Time travel na Time Machine ni nini ?

Time traveling is purely a myth!
You are traveling in time, from the past to the future, one second per second per your framework and point of reference.

The mathematics of Einstein's Relativity shows how is it possible to use time dilation to skip some years from one point of reference while travelling at relativistic speeds in another.
 
Kwa mujibu wa relativity, kwa huyo Kulwa, kila kitu kitakuwa cha kawaida, yani ataona muda unaenda kama kawaida.

Ukichukua mfano extreme wa ku freeze muda ni vigumu kueleweka na hauwezekani kufikiwa kwa vitu vyenye mass (akizidi kukaribia speed of light, ndivyo uzito wake unavyozidi kukaribia infinity). Mfano mzuri zaidi ni wa Kulwa ku age kwa maiaka kama 10 wakati Doto ana age kwa miaka 60.

Mfano huu unapigia mstari ukweli kwamba:-

1.Muda ni relative (Relativity Theory ya Albert Einstein)
2. Speed inapunguza kupita kwa muda kwa aliye katika chombo kinachokimbia kwa mujibu wa macho ya mtu aliyesimama ambaye hakimbii.
3.Kwa mtu aliye katika chombo kinachokimbia, muda utakuwa unaonekana kupita kama kawaida
4. Kinadharia, ukiweza kufikia speed of light unausimamisha muda
5. Kiukweli huwezi kufikia speed of light, unavyozidi kuikaribia uzito wako unazidi kukaribia infinity
6. Speed inaongeza uzito
Speed ni relative bado nashindwaga kuielewa, nikisoma gugo naona kama nazungushwazu ngushwaa. Embu dadavua.

Hapo namba 6, navyojua speed inavyokuwa kubwa uzito wa chombo au kitu unapungua na kuwa mwepesi.
 
Du hapa kidogo naomba nifufue mada, ivi mfano nikapata time kachene nikaenda past alafu nikamuua baba yangu kabla mama ajapata mimba ya kunizaa Mimi nini kitatokea?
sasa utamuuaje wewe utajikuta umerudi then utakuwa sperm ambayo hijaungana na yai la mama
 
Huu uzi umenifumbua kuna muvi huwa naifatilia inaitwa the flash sasa hii muvi wanaongelea kuusu time yan wametengeza kifaa ambach ukikimbia kwa speed ya mwanga unaweza kurudi nyuma. Ukaona ulipo toka. Kuhusu hyo ya kuharb past yako nayo wameizungumzia maana huyo flash alirud nyuma akaenda kumuokoa mama ake akafanikiwa lakini akaharbu time ambayo ipo curent so ikabd arud tena past akamuweke mama ake afe then mamb yakakaa vzr hii muv imeelezea sana Hi mamb na huu uzi umenifungua sasa nimeanza kuelew ile muvi ipasavo shukran sana
 
Speed ni relative bado nashindwaga kuielewa, nikisoma gugo naona kama nazungushwazu ngushwaa. Embu dadavua.

Hapo namba 6, navyojua speed inavyokuwa kubwa uzito wa chombo au kitu unapungua na kuwa mwepesi.

flat,800x800,075,f.u2.jpg

Turudi darasani kwakuongea kihesabu zaidi. Hesabu za Albert Einstein za Relativity.

From Einstein's equation

E= m c(squared)

E= Energy
M= Mass
C= Speed of light in a vacuum (constant)

Ukiongeza upande mmoja wa equation, ni lazima mwingine uongezeke.

Ukiongeza speed, umeongeza kinetic energy, umeongeza upande wa E

Ukiongeza upande wa E, upande wa MC (squared) nao lazima uongezeke iliku maintain balance ya = sign.

Upande wa MC(square), c(square) ni constant, kwa sababu c ni constant.

Kwa hiyo, kitakachoongezeka ni M, Mass.

Ukiongeza speed, mass inaongezeka.

Nahii ndiyosababu kitu chochote chenye mass hakiwezi kufikia speed of light.

Kwa sababu, unapozidikukaribia speed of light ndivyo mass inavyozidi kukaribia infinity.
 
