Sex tips muhimu (si za kupuuza)

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,008
5,446
Hope your soo good every body,

Leo nataka kushare na both gender, kuhusu ya vitu muhimu wakati wa kufanya mapenzi (sex)....

Nikujuze tuu kuna vitu vidogo vidogo vikipuuzwa vinaweza kukuharibia penzi na heshima yako, lakini vikakusababishia maradhi mbali mbali.

Now lets go...
1. Pindi mnapokutana kwa ajili ya kufanya mapenzi hakikisha mnaoga kwanza... yes! Wote wawaili ndio... usisingizie ulioga ulipotoka hapana.

Kwanini?
Kuna mikao/mitindo ambayo itasababisha sehemu za harufu kua wazi na kusababisha harufu ya kukera kwa mwenzako... sehemu izo ni makalio (puru), makwapa ama nyeti zenyewe.

Pia;
Ile foreplay inaweza ikamuacha mtu ananusa nusa vidole wiki nzima... mhh yes kuna wanawake si wasafi bwana ukijichanganya na vidole tuu utanawa na sabuni zote harufu haitoki.

Pia kwa wale wanaopenda kuchezewa makalio wajitahidi saana kunywa maji mengi ili wasiwe wanatengeneza harufu kali ya choo ambayo inaacha puru kuwa na harufu pia.

NOTE: si sapoti ngono kinyume na maumbile ila najua wanawake wengi wanapenda kuchezewa kule.. masela nawamegea siri.

2. Pili hakikisha umepiga mswaki vizuri umesugua ulimi vizuri fidhi nk. Hapa nakazia hasa kwa wanaume tunanuka mbaya mdomo wanawake mnavumilia saana.

Hapa kila mtu asijiamini we make sure unatafuna zile chewing gums za mint kwa hewa nzuri, pia ka we ni mtu wa vitu vya asili tumia karafuu kwa mwanaume itakuboost pia.

3. Hakikisha umejisaidia haja zote mapema... infact unaelewa yaani katikati ya sex mtu analalamika mkojo umembana daah...!!! Inakera aiseeh.

4. Punguza marashi au usitumie kabisa, nikuambie kitu... kuna kile kiarufu cha asili mwilini mwa binadamu aiseeeh kinaongeza chachu na raha ya tendo saana.

Iko hivi ikiwa ni mtu wako mara ya kwanza uwezi jua pengine ana mzio (allergy) na perfume kali au aina hivyo.

Wakati mwingine inaweza ikawa ngumu kukuambia hivyo si vyema kutumia ya kiwango cha juu.
Muhimu ukawa natural au ukatumia kidogo marashi yasio makili.

5. Usile mifyakula yenye viungo vikali na kushiba ndi ndi ndi... ikifika kwenye tendo fully kubeua beua mipilau sijui mi biriani.

Pia hata kuna vyakula navyo vina mi beuo mikali kama dagaa kauzu n.k inakera saana...

Kwa leo twende na haya kwanza muhimu kabisa ambayo hayazungumziwi sana ila yana impact kubwa.

Hata uwe pisi kali kiasi gani au gentleman vip bila kuzingatia hivi we ni mshamba tuu..

Karibu kwa nyongeza
 
Back
Top Bottom