to all my single boyz in here..

hashyool na klorokwin, wanasaikolojia wananiambia kwamba jinsi mnavyojitahidi kumponda huyu dada ndivyo inavyoonyesha jinsi mmeshanasa.
Si mseme tu tuamue yupi kati yenu anastahili kuondoka na mrembo,niwakusanye kina mama wa jf tuanze kupiga vigelegele.

siku ya harusi iwe giza
 
Kwani huyo dada ana ubaya gani?
Mbona mnamponda sana.
Mkimpata mnampigisha sop sop, unamtupia vipamba vya 4u2 mambo yanajipa.
 
acha nimalizane na husninyo halaf nitatubu, si inakubalika hii kwenye maandiko au?

Haikubaliki,yani wewe ukafanye dhambi yako ya makusudi then uje utubu,labda maandiko ya pharmacy ndo yanakubali........:shock:
 
Kwani huyo dada ana ubaya gani?
Mbona mnamponda sana.
Mkimpata mnampigisha sop sop, unamtupia vipamba vya 4u2 mambo yanajipa.

kweli mie sion ubaya wa huyu mdada.
honestly.
tena yuko natural,nywele zile zetu pure,ukimtizama vizuri hana hata mkorogo,ni hayo mawanja na mabling bling yake tu,yaani ningekua mwanaume nisingejiuliza mara mbili ningetia ndani.
 
Hicho kipengele cha kukubali urembo wake na asibadilishwe ndio tatizo hata mtu asipojali alivyoungua mkono na makovu kibao.
 
Hicho kipengele cha kukubali urembo wake na asibadilishwe ndio tatizo hata mtu asipojali alivyoungua mkono na makovu kibao.

ila dear wewe ntafurahi ukisema kuwa huyu mdada ni mbaya,
pia itabidi unieleze ulikua unatafuta nini hadi ukamchunguza kiasi cha kuona hadi hayo makovu wkt mie nilikua hata sijayaona.
huyu hakuhusu coz ww sio single hivyo ww nenda tu kanunue muindi wa kuchoma hapa niache na kina hashycool.
 
Orait,orait nitakuwa nasoma tu mimi sitafuti nawe ndio wangu wa 1-4 hamna nafasi hata ya kudandia hapa kwangu sweetdreams baby.
 
Nimeshajichokea na maisha ya ukimburu,lakini hapo utanisamehe CM.Maana hata unipe pesa zote za deni la DOWANS kwa sharti la kumuoa huyu bado nitakataa!!!

Siamini macho yangu, masikio yangu na akili yangu kama unanikataa hivi hivi. Jamani jamani si ulinambia mwenyewe nikutumie picha yangu sasa nimemuomba dada CM kwa heshima zote aniwekee halafu unanikana mbele ya watu.

Duu siamini siamini siamini. Najuuuuuuuta Najuuuuuta.
 
hahahhahaahha
nimecheka sina hamu
ooohh dear Cheusi
ndo maana niliku miss sana yaani

uliondoka kwa vishindo..
naona umerudi na nguvu zote dear..
hahah lol

duuhh nadhani wengi wao watasingizia huyo dada anatafuta mzee.
na anamashatri mengi
hahah lol
 
Yaani hii siredi nilikuwa sijaiona lakini nimecheka mwanzo mwisho lol, kaka zangu sio vizuri hivyo kwa hiyo wengine ndio hatutopendwa lol kwani hatutofautiani sana na huyo dada mwe. Ila hashycool, uprotocol, baba enock mmenichekesha mpaka mbavu zinaniuma
 
Back
Top Bottom