Titanic sunk by steering mistake, author says

Kwa kuongezea tu sister ship ya titanic ilikuwa imepata ajali mara kadhaa hvyo ikahitaj matengenezo makubwa ambayo yangeitia hasara kampuni hvyo mabosi walikaa na kukubaliana na captain washift position ya hz meli mbili zilizokiwa zkifanana sana kwa kuwa ni same class ili wakaizamishe ile meli ya awali na kulipwa bima kubwa .
Mbona tunaambiwa hiyo meli ndio ilikuwa inafanya safari yake ya kwanza,hizo ajali za mara kadhaa vipi tena?.
 
Kuna meli ilikuwepo kabla ilikuwa ikiitwa olimpio na titanic ilijengwa kufuata class ya meli hyo,hvyo zilikuwa zikifanana na class ni sawa na model kwenye magari
 
Ukiingia deep zaidi yule tajiri mwenye meli hyo ali cancel kusafir safar hyo pamoja na familia yake wakat ile ilikuwa ndo maiden voyage pia yule captain alikuja kujiua kesi ilipoanza
na taarifa zaid ni kuwa kipind kile kulikuwa na strike ya steam workers hv unafikir wangewapata wapi watu wa kuichochea meli na ni intensive labor jibu ni kuwa wafanyakaz wa ile meli ya zamani ndio waliotumika kwa kutishwa kupoteza ajira zao ikiwa watagoma
 
Kuzama kwa limeli hili ni mchezo ulotengenezwa barabara, kwa lengo na makusudio yake, ukisoma katika machapisho mbali mbali, meli iliyotumika sio meli iliyokusudiwa, walitumia meli nyingine, ukiangalia hata nahodha wa titanic hakufa kwenye ajali kwa maana meli yake haikusafiri wala wafanya kazi wengi wa meli husika, palikuwa na change over usiku ule wa meli kuondoka na ilikuwa ni makusudi kabisa hata zile shehena za dhahabu hazikuwa kwenye meli ilopata ajali, nahodha alipewa ramani ya safari yenye lengo la kumpeleke kwenye miamba ya barafu ili wapotelee huko, ukiangalia kwenye manifesto original ya meli watu wengi tu wako hai, hawa ni wale ambao walitolewa kimya kimya kabla ya safari na wengine walitengenezewa mazingira ya kushindwa kusafiri. Ile meli original ilibomolewa na vyuma vyake katika tons of tons kuuzwa china kama chuma chakavu.

Mh
 
Back
Top Bottom