Kuna dogo mmoja home anaipenda sana The Flash. Haya mambo ya Time Travel na Black Holes anayafuatilia sana.

Ananikumbusha miaka yangu ileee.

Ila kwa sasa wanaanza kufuatilia mambo haya wakiwa wadogo sana, na hili ni jambo zuri katika kuwajengea msingi mzuri kuelewa Physics.
 
Sure mkuu
 
haya mambo yanavuruga kuliko kuelimisha.
Kwanini mkuu, wapi panapovuruga?

Nakubali kuna sehemu yanavuruga, lakini si mapema hivi. Kwa mjadala huu hata kwenye kuvuruga huko habari za singularity inayotaka quantum gravity theory ambayo imemshinda Einstein na mpaka sasa haijapatiwa jibu hatujafika.
 
Speed ni relative bado nashindwaga kuielewa, nikisoma gugo naona kama nazungushwazu ngushwaa. Embu dadavua.

Hapo namba 6, navyojua speed inavyokuwa kubwa uzito wa chombo au kitu unapungua na kuwa mwepesi.
m=M÷√(1 - ∆²)
Where
M is initial mass of object
m is final mass of object
∆²=v²/c²
v is speed of object
C is speed of light in air

Sasa basi, speed ya kitu (v) ikiwa inakaribia au sawa na speed ya mwanga (c) italelekea jawabu la ∆² kuwa sawa na 1 (kwa kukadiliia) kwahiyo formula yetu ya juu itakuwa
m=M÷√(1 - 1)
m=M÷0
Hence m = infinity
Tafsili yake ni kuwa, uzito wa kitu utakuwa mkubwa sana kiasi ya kuwa hakiwezi mupimika.

Kikirudi ktk hali ya kutulia izito wake unarudi kama mwanzo
 
Kwa kufuata kanuni za Einstein za "Relativity", hakuna muda halisi na muda unategemeana na mwendokasi pamoja na nguvu za uvutano.

Kwa maana hiyo, kadiri unavyozidi kuongeza kasi, ndivyo unavyozidi kuupunguza upitaji wa muda.

Kwa sayansi za Einstein, ukiweza kufikia mwendokasi wa mwanga (299 792 458 m / s) unaweza kuusimamisha muda.

Kinadharia, ukiweza kupita mwendokasi wa mwanga, utaanza kurudi nyuma katika muda na kuweza kujiona wewe mwenyewe unavyokuja.

Nasema kinadharia kwa sababu katika uhalisi, kitu chochote chenye uzito, hata mdogo vipi, hakiwezi kufikia mwendokasi wa mwanga, kwa sababu kila kinavyozidi kukaribia mwendokasi wa mwanga ndivyo uzito wake unavyozidi kukaribia infinity, na kinadharia kitu chochote chenye uzito kikifikia mwendokasi wa mwanga kitakuwa na uzito usio na mwisho.

Kifupi, time travel (kurudi nyuma) kinadharia inawezekana. In fact kila siku ukipanda gari na kwenda mwendo kasi unapunguza kasi ya muda kupita. Kinadaharia, ukiwa umezaliwa na pacha wako hapa duniani, unaweza kumuacha hapa duniani na wewe ukapanda chombo kinachoenda kasi sana kwenda kwenye nyota za mbali, ukirudi, kwa sababu muda utakuwa unapita kwa polepole zaidi kwenye chombo kinachoenda kwa kasi (time dilation) unaweza kukuta pacha wako kazeeka ana mvi wakati wewe bado kijana.

For more on Relativistic time dilation and object contraction see Chapter 28 - ROL

The time dilation wiki is at Time dilation - Wikipedia, the free encyclopedia
thanks for the unique reference mkuu...!!
 
flat,800x800,075,f.u2.jpg

Turudi darasani kwakuongea kihesabu zaidi. Hesabu za Albert Einstein za Relativity.

From Einstein's equation

E= m c(squared)

E= Energy
M= Mass
C= Speed of light in a vacuum (constant)

Ukiongeza upande mmoja wa equation, ni lazima mwingine uongezeke.

Ukiongeza speed, umeongeza kinetic energy, umeongeza upande wa E

Ukiongeza upande wa E, upande wa MC (squared) nao lazima uongezeke iliku maintain balance ya = sign.

