Kuna tetesi kwamba kuosha uke sana kwa sabuni au kujiingizia vidole kuna uwezekano wakupata maradhi makubwa na kama nikweli sasa basi ni njia zipi za kusafisha uke bila kupata madhara naombeni majibu wakuu karibuni
Hizo tetesi zaweza kuwa kweli au La!
UNACHOTAKIWA KUFANYA:-Ni kuingiza only kidole kimoja, uwe umekata kucha zako vema kabisa, uzungushe ilo dole lako ndani ya pango kwa upole na uone dole latoka likiwa safi.
Siyo uingize vidole vyako kama ulivouliza... afu uanze kusikilizia utamu...huku una-tepeat! Aaa, huo hauttakuwa usafi...bali unatafuta matatizo.
Tumi mkono wa kushoto, nyoosha vidole vya kiganja chako vyote vitano....alafu kunja kidole kimoja cha katkat kama ishara ya kumpiga mtu dole, na uzamishe icho kidole kunako....umaanishe usafi. Ingiza, zungusha mara mbili alafu toa, jimwagi maji na sabuni....uko fresh. USIINGIZE SABUNI AU POVU LAKE TUNDUNI. Usafi huu ni mara moja tu kwa siku. FINE.
Kwa hiyo kidole kisiingie ndaniii tusafishe juu au ?????
Unaingiza ila kiwe kisafi na kuwengine wanashauri usiingize kabisa sasa sijui lipi tufate
haiwezekeni kutenganisha usafi wa uke na unywaji wa maji ya kutosha,matunda na mboga mboga(foods rich in Fibre).Mazoezi nayo ni muhimu ingawa hayana impact ya moja kwa moja na na usafi wa uke.
Hali kadhalika usafi wa uke unahusishwa kuwa na mpenzi mmoja tu na si kutoa fursa ya kuingiza kila mtu katika hazina yako!
Maaana ni kidole kiwe kisafi na uoshe na maji tu bila sabuni,sasa tusipopaosha si patakua shidaaa
Usiingize vidole wala kuweka chochote ukeni, zaidi ya sabuni ya kipande tu tena hizi za kawaida kabisa sio zote kuna zingine ni majanga,usiweke sabuni moja kwa moja ukeni ni hatari, osha vizuri maeneo ya juu fua chupi na ukiweza ibadili hata mara 4 kwa siku. hii inatosha, zaidi ya hapo unataka matatizo.
kuhusu smel + muwasho, just see dokta only atakupa ushauri na sio kutumbukiza midole huko, sijawahi sitowahi. magonjwa haya kinamama tunasababisha wenyewe, mi hata wakinishauri sifanyi, mlio kwenye ndoa hamna hata haja ya kuingiza midole unapokutana na ... anasaidia kutoa uchafu kuliko kuweka vidole na hatimaye kupata kansa ya kizazi nk.
mtu atasema oh. sasa c uchafu ukiwa na babaa zen anatoa uchafu, uchafu ule haunuki hata kidogo labda kuwe na ugonjwa au tatizo lingine, so mwache autoe yeye maana hiyo ni njia salama pia, koz ile ndude inakibali maalumu cha kuingia huko ndani, unaisafisha tu zen ...
usiweke vidole, asali, kachumbali, wala viungo vya pilau huko mahala. shauri yako.
Na vipi kale kaharufu kaasili ambako tunatakiwa tuwe nako hua kakoje maana mi nasikiaga tu
Weka kidole ujinuse huhuhuhuhuuuu
Dk. 20 zote anasubiri nini? huyo demu nae anatakiwa aje amejiandaa mwenyewe-muda wa kupoteza uko wapi watu wanakimbizana na maisha![/QUOTE
Da jf never bored.
toa ushauri wako
Ndugu yangu sijawahi fanya hiyo ishu hata siku moja ktk maisha yangu, huwa naosha vizuri sehemu ya nje, tena usiweke sabuni moja kwa moja ukeni ipake mkononi zeni uoshe, vizuri tu sehemu za nje zote. siku zote huwa nakuta maeneo haya yanatoa uchafu yenyewe nami namalizia tu nje pamoja na kufua pichu, ukiweza kama una mazingira mazuri jaribu kunawa uke kila baada ya masaa 4, na vizuri ukabadili na pichu pia.
kuingiza vidole humo ndani ni matatizo ya kujitakia. mimisijawahi ona shida yoyote ile hata harufu. ukiona kuna harufu au shida zingine nenda tu kwa dokta hayo yatakua matatizo mbadala. lakini uke unajiswafi wenyewe never enter finger or fingers in.