ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,972
- 1,649
Kwa bajeti ya dola bilioni nane, hakuna wazir yeyote au PS atakayebadilisha conditions za mahospitali yetu.
Binafsi naona madaktari ni selfish na wapuuzi wasiojali nani wanamtumikia.
na alaaniwe mtu mwenye ubinafsi wa kujilimbikizia kila kitu kwa kisingizio cha bajeti ndogo