Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

halafu hawa watu wanaot*mb*n* nahisi ni kama wajapan na wakorea vle ila wanaonekana wanayamudu haya mambo ya chumbua. See and enjoy yourself.
 
afu eti mnasema serikalini wameajiliwa watu wenye uwezo nzuri...hahahaha gpa za kukariri hizo na kazi za ushemeji...ila poa tu ngoja tuongeze maujuzi. Wait a minute. Why would someone want ths to appear on law and constitution website? Nadhani they are trying to send a message... May be they want sex to be permited leagally inforced in tz...
 
hahahahahahahaah... tanzania tanzania nchi yangu,, nakupenda kwa moyo wotee!!!,,,,,, dah,, inamaana imekua hacked ama wameweka kwa makusudi?? Nashindwa kuelewa,, naomba kwa sasa tu-ASSUME wamehack, mengineyo baadae.. Tuwe na imani japo kidogo na watendaji wanaohusika ni hiyo website
 
please moderator do not close this thead. Acha tu maana ukifunga huenda watu wa system wanaweza wasione huu uoza wao.
 
Wakati unajiandaa kutuletea link ya uhakika ngoja niongeze Castle Light nyingine...

Ila kwa serikali hii ya Kikwete lolote linaweza kutokea

bila kuongeza akili za bia,serikali hii unaweza kuua mtu.na mie naongeza ka Ndovu
 
Ama kweli siku ya kufa nyani,kila kona kashfa,hii laana baba riz,na yatakuja mengi
 
Dah aise ni noma,mapilau ya kila namna,itabidi watu wawajibishwe hapo kha!aiiiiiiiiiiiiiibu!
 
Huenda tovuti hii haina kizuizi mtu yeyote anaweza kuweka link. Siamini kama na wizara ndo imeweka hizi link za ngono. Kunalink nyingi lakini zitakuwa ziwewekwa na watanzania kuwapa taarifa wizara kuwa tovuti yao si salama
 
Tovuti ya Wizara ya Sheria na Katiba; Wizara iliyochini ya Dr Celina Kombani, www.sheria.go.tz kuna link inayoonyesha picha chafu za ngono.... INANIUMA SANA, SIJUI TZ NI NCHI YA AINA GANI... AIBU KUBWA SANA

Duh..kweli bwana!
 
Dah!aibu Mungu wangu!Yethu na Maria!yaaaani kipuche njenje!awa sijui wajapan?wanajua kweli mambo!
 
Duh, hii aibu sasa. Hivi hatuna webmasters wa kuondoa aibu hio. Naona links bado zipo
 
Ni sehemu gani katika tovuti hiyo inayoonyesha huo uchafu. Yaani nashindwa kuamini ukisemacho kama ni kweli au la.

Haa!? hivi ngono ni uchafu?!! basi watu wazima zaidi ya miaka 18 ni wachafu maana wanaruhusiwa kuoa na kufanya ngono deile.
 
Hali inatisha.! Halafu waziri akiambiwa ajiuzuru, eti watanzania tuna chuki binafsi..naomba iripotiwe kama breaking news kwenye vyombo vya habari radio
 
halafu hawa watu wanaot*mb*n* nahisi ni kama wajapan na wakorea vle ila wanaonekana wanayamudu haya mambo ya chumbua. See and enjoy yourself.

Tovuti ya Wizara ya Sheria na Katiba; Wizara iliyochini ya Dr Celina Kombani, www.sheria.go.tz kuna link inayoonyesha picha chafu za ngono.... INANIUMA SANA, SIJUI TZ NI NCHI YA AINA GANI... AIBU KUBWA SANA

Hii hatari! Ngoja niendelee kuangalia sababu naweza kumwona Mh. naye yumo!
 
Back
Top Bottom