AFRICAN BOYI
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 114
- 320
Habari zenu wakuu,
Nauliza ni minada ama magulio yapi hapa Tanzania ipo vizuri ki biashara yaani ina amsha amsha. Asilimia kubwa kila mkoa ina minada yake, je ni mkoa upi minada yake huwa iko hot kwenye biashara.
Kwa wale mlio zunguka hii Tanzania naomba mtusaidie katika hilo. Naimani kuna minada iko vizuri sana kwa biashara hapa Tanzania inshu ni kuijua. Msaada wenu tafadhali
Na vipi kuhusu bidhaa inayo toka zaidi kwenye minada. Msaada pia tafadhali, niko nasubiri michango yenu waungwana.