TOYOTA RAV-4 brand new mpaka kufika Dar ikilipiwa ushuru na usafiri hugharimu zaidi ya Mil 120

2014 Toyota RAV4

Up to 22 MPG city / 29 MPG hwy

$23,550 - $29,720

toyota_rav4_le_fwd_2014_exterior_angularfront.jpg

View gallery

Chris Lukosi HAIPO RAV4 ya pounds elfu 29 DUNIANI!Hiyo hapo ni brand new RAV inaanzia dola elfu 20 hadi karibia dola elfu 30 kutokana na specifications unazozitaka!Akina Lukuvi wameongeza sana bei!
Chris Lukosi ame include usafiri na kodi. Yuko right. Au hujui kuwa ushuru ndio unaua TZ?
 
Lukuvi ni pm plse, nina rav4 yangu new model nauzwa tsh million 3na nusu tuu, haina tatizo lolote kabisa
 
Wewe mbulumundu mwizi wa rambirambi unafikiri watu hatupajui Toyota Tanzania Ltd pale Nyerere road? Kawaibie wajinga wenzio huko CCM. Kama vipi ni PM nikupe namba ya sales Manager wa Toyota Tanzania Mr Gondwe umuulize bei. Unajifanya kuchanganya shilingi na paundi ili utuchanganye wewe mwizi wa rambirambi. 2014 Toyota Prado ndio inafikia bei hiyo, Rav 4 ni milioni 60 tu.

CHADEMA walifanya vizuri sana kubumbulua dili yako ya ukaguzi hewa wa magari Kati yako na Ex TBS DG maana wewe ni mwizi naturally

Alikuwa na lengo la kutujuza kwamba yupo UK...

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Wewe mbulumundu mwizi wa rambirambi unafikiri watu hatupajui Toyota Tanzania Ltd pale Nyerere road? Kawaibie wajinga wenzio huko CCM. Kama vipi ni PM nikupe namba ya sales Manager wa Toyota Tanzania Mr Gondwe umuulize bei. Unajifanya kuchanganya shilingi na paundi ili utuchanganye wewe mwizi wa rambirambi. 2014 Toyota Prado ndio inafikia bei hiyo, Rav 4 ni milioni 60 tu.

CHADEMA walifanya vizuri sana kubumbulua dili yako ya ukaguzi hewa wa magari Kati yako na Ex TBS DG maana wewe ni mwizi naturally
Mi nilifikiri tunaelimishana, kumbe ni personal attacks hapa. Haya
 
Rav 4 zinatengenezwa uk?

Ndugu zangu

Kumekuwa na upotoshaji hapa jamvini kuhusu bei za magari yanayonunuliwa na serikali, hasa pale Mmheshimiwa Lukuvi aliposema wametenga shs 80,000,000 kununua Rav 4

Kama kawaida, wazee wa kushika bango wamekuja hapa jukwaani na kudai ni bei gari sana wakati hata hawajui hilo gari linauzwaje.

Toyota Rav 4 Mpya, ukiinunua mtu binafsi na kuisafirisha kutoka UK kwenda Dar na ukailipia ushuru kihalali itakugharimu zaidi ya milioni 120. Hivyo ina maana Lukuvi kapata bei poa sana kwa gari mupya.

Toyota Rav 4 mpya hapa UK inauzwa £29,000 Usafiri ni £780 (kama ukisafirisha na serengeti) na ushuru pamoja na port charges kwa gari pendeza kama hilo sio chini ya mil 25, sasa hebu piga mahesabu jumla unapata ngapi kabla hamjakuja hapa kupiga domo (exchange rate ya pounds ni shs 2,750 kwa £1)

Tatizo watu wamezoea kununua vyuma chakavu ndio maana wanalalamika.

Ukitaka chuma chakavu cha mwaka 1997 RAV 4 mpaka DAR ni shs mil 7 tu pamoja na ushuru, lakini hiyo itakuwa ndio ndoa yako na urafiki wa kudumu kwa mafundi wachafu wachafu.

Rav 4 inatengenezwa UK mwongozo tafadhali.. !! Au mwenzetu umetumwa!????
 
Wewe mbulumundu mwizi wa rambirambi unafikiri watu hatupajui Toyota Tanzania Ltd pale Nyerere road? Kawaibie wajinga wenzio huko CCM. Kama vipi ni PM nikupe namba ya sales Manager wa Toyota Tanzania Mr Gondwe umuulize bei. Unajifanya kuchanganya shilingi na paundi ili utuchanganye wewe mwizi wa rambirambi. 2014 Toyota Prado ndio inafikia bei hiyo, Rav 4 ni milioni 60 tu.

