mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 535
Magari ya serikali hayalipi ushuru, that is where the difference comesChris Lukosi
Kwa hiyo unataka kusema serikali yako haijafanya utafiti wa kutosha kuhusu bei ya Toyota RAV 4 new model? Hiyo million 4o ya ziada itatoka wapi? Unataka kusema wamekurupuka?