Tips and tricks zitakazomsadia mwanamke atongozwe Kwa urahisi

Mm mwenzKo mkubwa najionea huku wanavopata stress na kushinda makanisan..
Unakuta mdada mzuri,ana masters kazi UN,anaish oysterbay apartment kali ana push dreamcar zetu kitu inacost $30,000and above lakin no mume
Very sad🤦‍♀️
 
Me naamini wakati wake bado haujafika... atapata tu wakufanana nae
We ungekuwa mwanaume utakubal kuoa mwanamke mzee wa 30+ and worse enough ana mtoto? Kilometa zimeenda kibao,tatizo wengi wakiwa in their 20's ukimwqmbia umuoe anaringa anakupandisha juu mpaka chini😁😁
 
Hivi ni kwanini mwanaume akitongozwa na mwanamke kuchomoka inakuwa ni ngumu sana, wanaume sisi ni wazaifu sana 😅.

All in all mi nadhani kutongozana ni sanaa kamili, na kila mtu ana utofauti wake katika hili swala.

Binafsi nampenda mwanamke mwenye majibu mabaya na anaye kataa watu ovyo, na akinitukana ndo nampenda zaidi.

Nikigundua watu wengi wanaogopa kumtongoza kwa muonekano wake mzuri au kuwa classic sana ndo nabaki hoi kabisaa .
 
Kiukwel laana isiyo na sabsbu haimpati MTU lakini wanawake wanatoaga sababu wenyewe,wanaume huwa wanaongea maneno magumu Sana yaliyo ambatana na uchungu na haya huwa yanafunga vibaya baada apo unakutana na wale watu wanaochezaga magemu wakichoka wanaangalia porno wanajilipua,wakimaliza anacheki muvie huku akisikilizia mkeka wake alioweka TSH 200 anasubiri M1 ,wewe mwanamke uliyemjibu mwanaume vibaya akaanza tuone kama ataolewa na nadhan hawa ndo Aina ya wanaume utakaokuwa unakutana nao wanaonaga mwanamke takataka.
Laana tena? Mtu kama hakutaki kakujibu vibaya si unamuacha sasa mambo ya kuongea tuone kama utaolewa yanatoka wapi? Alafu unakuta mwanaume mwenyewe anaeongea hayo ni muhuni mmoja tu hana sifa hata moja ya kuitwa mume. Nadhani tupunguze kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu maisha ni mazuri sana tukitambua sio lazima kukubalika na kila mtu.
 
Back
Top Bottom