tongozo za jukwaa hili ni international certified bwana loh

Watu wanapagawa na picha tuu hapo
Sijui wakikuona live itakuwaje
Waache wajigonge wakati wewe umetulia tuu una mtu wako wa karibu

Hilo haswaaaa ndilo linalosababisha mpaka hizo attachment za vyeti kwa smile...:biggrin:
 
Hilo haswaaaa ndilo linalosababisha mpaka hizo attachment za vyeti kwa smile...:biggrin:

WL picha hizi zinapagawisha watu mbaya
Yaani mtu anaona Avatar tuu amashamuimagine Smile yuko the same kama ilivyo picha hapo
Yaani ni balaa
 
Nzuri Mr. Rocky

Mie roho juu juu sasa hivi
Anataka kutuvua msuli hadharani
Niliambatanisha hadi audited financial statement
Na memorundum and article of association
Sijaona hapa
Napitia pitia tuu
Kongosho habari yako
 
Nzuri Mr. Rocky

Mie roho juu juu sasa hivi
Anataka kutuvua msuli hadharani
Niliambatanisha hadi audited financial statement
Na memorundum and article of association

Hahahahah
hii balaa sasa
Na share certificates zote na card zako za benki kabisa kudhihirisha kuwa hutanii
Kweli tongozo zimeenda shule
 
Nzuri Mr. Rocky

Mie roho juu juu sasa hivi
Anataka kutuvua msuli hadharani
Niliambatanisha hadi audited financial statement
Na memorundum and article of association

Hahahahah
na share certificates zote na card zako zote za bank
Kweli zimeenda shule
Smile asitoe bana atawaumbua watu bure
 
Smile! Hapo kwenye redi na bold. Unataka ku-ACHIA NINI?
kiukweli mimi kama msichana nakutana na tongozo nyingi sana,
ila hizi za jf daaaah nazikubali
kweli hili ni jukwaa la great thinkers.
watu wanajua kupanga mistari na vina bwana
tongozo la page 3 hadi attachment ya vyeti hadi cha phd
si mchezo.
invisible naruhusiwa kuonyesha sample kama 20 hapa za tongozo nilizozikubali kuwa zipo juu kwa ubora?
nadhani watu hapa wamepitia international association ya watongozaji duniani na wakawa certified proffesional wa kutongoza humu
endeleeni kunipa mistari who knows ipo siku nitaachia
 
WL picha hizi zinapagawisha watu mbaya
Yaani mtu anaona Avatar tuu amashamuimagine Smile yuko the same kama ilivyo picha hapo
Yaani ni balaa

lolz..kituko ni pale unapokutana na mtu inakuwa tofauti na ulivyofikiria huh! :A S embarassed:
 
Sheria za Jf haziruhusu kuanika hadharani mambo ya Pm..tutamripot atakayethubutu kueleza chochote cha kwenye Pm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom