Watu wanakaba hadi kivuli
si vibaya ukijijua.....l.o.l
hivi hiyo signecha yake ktk paji la uso ina maana gani?
Vipi dearest hujampenda huyo mrembo hapo ili uachane na ukapera
nataka kuitwa wifi hadi nichoke mwaka huu!
Nataka kula pilau la harusi,
nataka kupiga vigelegele hadi koo likauke ndio maana mabinamu zangu especialy those single ones nawaletea vifaa ambavyo najua lazima mtangaze ndoa,mmeshakua watu wazima sasa, hebu oeni, 'uhuni' hauwapendezi tena.
Haya mchumba huyo hapo chini,kajieleza vizuri tu ,msipotangaza ndoa ntajua mna matatizo na itabidi mniambie mna matatizo gani.
natafuta mchumba!!!!!
natafuta mchumba ila awe tiyari kukubaliana na masharti yangu
(1) akubaliane na urembo wangu asinipangie,
(2)awe na miaka kuanzia 50,
(3)awe muimbaji,
(4)asiwe na mke mwingine,
(5)awe na chapaa za kutosha,
(6)awe na nyumba ya maana,
(7)asiwe na mkopo benk,
(8)awe na gari zaidi ya mbili,
(9)nikiwa nae asiangalie dadaz za pembeni,
(10)asiwe na simu za tochi,
(11)asiwe mnywa tapu tapuzzzz!!
(12)awe hendi sam boy na mwisho
(13) akubali kupima kipimo kikubwa.
ni mimi wenu mrembo kuliko wote tz napatikana nyakato sokoni (mwanza)
with thanks to florah talent promotion
freemasons
nimeshajua tatizo lenu mabinamu zangu wapendwa,vigezo no. 7,9,10 na 13 vimewashinda ndio sbb ya sizitaki mbichi hizi huku mrembo mwamtamani.
Mtaona wenye vigezo wataavyojipatia mke kirahisi,
nyie wenye mamikopo benk mtamuwezea wapi si mtamuua bure mrembo wa Taifa kwa pressure maana mtaanza kumwambia auze bling bling zake mlipie mikopo.
mimi naomba niweke tangazo hili ili nieleweke zaidi
"kama kuna mdada yeyote hapa JF ambae kwa namna moja au nyengine amefanana na huyu mdada kwenye sredi hii na nilimtumia PM, naomba anirejeshee PM zangu kama nilivyozituma"
asanteni kwa ushirikiano.
Ahahahaaaah!!!kaka unaweza kuamka usingizini ukaangalia kulia kwako ukapiga mayoweee
mimi naomba niweke tangazo hili ili nieleweke zaidi
"kama kuna mdada yeyote hapa JF ambae kwa namna moja au nyengine amefanana na huyu mdada kwenye sredi hii na nilimtumia PM, naomba anirejeshee PM zangu kama nilivyozituma"
asanteni kwa ushirikiano.
mimi naomba niweke tangazo hili ili nieleweke zaidi
"kama kuna mdada yeyote hapa jf ambae kwa namna moja au nyengine amefanana na huyu mdada kwenye sredi hii na nilimtumia pm, naomba anirejeshee pm zangu kama nilivyozituma"
asanteni kwa ushirikiano.
Na akuombe radhi :yo:
ahahahaaaah!!!
nalog out kidogo kaka, kila nikifungua hii sredi nakuwa naiogopa JF ghafla, mimi nazani mod wangeliipeleka hii jukwaa la wakubwa, si unaona hiyo picha ya mwisho mdada kavaa night dress.kaka tafuta muvi moja inaitwa shallow hal
nalog out kidogo kaka, kila nikifungua hii sredi nakuwa naiogopa jf ghafla, mimi nazani mod wangeliipeleka hii jukwaa la wakubwa, si unaona hiyo picha ya mwisho mdada kavaa night dress.
nalog out kidogo kaka, kila nikifungua hii sredi nakuwa naiogopa JF ghafla, mimi nazani mod wangeliipeleka hii jukwaa la wakubwa, si unaona hiyo picha ya mwisho mdada kavaa night dress.