Toyota Regius

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Wadau salaam,

Napenda sana hii gari ya Toyota Regius, na nina mpango wakuinunua hivi karibuni... Kabla cjainunua ningependa ndugu zangu esp wale wanao info zaidi za magari wanijuuze kuhusu hiki chombo, na wapi naweza kukicheck hapa TZ (yard au showroom).

Natanguliza shukurani zangu..
 
Back
Top Bottom