MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
Aisee acha tu mkuu kuna matukio yanaumiza moyo sana kwenye ile move,mfano pale rose anapomsaliti mchumba wake,imeniuma sana

Unaweza kukuta huyo bibi sio mzee kihivyo ila wamemfanyia make up.
Si unajua Holywood huwa hawashindwi!!