongeza mirija yao.
 
hapa 'ujinga' wa Serikali/TRA ni kus set-up malengo lakini badala ya kuwa na strategies za kufikia malengo kwa kupanua wigo wa kodi na kudhibiti kidogo (kikubwa kwa uhalisia) kinachopatikana wanaishia kuimpose sheria za kishetani.
Nchi ina potential kubwa sana na watu wenye uwezo mzuri kiutendaji lakini utashangaa jinsi kikundi kidogo cha watu (wanaofikiri kwa kutumia akili ya mtu wa tatu) walivyoweza kujipenyeza na kukalia karibia nafasi zote za maamuzi!
Matokeo yake hata kama kulikuwa na 4% ya walipa kodi kwa hiari imepungua na sidhani kama inafika 1% ya Watz
 
Mfumo wa TRA kila mwaka unabadilika unazidi kuwabana Wananchi, hizo ni roho mbaya tu za hawa viongozi, wanataka magari waendeshe wao tu
 
jamani amini usiamini mimi leo tu nimetoa kabajaji kangu wamenitwaga bei ya kufa mtu ili lipo na jamaa hawana mchezo hapa hakuna mchezo watanzania tuna haja ya kusema sasa basi
 
Kwa kweli gunzi tunalipata... Ila mi sijaelewa kitu hapa:kwa nini gari mpya ilipe zaidi? si watafanya watu wanunue ,magari ya zamini with CO2 emission na TZ iwe jalala la dunia kama ilivyo india? Hapa nahisi machozi yamesha nilenga. Sasa itakuaje?
 
hapa ndoto zote z kununua gari nimeshaziacha.
boratu nifikirie kitu ingine ya kufanya.
 
Hapa maswali ni mengi saana. Hiyo bei ya gari wakati mpya;
1. Inaamuliwa kwa soko gani? Maana mfano toyota inatengeneza kila nchi.
2. Halafu ya pili kama ni market value, basi ya kwanza inabidi iwe historical hadi kwenye exchange rates. Wao wanafanyaje?
TRA kutokutoa elimu ya mambo kama haya ndio yanaleta mianya ya rushwa.Ukitoa rushwa unapigiwa rate ya wakati huo,ukikataa wanakupigia rate ya sasa.
 
Daaaaaa nasikia maumivu ya uti wa mkongo yakielekea kidogoni....wakuu kama kuna mjuuzi hapa basi anisaidie mimi.
Tarehe 1 July 2011 TRA wanaplan kuintroduce system yao mpya kwa ajili ya valuation ya used motorvehicles...

Mfumo mpya utakuwa kama ifuatavyo...Used vehicles zitakuwa valued on either ex-factory FOB au market value in local market...

Fuatilia link HII

Nianze na ex factory FOB..

Kwenye mfumo hu, TRA wataestablish database itakayo kuwa na bei za magari kipindi yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza...labda nitoe mfano mana kidogo ina mahesabu

Mfano: Mtu akiagiza gari aina ya Toyota Premio 2001 model..hapo ina maana hii gari imezidi miaka kumi tokea itengenezwe...kwa hilo bei pungufu itakayoruhusiwa ni asilimia 70% ya bei ilipoingia sokoni kwa mara ya kwanza..PREMIO bei yake ya awali sokoni ilikuwa USD 40,000 kwa huko Japan...

Kwa maana hiyo FOB ex factory itakuwa USD 40,000 toa 28,000 (70% of USD 40,000) = USD 12,000 na hiyo ndo itakuwa Customs Value ambayo itakuwa subjected kwenye Import Duty, Excise Duty, VAT na uchakavu (kama upo)....

Kwa namna hiyo kodi jumla itakuwa kama ifuatavyo

Import duty (ID)=0.25*12,000
Dumping Fees (DF) =0.2*(12,000+0.25*12,000)
Excise (E) =0.1*(12,000+0.25*12,000)
VAT= 0.18* (12,000+ID+DF+E)

Hii ni tofauti na bei za sasa ambazo weza kuagiza premio ya mwaka 2001 kwa CIF ya USD 3,000 to USD 3,500...na kodi ingekuwa kama ifuatavyo
ukiweka na uchakavu

Import Duty (ID)=0.25*,000
Dumping Fees (DF) =0.2*(3,000+0.25*3,000)
Excise (E) =0.1*(3,000+0.25*3,000)
VAT= 0.18* (3,000+ID+DF+E)

Market Valuation Method

Kwa market value method watachukua bei za sokoni Tanzania na kutoa profit margin ya asilimia 25 na kutoa gharama za kodi zilizolipiwa ili waeze kupata CIF kipindi gari linaingia nchini...Mfumo huu utatumika pale tu ambapo bei halisi wakati gari linaingia sokoni kwa mara ya kwanza itakuwa ni vigumu kujulikana...

