TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
Naona povu linawatoka na hamuoni wala hamsikii, mkiambiwa tuonesheni kipi ambacho Kikwete hajafanya zaidi? hamna.
Sisi tunaona tuzo za nje, za Uongozi bora, report za nje za uchumi kukuwa kwa kasi. Mabarabara ndio kama ujuavyo, nchi ya kwanza katika Afrika yenye miradi mingi ya barabara za lami kwa sasa. Mashule ndio hayo, zaidi ya elfu nne kwa miaka minne. Demokrasia ndio hiyo, hata waliosusa wanakwenda kupata juisi Ikulu. Madaktari ndio hao ingawa kisheria hawamo katika watu wanaoruhusiwa kugoma lakini hawakula virungu.
Mpewe nini Watanzania minority mnaolialia kila saa. Nna uhakika angekuwa wa tabaka fulani huyo, haaaaaaa, angekuwa tende kwa gahwa. Na wanao msema sema hovyo humu bila mantiki wala takwimu ni wale wale "minority", sisi tunajuwa na nyinyi mnajuwa! Bisheni na hilo.
Lakini siwashangai sana historia inaonesha siku zote "minorities" huwa wanapenda kudeka, na mmempata Kikwete anajuwa kudekeza, Mshukuru kwa sana tu.
CCK ingekuwa imewahi kusajiliwa pengine na wao wangepata juisi, lakini wasikate tamaa, wamuombe tu Kikwete kuonana nae, hatowakatalia, hata waliomsusa kawakubalia itakuwa nyie?
My dear hakuna povu, sanasana mbegu tu zinadongoka na baridi hii.............. next!!:nerd:hayo ya CCK sasa unatafuta bifu na MMM maana alikuja na CCJ, sasa CCK next year CCL mwisho atafika CCM (J,K,L,M,N,O..............)