Tips and tricks zitakazomsadia mwanamke atongozwe Kwa urahisi

martyr101

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
363
546
Mimi naamini kati ya mtihani mkubwa ambao mungu amewapa wanawake ni kusubiri atongozwe,maana yake ili kumpata unayemtaka inabidi utongozwe Sana vinginevyo inabidi ukubaliane na yoyte hata kama Hana vigezo unavyo taka.

Hata ivyo katika miaka ya ivi karibuni wanaume wamepunguza kutongoza kwa kiwango kikubwa na hii nimeipata ninapopita kwenye social media tofauti tofauti kila mtu anasema la kwake mara maisha magumu, low self esteem,na vitu vingine vingi.

Pamoja na kwamba hayo yanaweza kuchangia lakini hili Jambo tusiliangalie kwa upande mmoja tu wanaume, nazani na wanawake wanajambo la kufanya kabla ya kwenda kwa mwamposa na kufunga kwa maombi,au kuhamua kumtongoza mwanaume is a terrible mistake

1. Jua kujipozisheni we unakaa ndani tu utatongozwaje?

2. Unapotoka penda kutembea peke yako Achana na kuambatana na kundi, mwanaume kukusoti kwenye kundi ni ngumu,

3. Kuwa simple kimuonekano usipende Sana kujiweka kibei mbaya maana hata wanaume wa bei mbaya hawatakagi wanawake wa bei mbaya.

4. Jua namna ya kumkataa mwanaume akueshimu na akubaliane na wewe kirahisi ,usimwambie mwanaume unamtu wakati hauko naye na huna pete mjibu mtu kiuwazi kwa kumwambia ukweli uliopo. Mfano najua unanihitaji lakin sijavutiwa kabisa kuwa na wewe kivyovyote, ukiweza mwambie na sababu ya kumkataa.ukimaliza kaa kimya ondoka Usipayuke, kuwa siriazi na stable chunga kabisa kutukana au kutoa maneno ya zarau.usijibu tena kitu chochote iwe kwenye simu au kawaida.

5.Tambua unachotaka ukivaa kiuni utavutia wauni, ukivaa kiheshima,(elewa kuvaa kieshima siyo kuvaa kiumama jua namna ya kutemple na age yako) utavutia permanent and long relationship

6.Sahau yaliyopita kila mtu anastori tofafauti defence mechanism zinazotokana na mahusiano yaliyopita itakukwamisha Sana,yale mambo ya kusema wanaume wote ni Sawa haitasaidi chochote

7.Achana na inferiority complex ,hii ni Ile kuona MTU anayekutongoza anakuzarau,au anajiskia au we siyo kitu kwake hii itakukwamisha sana.kama humwamini mpe muda mnyime mapemzi msikilize

8. Epuka kuongea vitu sensitive mbele za wanaume hata kama unaujasiri kiasi gani,hata kama ni kiutani usiongee maneno machafu mbele ya wanaume mtacheka mtafurahi lakin ashakuvua vyeo

9. Kama wewe ni pisi Kali na kwa bahati mbaya au nzur ukagundua tembea na point no 3,5 na kama umempenda mtu na akakutongoza usikae Na Ile anamamuzi akiniacha mi ntatongozwa na wengine ni kweli atakuja ila anaweza kuja shetani

10. Chunga maneno ya kushujaa kutoka kwenye kinywa chako kumbuka kila neno linalotoka kwenye kinywa chako lina ku grade

11. Wana endeleeni na point zingine mnazoona zinawakwamisha kuchukuwa hatua ya kutongoza kutoka kwa lady's
 
Kuna pisi kali mmoja nimemtongoza sana bila kutoa jibu la kueleweka. Niliendelea kumtongoza huku akiomba kiasi cha fedha nampatia nikiwa nazo. Mwisho nikamuomba namba yake ya simu alinijibu yeye huwa hapigiwi wala kuchatishwa. Jibu la mwisho lililonikera ni kunijibu kuwa simu yake hahifadhi namba za wazee.

Jibu hilo lilinimaliza mazima sikutaka tena stori naye hata salamu siku hizi hapati na nimemshusha grade namuona ni mbaya ana kasoro na sitaki anihudumie kwenye mgahawa anaofanyia kazi. Ana majibu mabaya ya dharau, hapati tena ofa za soda na vocha. Angekuwa na kauli nzuri hata kama hanipa penzi angefaidi sana ofa nyingi kwa muda mrefu
 
Wanawake wana style ya kutongoza wakimpenda mwanaume, huzuga wanaomba hela huku wakiwa na tabasamu pana, sie wengine tunasubiria hapo wajiingize kwenye kumi na nane tumalize mambo. Hela natoa huku nami nikiomba promise, nikipewa appointment naongeza dau zaidi
 