Nachotaka kujua JE nchi yetu imejitoa kwenye World Trade Organisation? Na kama ni hivyo mbona ukiingia kwenye mtandao wa WTO bado TZ ni member country? Mana kwenye makubaliano ya WTO mfumo wa Customs valuation ni tofauti na huu unaoanza kutumika nchini..

Wadau naomba mawazo yenu
 
Daaaaaa nasikia maumivu ya uti wa mkongo yakielekea kidogoni....wakuu kama kuna mjuuzi hapa basi anisaidie mimi.nimeagiza gaia ya 2002 kwa cif 2150. Nijikusanye ngapi hapo....nahitaji msaada maake jamaa wataipakia jumatano ya tarehe 3 july

mkuu,$40,000 kwa toyota premio 2001 model is way too high,hebu cheki hii link

2001 Toyota Premio - all pics, specs, parts and prices
 
hata brand new toyota premio haifiki $40,000......

Toyota Premio New 2013 Model in Japan, import New Japanese car, Dealers, New Premio FL Package
 
ukiangalia vizuri huu mfumo ni mzuri kwa sababu bei za magari wakati mpya ziko wazi,gari yoyote ukitaka kujua value yake wakati mpya utaijua tu,ile habari ya mkaguzi kukadiria ndio ilikuwa mbaya kwasababu anaamua tu yeye kulingana na alivyoamka,mfano wako utatoa bei kubwa kwasababu bei ulioweka [$40,000] kwa 2001 premio sio sahihi....$40,000 hizo ni bei za akina bmw x5......weka bei sahihi ya premio 2001 then tumia hio formulae utaona bei ni nafuu....
 
Tarehe 1 July 2011 TRA wanaplan kuintroduce system yao mpya kwa ajili ya valuation ya magari

kiukwel TRA imekuwa ni chachu ya kukusanya mapato ya serikali hususani katik nyanja mbali mbali hasa kwa wafanya biashara wakubwa na wadogo.

Kwa kawaida TRA na team yake wanafanya kazi nzuri sana kuhakikisha nchi inapata pato lake kwa wakati ili kuwezesha huduma nyingine za kijamii kutekelezeka kwa urahisi.

Kwa maoni yangu binafsi huu mfumo mpya ni mzuri sana maana utahakikisha kwamba magari yote yanayoingia nchini kwetu yameingia kwa halali na kulipiwa ushuru/kodi kama viwango vya kodi vya nchi vinavyoeleza.

mungu ibariki TRA na mungu uwabariki wafanyakazi wake wote wa idara zote.
 
Wadau

Kwa hili tweza pinga mahakamani. Nchi yetu ilijiunga na WTO mwaka 1995, makubaliano ya kuwa ndani ya WTO ni pamoja na kukubali uniform way za kudetermine customs value on imported goods. Sasa TRA wamepata wapi nguvu kukiuka taratibu zilizowekwa saini kabla hata TRA haijaundwa? Au ndo nguvu ya DOLAAAAAAAAAAAAAA
Ivi kweli ntanunua noah mwaka huu? Au nisubiri miaka elfu??.
 
Mancity.. nchi yetu huwa haithamini au haisomi makubaliano wanayosaini... they may reverse this decision lakini take it from me, we may face alot of auctions ya used unclaimed vehicles kuanzia august hadi november mwaka huu...

dont import, keep your cash and wait for auctions
Dah mkuu watu wanatafuta solutions we unasubiri ile kwa watanzania wenzako waloagiza afu wakashindwa kulipia dues zao? Emu tusubiri hiyo auction kama itakua na manufaa
 
Help me with this:
Toyota Alteza
FOB: 2000$
Year of manufacture: 2001
1500cc

calculate gharama za kila kitu hadi lifike mikononi mwangu.
 
Back
Top Bottom