Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

Hzo sio gari mkuu, ni vyombo tu vya usafiri. Ni vigari vinavyotaka lami tu, na ni kwaajili ya town trips tu za hapa na pale...

Bado beby walker za Mjapani ni affordable kwa wengi wanaomiliki. Shida ni hiyo tu... suspension system yake sijuwi ipoje tu, ni vikavu mno unapodrive kwenye rough roads.
 
Umenivunja mbavu mkuu. Gari inadunda kama kitenesi!! Hahaha

Sasa mkuu, je kuna namna yoyote mechanically ya ku-upgrade suspension system ya hizi beby walkers za mjapan zikawa na mneso? Au labda kuna shock ups ambazo ni more luxury and softer ambazo naweza nunua na kureplace?

Dah sijajua mkuu. Ila suspension ya gari ukishaanza kuichezea, Unaweza juta. Unless kama upate mtaalamu wa hayo mambo.
 
Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu.

Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system.

Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye rough road. Their ride is too bumpy and too stiff!...
Funga air suspension!
 
Hzo sio gari mkuu, ni vyombo tu vya usafiri. Ni vigari vinavyotaka lami tu, na ni kwaajili ya town trips tu za hapa na pale.

Nishaendesha Starlet, Vits, ist, na Raum. Vyooote ni vikavu mno kwenye ride. Utadhani unaendesha baiskeli ya mbao. Ukipita kwenye rasta bumps body lote linavibrate utafikiri umepigwa na tetemeko la ardhi...

Ndio gari gani hizi mjerumani ?? Volkswagen ? Au Brand gani mkuu ??
 
Sedan za mjapani kidogo ziko poa Kwenye luxury Ila hizi baby walker ni mtihani kwelikweli hasa Kwenye rough road.....kuanzia siti zake IST ni ngumu kama ubao alafu miguu inakunja kama unakuna nazi
Hahahah hiko kigari sikipendi kinoma..jirani yangu anacho huwa nasogeza akikipaki vibaya ila uskani kama nondo kubabae, seats ndio kama umekalia kigoda.
 
Kuna mtu nmemsahau jina humu JF alisema Ist and the likes zinadunda kama kitenesi ukiwa unaendesha nadhani ni Boeing 747 kama sijakosea.

Option rahisi ni kuhamia kwenye baby walker za mjerumani.
Ni mimi nilisema hivyo...
Mtaniwia radhi.

Nimeendesha IST mara kadhaa I don't feel ile comfortability ninayoisikia kwenye Nissan Note yangu..

Shida kubwa Ya IST, PASSO, SWIFT na vigari vingine vidogo vya namna hiyo ni vifupi sana...yaani ukichukua rula upime umbali kutoka tairi la mbele na la nyuma, umbali ni mfupi sana..(kitaalam tunasema wheel base ya hayo magari ni ndogo sana).

Ufupi huo hupunguza ile corfortability hususani unapokuwa kwenye barabara mbovu au hata zile lami zilizobonyea kwa uzito mkubwa wa malori.

Ndiyo maana utakuta kwa mfano IST yenye cc 1490 haiwezi kuwa na comfortability ya Spacio yenye injini ya ukubwa huo huo....Spacio ina wheel base kubwa sana kuliko IST.

Kwa hiyo ukinunua IST, PASSO, SWIFT, MARCH.....Wewe jiandae tu kurushwa rushwa....kwa maana hamna namna nyingine...
 
Usijaze upepo kupita kiasi, zingatia maelekezo ya kampuni husika. Upepo ukizidi gari linaruka kama kitenisi.
Mara nyingi PSI ya tairi kwa hizi baby walker isidi 30psi kwa tairi la mbele na 35psi kwa tairi la nyumba..

Sasa unakuta mtu tairi la IST limeshindiliwa 45 psi mbelw na nyuma...
 
Gari gani lina suspension system bora zaidi kwa toyota?
Hzo sio gari mkuu, ni vyombo tu vya usafiri. Ni vigari vinavyotaka lami tu, na ni kwaajili ya town trips tu za hapa na pale.

Nishaendesha Starlet, Vits, ist, na Raum. Vyooote ni vikavu mno kwenye ride. Utadhani unaendesha baiskeli ya mbao. Ukipita kwenye rasta bumps body lote linavibrate utafikiri umepigwa na tetemeko la ardhi.

Wanasema baby walkers za mjerumani zina suspension laini na ni gari haswa.
 
Ni mimi nilisema hivyo...
Mtaniwia radhi...
Nimeendesha IST mara kadhaa....I don't feel ile comfortability ninayoisikia kwenye Nissan Note yangu..

Shida kubwa Ya IST, PASSO, SWIFT na vigari vingine vidogo vya namna hiyo ni vifupi sana...yaani ukichukua rula upime umbali kutoka tairi la mbele na la nyuma, umbali ni mfupi sana..(kitaalam tunasema wheel base ya hayo magari ni ndogo sana)...

Ahsante kwa hiyo technical knowledge mkuu.

Kuna mdau hapo juu katoa tumaini kuhusu ukavu wa hizi Japan baby walkers. Amerecommend kufunga 'Air Suspension'.
 
Back
Top Bottom