TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

nimesema na nitaendelea kusema hii nchi iko hivi kwa sababu hatujawahi kupigana so kuna watu wanaona hii nchi ni yao na wengine ni wapangaji tuu.if we dont do something iko siku na kodi ya kichwa itaridishwa.mark my word
 
Basically they wana increase the existing gap of gene coefficient..... and they wana us going green by going back to extensive bicycles use and other mechanism that protect environment degradation. All in all TUMEKWISHA wapo wapi viongozi na tegemeo letu wa CDM?? Kwani sijawaona hata mmoja kuthibitisha ili na kusema watatutetea na hoja binafsiiiiii.
 
Halafu hii sio tetesi tena, mchanganuo wa huu uizi upo kwene website ya TRA. BTW mods unganisheni na ile thread nyingine iliopo kwene uchumi na biashara.

Mbunge wangu J.J. Mnyika uko wapi when wapiga kura wako need you the most???... Binafsi nakuagiza ulipigie kelele bungeni mpaka
warudishe mfumo wa awali au wafafanue hii hesabu ya kutumia Ex-factory FOB wameutoa wapi na unawasaidiaje wananchi wa kawaida?
 
Calm down guys!!! imenikera na inauma ila apparently kumbe hii system ilishaanza ktk wenyeji wetu! ukiangalia Uganda tayari walishaanza since the beginning of the year 11! Absurd!!!!, sasa nimeona is something to do with the EAC though! check this from www.[B]ura.go.ug utaona huko. [/B]Ila ugomvi wangu bado uko palepale kwamba je TZ imekubali tu kiholela bila kuwapa taarifa wananchi in advance???? It seems like we are about to lose this case! i hate mambo ya kiholelaholela! grow up Tz Gov!! you have got the right to protect your citizens man!you can't just be easy going bunch of clowns!
 
guys this is insane sasa sie watoto wa wakulima na kipato chetu cha kuunga tutadrive kweli au ndo daladala for life. inasikitisha jinsi tra na wasomi wote kukosa creativity ya kutafuta vyanzo vipya vya kodi, kazi kungangania vyanzo vile vile toka enzi za mwalimu Nyerere.
 
Calm down guys!!! imenikera na inauma ila apparently kumbe hii system ilishaanza ktk wenyeji wetu! ukiangalia Uganda tayari walishaanza since the beginning of the year 11! Absurd!!!!, sasa nimeona is something to do with the EAC though! check this from www.ura.go.ug utaona huko. Ila ugomvi wangu bado uko palepale kwamba je TZ imekubali tu kiholela bila kuwapa taarifa wananchi in advance???? It seems like we are about to lose this case! i hate mambo ya kiholelaholela! grow up Tz Gov!! you have got the right to protect your citizens man!you can't just be easy going bunch of clowns!

Mkuu ishu hapa sio kumuiga tembo kwenda haja, jambo haliwi sahihi kwa sababu linafanywa na watu wengi. Huu mzigo wa kodi ni mkubwa sana na haumeki any sense. Kama kuiga kwanini tusiige mambo mazuri kutoka mataifa ya ulimwengu wa kwanza ambyzo tayari zimesha-prove success??
 
Exactly!! Sasa kinachotisha ni kwamba je tuna viongozi na wataalamu ambao ni critical na great thinkers??? mhhhhh!! wajua hata England pamoja na kuwa ktk EEC nayo pia imetofautiana na members ktk baadhi ya vitu mfano hiyo currency Euro vs Pound sababu waliona haina manufaa kwao kubadilisha. Sasa linchi ambalo limeoza kama TZ we are lacking those thinkers to challenge and be critical! watu wameweka sana politics mbele! hakuna researches na wanajifanyia tu kuholela.
 
Hizi bangi wamevutia wapi? huu ni ulevi wa madaraka kiasi kwamba wanasahau shida za wanachi wao, kwanza wajue hii ni moja kati ya kweli zitakaziichinja CCM 2015 katika uchaguzi mkuu, pili itapunguza ama kuondoa mapato yatokanayo na hizo kodi maana watu wataagiza magari na kuyasajili hasa uganda ambako bei za magari ziko chini, tatu kodi itokanayo na mafuta ya magari nayo itapungua kwani sio wengi watakao weza agiza magari hata kupitia nchi jirani. Mwishi huu ni udikiteta wa hali ya juu, wakati dunia inaamini kwamba ni dhambi mtu ktembea kwa mguuTanzania inaturudisha enzi za uhujumu uchumi!!!MKULO UNASHIDA GANI KICHWANI?
 
Haya mapinduzi anayosema huyu jamaa ni ya aina gani?swali langu je alipiga kura katika uchaguzi uliopita?kauli zingine si za kiungwana, sasa katika nchi kama TZ unapindua kwa sheria gani?inatubidi sisi tubadilike katika upigaji kura wetu na fikra zetu, wa tz wengi hubadilika wakati wa kupiga kura kwa kupewa vijisenti tu na huku wanadai mapinduzi...yapi?nenda msituni peke yako sisi hatumo
 
mkuu hakuna porojo juu ya hili...ingia kwenye official website ya TRA....tra.go.tz ujionee tangazo hapo!
 
Nadhani wengi wanasoma ramani kuona utekelezaji wake. Sijapata bado ushuhuda wa aliyetozwa kwa huu mfumo mpya..ila kama ikiwa hivyo inabidi swala hili liwekewe mkakati madhubuti.

Ukisoma mpango wa maendeleo wa miaka mitano utaona kuna tozo kadhaa kwenye magari zimependekezwa ikiwemo inspection fee...so huu ni mwanzo tu wa watanzania kusahau swala la magari..
 
Sishangazwi na uozo na ujinga kama huu, ukizingatia kuwa katika kiwango duni cha uwajibikaji na ubunifu wa serikali za ccm na hasa ya Kikwete.

Ni muhimu kuharikisha uonevu na kutowakuwajibika huku kwa watawala kunafika mwisho haraka sana.

Walio nacho na waso nacho......part 2.
 
Labda tujiulize kua kwa utaratibu mpya ambao utamuumiza zaidi mteja, TRA ina ubavu gani kubadilisha sheria itakayoumiza wananchi bila wawakilishi wa wananchi hao kufahamishwa? Imepita bungeni? au si lazima?
 
hii ni sawa na ina maana kuwa katika kusubmitt documents haina haja ya msururu wa nyaraka bali Bill of Lading pekee kuonyesha kuwa unaingiza mzigo nchini, bei haihusiani tena na seller bali TRA! (this is only in TZ!!!)
Cha msingi hapa tangazo hili liendane na tangazo lingine la Tanzania kujitoa uanachama wa World Trade Organization (WTO) ili ijulikane sisi ni watu wa "ki JK JK" na "Kimkullo mkullo"
 
Back
Top Bottom