tongozo za jukwaa hili ni international certified bwana loh

mambo live bwana

live but in order to live in Jf you should not make it live. Unless there are two things involved either a ban or PM, if you PM you are safe if you get Ban, there are two things involved
 
Hahaha! Mi nataka kuweka ile yako uliyonitumia hati ya nyumba. Naomba consent basi...

Ile sio hati ya nyumba wewe, ni scanned document.
Na wewe ulivyokuwa Pinda (badala ya Kihiyo), ukatoa game kiulainiii...
 
Ngoja mimi ni mshushie mistari.smile.......kama ya kwenye hansad ya Bunge................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................... usiponikubali basi tena!!!
 
smile,tongozo langu nangoja utupie hizo 20,halafu nazifanyia remix zote!!utaona kitakachotokea,hutapata hata muda wa jf
 
Hahahahah!
Zishukuriwe sheria za JF hasa hii ya kutoanika mambo yanayotokea huko PM,
 
PM zinaficha mambo mengi sana.

Sasa katika wote hakuna hata uliyemfikiria fikiria kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom