Toefl test

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Wadau habarin za w/end,naomba kujuzwa,kwa anayejua mitihan ya toefl hapa nchini tanzania inafanyika wapi na wapi? Ni mikoa gan wana centers zao? Michango yenu tafadhali,
 
nenda mlimani au kinondoni makabulini kama unaelekea soko la TX kuna sehemu pale watakusaidia jina lake limenitoka..

pili hii mada ni ya jukwaa la elimu sawa mkuu..
 
nipe hiyo deal nikufundishe ukafanye hiyo paper British council..1hr 50 US dollar
 
nenda mlimani au kinondoni makabulini kama unaelekea soko la TX kuna sehemu pale watakusaidia jina lake limenitoka..

pili hii mada ni ya jukwaa la elimu sawa mkuu..

usiwe mpumbavu,hii thread niliiweka kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko,mods akalihamishia huku,wewe unabwabwaja nn? Kama hujui kaa kimya, Mjinga wee!
 
Ongera kwa kujiandaa kufanya toefl kwa dar unajiregister tansao(golden tulip) na mtihani int sch of tanganyika.pia hata ukitaka sat but ielt nenda british council toefl $ 300.usisite kuuliza tena
 
Ongera kwa kujiandaa kufanya toefl kwa dar unajiregister tansao(golden tulip) na mtihani int sch of tanganyika.pia hata ukitaka sat but ielt nenda british council toefl $ 300.usisite kuuliza tena

Asante mkuu Super,sasa kati ya hiyo yote (toefk,ielts,na sat) upi ni gharama nafuu? Na ni rahisi labda kufaulu?
 
Asante mkuu Super,sasa kati ya hiyo yote (toefk,ielts,na sat) upi ni gharama nafuu? Na ni rahisi labda kufaulu?

...nafikiri Super amekusaidia. Kuhusu ni mtihani upi ufanye.....inategemea unaufanya kwa madhumuni gani. Kama ni requirement ya kujiunga na vyuo nje, watakuwa wamesema/specify wanataka nini...kama it is only english language test unaweza kufanya IELTS britishcouncil na ni cheap comparing to TOEFL. tembelea hapa kwa habari zaidi za IELTS Take an IELTS English exam with the British Council in Tanzania
 
Nenda Mlimani uliza Linguistics Department, then uliza Prof. Magway atakusaidia kwa hiyo issue yako. 2007 nilifanya Toefl Test kwake alikuwa anatoza 30,000/= TSH sijui kwa sasa.
 
Back
Top Bottom