Toyota gx 100 inauzwa tshs7.5 million

dm2000inter

Member
Oct 27, 2010
29
10
Kwa watakaohitaji nauza Toyota GX 100 kwa sh7.5 Milioni. Ipo katika hali nzuri na imetembea kilometa 54,000 tu, ina Air condition, iko katika hali nzuri sana tena sana. Wasiliana nami kama unahitaji.
 
Hiyo GX 100 ni aina gani ya TOYOTA? Nadhani ni TOYOTA MARK II GX100.Weka specifications zake pamoja na picha
 
Kwa watakaohitaji nauza Toyota GX 100 kwa sh7.5 Milioni. Ipo katika hali nzuri na imetembea kilometa 54,000 tu, ina Air condition, iko katika hali nzuri sana tena sana. Wasiliana nami kama unahitaji.
je ni Cresta, Chaser au Mark II, pia ina rangi gani na ni model ya mwaka gani? pia weka picha ili watu waione na vile vile weka contact zako ili tukupigie kuiona
 
Back
Top Bottom