CHADEMA walifanya vizuri sana kubumbulua dili yako ya ukaguzi hewa wa magari Kati yako na Ex TBS DG maana wewe ni mwizi naturally
ulikolokwitanga kutiki jaji unampa za kichwa hahaha jaji
 
muanzsha thread anataka kick kutoka kwa akina Lukuvi and company/ccm.

njaa mbaya sana, kufkri kwa kutumia tumbo ni aibu sana.
 
Afadhali ufikiri kwa kutumia tumbo kuliko makalio...

Wewe unatumia makalio kufikiri ndio maana mawazo yako yana harufu mbaya
 
Kwanza,

Kinachofanya bei ya gari kuwa kubwa sio jina tu, bali add-ons (vikolombwezo ambavyo kila mtu anataka).
Base price inaweza ikawa £15,000 kwa basic model, lakini zingine zinaanzia £27,000 bila luxury accessories.
ukiongeza vifaa mbali mbali vya ndani ya gari vinaweza fika mpaka £45,000.

Nenda New cars, Used cars, Hybrid Cars, Small Cars | Toyota UK > new cars > build your RAV 4 chagua top-spec (Executive edition)

Pili,

Toyota zinatengenezwa UK kwa wingi sana. Mikweche nayo iko kwa wingi. ni-PM nikutafutie kwa bajeti yako kama unataka. Chris Lukosi atabeba kwa box mpaka Bongo.

Toyota's decision to establish a manufacturing operation in the UK was announced in 1989 and Toyota Motor Manufacturing (UK) Ltd was established in December that year.

There are two manufacturing plants in the UK representing a total investment in excess of £2.2 billion and currently over 3,800 members (including Agency) are employed. The vehicle manufacturing plant is located at Burnaston in Derbyshire and the engine manufacturing plant is located at Deeside in North Wales. The first car, a Carina E, drove off the Burnaston production line in 1992.

Toyota Motor Manufacturing UK

How do I get there?

Our factory is located on the A38/A50, 6 miles south of Derby.
From M1 northbound: Leave the M1 at junction 24 (signposted Nottingham South). Approach the roundabout using the left hand lane. At the roundabout take the second exit to join the A50 towards Stoke on Trent/Derby. Continue on the A50 to the junction with the A38.
From the M1 southbound: Leave the M1 at junction 24 (signposted to Stoke on Trent A50) and join the A50 for Stoke (fourth exit on the roundabount) continue to the junction with the A38.
Or leave the M1 at junction 28 and join the A38 southbound towards Birmingham/Burton on Trent and continue until the junction with the A50.
From M6: Leave the M6 at junction 15 to join the A50 through Stoke towards Derby continue to the junction with the A38.
From M42: Leave the M42 at junction 9 to join the A446 for Lichfield. Then join the A38 northbound towards Burton on Trent and continue to the junction with the A50.
Or from the M42 join the M6 toll road northbound and pay to leave the toll road at junction T5 to join the A38 northbound. Travel on the A38 northbound towards Burton on Trent and continue to the junction with the A50.

- See more at: FAQs

cc: Ulukolokwitanga Malisha avogadro Chris Lukosi mwanafyale Masterkey RRONDO
 
Last edited by a moderator:

tatizo wengi wamekurupuka na kuanza kumshambulia Chris Lukosi bila kujua wao ndio hawajui kitu....wengine wanamtukana kisa wanaamini toyota zote zinatengenezwa japan na uk hawatengenezi toyota...ujuaji mwingi mbele kiza.
 
Last edited by a moderator:
Hongera Chris Lukosi kwa ufafanuzi mzuri kumbe Rav4 za kisasa zinakimbizana na Range Rover Sports 2006.
 
Tangu lini mbeba box,mwizi wa rambirambi akafanya biashara ya magari.

Ila najua unamtetea kwa ufisadi wake ili akupiganie kupata UJUMBE wa dodoma mwakani kupitia UKOO WA PANYA kwa kuwa wote ni kabila la KUJINYONGA.

mkuu,pia tujaribu kuunganisha dot kati ya mkoa,wilaya,kabila analotoka william lukuvi na
Chris Lukosi.ukute kuna kitu kimemu-influence mleta mada kuja na bandiko hilo.
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza Mbulumundu, serikali huwa hainunua magari mabovu.

Toyota Rav 4 mpya kutoka UK Ni £29,000

Soma hapa

Toyota RAV4 5-DR 2.2 D Invincible AWD

Migari yenu ya kwenye barafu huko ikifika hapa bongo inachemsha vibaya mno. Wenzio kibao wenye magari ya UK ukimwambia apandishe vioo tule kiyoyozi anasingizia gari haina wese.

Back to topic, 2014 Toyota Rav 4 ni milioni 58 hadi 60 unapiga funguo unaondoka. Wewe Mbulumundu ni mwizi mzoefu, unaquote bei za UK wakati unajua serikali huwa inanunua wapi.

Labda utuletee Land Rover 109 kwa ajili ya kuendea Dabaga.
 
Back
Top Bottom