Kuna pisi kali mmoja nimemtongoza sana bila kutoa jibu la kueleweka. Niliendelea kumtongoza huku akiomba kiasi cha fedha nampatia nikiwa nazo. Mwisho nikamuomba namba yake ya simu alinijibu yeye huwa hapigiwi wala kuchatishwa. Jibu la mwisho lililonikera ni kunijibu kuwa simu yake hahifadhi namba za wazee. Jibu hilo lilinimaliza mazima sikutaka tena stori naye hata salamu siku hizi hapati na nimemshusha grade namuona ni mbaya ana kasoro na sitaki anihudumie kwenye mgahawa anaofanyia kazi. Ana majibu mabaya ya dharau, hapati tena ofa za soda na vocha. Angekuwa na kauli nzuri hata kama hanipa penzi angefaidi sana ofa nyingi kwa muda mrefu
Wadada wanaojibu wanaume vibaya bila sababu wakati wakitongozwa siwaelewagi kwakweli, kama humtaki mtu inakost tsh ngapi kumpa hapana ya kistaarabu, LOTH HEMA
 
Wadada wanaojibu wanaume vibaya bila sababu wakati wakitongozwa siwaelewagi kwakweli, kama humtaki mtu inakost tsh ngapi kumpa hapana ya kistaarabu, LOTH HEMA
hawa tunaowatongoza kwenye simu wakijibu vibaya huwa nawapa darasa huru namna ya kujibu vizuri kama humtaki huyo mwanaume, hulazimishwi kukubali. Kuna mama mmoja mtumishi wa Mungu alikuwa anafundisha kanisani namna nzuri ya binti kujibu vizuri kama hajampenda anayemu approach. Wapo wanaokosa waume wema kwa kuwajibu vibaya
 
Kuna pisi kali mmoja nimemtongoza sana bila kutoa jibu la kueleweka. Niliendelea kumtongoza huku akiomba kiasi cha fedha nampatia nikiwa nazo. Mwisho nikamuomba namba yake ya simu alinijibu yeye huwa hapigiwi wala kuchatishwa. Jibu la mwisho lililonikera ni kunijibu kuwa simu yake hahifadhi namba za wazee. Jibu hilo lilinimaliza mazima sikutaka tena stori naye hata salamu siku hizi hapati na nimemshusha grade namuona ni mbaya ana kasoro na sitaki anihudumie kwenye mgahawa anaofanyia kazi. Ana majibu mabaya ya dharau, hapati tena ofa za soda na vocha. Angekuwa na kauli nzuri hata kama hanipa penzi angefaidi sana ofa nyingi kwa muda mrefu
Angekuwa anataka hizo offer zako ziendelee asingekupa majibu ya kukatisha tamaa kama hayo.
Kukuomba pesa ilikuwa ni njia ya kufanya uachane nae.
 
Kiukwel laana isiyo na sabsbu haimpati MTU lakini wanawake wanatoaga sababu wenyewe,wanaume huwa wanaongea maneno magumu Sana yaliyo ambatana na uchungu na haya huwa yanafunga vibaya baada apo unakutana na wale watu wanaochezaga magemu wakichoka wanaangalia porno wanajilipua,wakimaliza anacheki muvie huku akisikilizia mkeka wake alioweka TSH 200 anasubiri M1 ,wewe mwanamke uliyemjibu mwanaume vibaya akaanza tuone kama ataolewa na nadhan hawa ndo Aina ya wanaume utakaokuwa unakutana nao wanaonaga mwanamke takataka.
 
Angekuwa anataka hizo offer zako ziendelee asingekupa majibu ya kukatisha tamaa kama hayo.
Kukuomba pesa ilikuwa ni njia ya kufanya uachane nae.
ndio najua wapo mademu wakihisi unataka kuwatokea na hawakutaki, ukiwatongoza utaombwa hela kubwa ili uachane nao. Afadhali ya hao kuliko wenye midomo michafu kwa majibu
 
Mtajiuliza Sana kwanini mwanaume akilaani laana inafanya KAZI,sababu ni kwamba jukumu ilo amepewa na mungu siyo matakwa yake na anapolalamika kwa uchungu ni kama anamwambia mungu wewe ndo uliyenipa haya mateso na mungu hawez kukubali kulaumiwa kwasababu yako atahakikisha na wewe anakupitisha paala utaita maji mma
 
Kuna wakati mi hujipa likizo ya kupumzika kutongoza muda hata wa miezi mitatu huwa sipendi kujibiwa majibu ya karaha na simu yangu huwa nafuta namba za mademu wote walionipa. Nikijipa muda wa kuacha kutongoza wanajitokeza wapya kunitaka. Ishu ni kwamba napigwa mizinga sana na siachi kutoa hata kama penzi sitapewa poa tu nikichoka nitaacha kutoa
 
Nazan siyo kwamba wanaume hawatongozi ila kiwango cha kutongoza ndo kimeshuka na hii ni dunia nzima ,nazan ISAYA 4:1 itatimia fasta sana
Nanukuu,
"Isaya 4:1
[1]Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu."
Basi kazi ipo🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Back
Top Bottom