Toaaaa

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
455
Ni sauti toka chumba cha kati, sikuelewa nini atoe, unapeleka mbali, sikupata jibu tuuu, sikutaki tena maana wewe ni muharibifu wa mali za wengine, nikatoka kapa tena, mamaaaaaaaaaaaaa, sauti kwa mbali ikawa inafifia utadhani MWANGWI vileeee...mara hapo hapo, oh ulikosea, sikuachi daima, eeehhh jamanii wewe,....sasa nikajiuliza je, alilazimishwa? mwanzoni hakujua ni pale pale, maana nilitaka kuita POLICE, kama wewe ungefanyaje?
 
acha umbea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom