tongozo za jukwaa hili ni international certified bwana loh

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,611
kiukweli mimi kama msichana nakutana na tongozo nyingi sana,
ila hizi za jf daaaah nazikubali
kweli hili ni jukwaa la great thinkers.
watu wanajua kupanga mistari na vina bwana
tongozo la page 3 hadi attachment ya vyeti hadi cha phd
si mchezo.
invisible naruhusiwa kuonyesha sample kama 20 hapa za tongozo nilizozikubali kuwa zipo juu kwa ubora?
nadhani watu hapa wamepitia international association ya watongozaji duniani na wakawa certified proffesional wa kutongoza humu
endeleeni kunipa mistari who knows ipo siku nitaachia
 
Hata lile lenye ulinitongoza mimi nalikubali sana...
Mtoto unajua kubembeleza wewe? Ngoja na mami niombe ruhusa niweke hapa!
 
ha ha haaa! sasa kwa kuwa smile amemwaga mboga na wewe unataka kumwaga ugali? makubwa
 
Smile la kwangu bado naandaa mistari bana
Yaani litakuja ni kitabu kizima na attachment kibao
So subiri kwanza ukipata la kwangu ndo unaweza sasa kutundika hapa
 
Smile la kwangu bado naandaa mistari bana
Yaani litakuja ni kitabu kizima na attachment kibao
So subiri kwanza ukipata la kwangu ndo unaweza sasa kutundika hapa
mmesomea wapi rocky.yaani nashangaa kabisa
 
:nerd::nerd::nerd::nerd::nerd: HII INAONDOA MIWASHO YA KUAIBISHAAAA:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
Kuna proposal nimeshakutumia, nadhani hiyo ndo ya ukweli. Nilisomea hayo mambo china katika chuo cha SUOC.
 
Smile ukitoa yangu
Naku....
Hakyanani!
ahaaa we yako ipo shalow sana hata 1000 bora haipo? kuna vitu usipime? mtu anadai ni mshenga wa obama
katuma na cheti cha ndoa cha obama eti nione signature yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom