Tokea usiku joto limepungua kabisa maana ilikua ni noma

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Baada ya kuiva kwa siku kadhaa angalau tokea usiku joto limepungua

Sijui imekuaje maana hadi mchana nashangaa nimeshinda na kulala bila feni bila joto wala nini
 
Joto miyeyusho saana, watu yunashindwa kupigana muchinga, tunashindwa zagamuana kwa burudani.. Unawasha feni unaiweka futi 2 toka ulipo lakini jasho linavuja, engine insoma "over heat" 🤣
 
Muwe ni utamaduni wa kupanda miti

Haya,kunyweni maji ya kutosha sasa

Ova
 
Back
Top Bottom