issue haiko kwenye tovuti bali kwenye web server inayo host hiyo tovuti...kama wataalam wenyewe ndiyo ngumbaru halafu hakuna wa kui monitor 24 hrs ukiwa mjanja unaweza kuwabandikia hata picha ya lulu wa kanumba...!kiLiMlire - Hiyo ni tovuti rasmi ya Wizara ya Sheria na Katiba, nimeifungua baada ya kuisoma kwenye 'spare tyre cover' ya gari moja la Serikali nikiwa kwenye foleni. Hiyo cover imeandikwa, Je unataka kusoma Katiba? Tembelea MINISTRY OF CONSTITUTIONAL AND LEGAL AFFAIRS. Labda ni udhaifu wa wataalamu uchwara, ambao wametengeneza tovuti dhaifu, kisha hackers wakawaaibisha