Watu weupe walianza utundu wa kutengeneza vitu vizuri miaka mingi sana
wakuu heshima yenu...
leo kwa bahati nimepata nafasi ya kurudia kuangalia hii filamu ya hii meli kubwa iliyozama enzi hizo...mara ya kwanza niliangalia nikiwa mdogo kiumri! sasa leo katika kuangalia nimekuwa na maswali machache ambapo ningeomba kusaidiwa majibu yakr kwa wenye ufahamu wake...maswali yenyewe ni
1.Je ni kweli hii meli ilizama kiuhalisia au ni story tu?
2.je kipindi hicho hakukuwa na mawasiliano ya kuja kuokolewa?
3.je ile Iceberg ilitokea vp katkti ya bahari?
4.kama ni kweli ilizama ilikuwa miaka gani na watu wangapi walipoyeza maisha ba wangapi waliokolewa!?
5.je hiyo meli ilikuwa inatoka wapi na kwenda wapi?!
natambua maswali mengine naweza google but nataka majibu ya hapa ili wafaidike wengi so kama hauna majibu kuwaa msomaji tu usilete kejeli hapa....na kama kuna mwingine mwenye maswali aongeze hapa ili tupate majibu.
natanguliza shukranu zangu za dhati.
ok,ilizama mwaka 1911, nailikuwa inatoka London(uk) to USA got me buddy!

Na kwa nini mpaka leo haijatengenezwa meli nyngne kubwa kama hyo?
Walipitisha sheria kali marufuku kutengeneza meli kubwa tena kama ile kwa ajili ya abiria.
Sasa nakutuma.........muulize huyo gugo habari za ENOLA GAY........nataka nijue.........

Bana!!!.....sasa kwa nini.......?.......