Upande wa MC(square), c(square) ni constant, kwa sababu c ni constant.

Kwa hiyo, kitakachoongezeka ni M, Mass.

Ukiongeza speed, mass inaongezeka.

Nahii ndiyosababu kitu chochote chenye mass hakiwezi kufikia speed of light.

Kwa sababu, unapozidikukaribia speed of light ndivyo mass inavyozidi kukaribia infinity.
Mi navyojua ukitaka kuangalia relationship ya vitu viwili lazima ziwe side tofauti kwenye eqn.

E=mc²

Kama ni Speed na Mass inabidi zikae two side differently, yaan

E/m=c²

Square root both side

√(E/m)= c

Then hapo inaonesha kwamba, E ni direct proportional to C, yan energy ya kitu inakuwa kubwa pale speed inapo ongezekaa, and vice versa.

Ila kwa mass, Mass ya kituninapungua pale inapotembea kwa speed kubwaa.
Kupungua kwa mass hakuwez kuwa zero, bali itakuwa ndogo to infinity pale speed itakapokuwa kubwaa zaidi.

Hii hata kwenye vyombo vyetu vya usafiri tunaona, gari inapokuwa na speed kubwa uzito linakuwa jepesi, force ndogo tu inaweza kulipushi na kubinuka tofauti na likiwa na speed ndogo au alitembei kabisa.
 
Mkuu nafatilia ufafanuzi wako kwa uzuri sana, lakini haa kwenye kudadavua hii E=mcc nadhani kidogo kuna mapungufu, unaposema c ni constant ina maana haibadiriki na kinachobadirika ni aidha Mass au E, na oia kwa formula ilivyo m na c haziwezi kuwa zinategemeana au mija kuiathiri nyingine kwa moja kwa moja kama maelezo yako hapo juu, bali formula itakuwa c=squareroot ya E/m, na ikiwa hivi basi C sio constant
 
Asante kaka hata mimi niko kwenye uelewa kama wako
 
Unaelewakwamba energy ni mass na mass ni energy?

Kwa hesabu ya e=mc²

Ndiyo maana unaunguzamkaa (mass) kupata energy ya moto.

Hata ukisema E/m=c² kama ulkivyopindua, kwa sababu c² ni constant, ukiongeza e (kinetic energy) unaongeza m pia (mass) ili ku maintain constancy.

Tunarudi pale pale, ukiongeza speed unaongeza uzito.

Ukikaribia speed of light, uzito unakaribia infinity.

Ndiyo maana .

1. Hakunakilicho na mass kinachoweza kufikia speed of light.
2. Hakuna kilicho na mass kinachoweza kufanya time travel to go back in time in its own framework.

Kwa mujibu wa Einstein's Relativity.
 
Mkuu nafatilia ufafanuzi wako kwa uzuri sana, lakini haa kwenye kudadavua hii E=mcc nadhani kidogo kuna mapungufu, unaposema c ni constant ina maana haibadiriki na kinachobadirika ni aidha Mass au E, na oia kwa formula ilivyo m na c haziwezi kuwa zinategemeana au mija kuiathiri nyingine kwa moja kwa moja kama maelezo yako hapo juu, bali formula itakuwa c=squareroot ya E/m, na ikiwa hivi basi C sio constant
e= m times c²
c is constant, therefore c² is constant.
Ukiongeza e, ili kumaintain = inabidi uongeze m, c² haibadiliki, ni contant.

Sijaelewa hapo utata unatoka wapi.

Ni sawa nakusema

e = m X 5²

5² ni constant, ni 25, hivyo, ukiongeza e, ni lazima uongeze m ili alama ya usawa iwepo.

25 = 1 X 5²
50 = 2 X 5²
75 = 3 X 5²

And so on.

Unavyoongeza 1, 2 3 kama values za m, values za e zinaongezeka kutoka 25, 50 na 75 respectively and vice versa.
 
Da wadau akitokea mtu akaelezea deep itakuwa poa sana maana mna mention tu vitu alivyo sema Einstein bila maelezo
 
Back
Top Bottom