tiGO ni mafisadi

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Seriously,...
maisha yamepanda kiasi hiki?
Hadi tiGO mtandao ulio kuwa kimbilio la maskini saivi
kupiga simu kwa sekunde ni Tsh.3.25?

Kwanini hamtoi matangazo kwamba gharama zimepanda?
kwanini muendelee kusema "tumerudi tena" au maana yake ni
mmerudi kutu nyanyasa?

Mbona hampokei simu?
Acheni wizi bana,sio fair hata kidogo.
 
Kampuni ya simu ya TIGO ni majambazi. Hawa jamaa ni Roba ya mbao.
TIGO phone company are Robbers.......They are robbing poor Tanzanian public. We are going to mobilize Tanzania public to AIRTEL or Zantel. In two minutes TIGO charged me Tsh. 3,000/=. Throw way their sim card if you do have any........Just like VODACOM
 
Mimi nimeshaipumzisha sim card yas tigo maana naona wanazingua kama vipi airtel kwa sasa ipo poa
 
Mbona nasikia watu wameshazitupa hizo line za huo mtandao.....tiGO kwenda tiGO Tshs 200 - mpaka 230 kwa dakika moja, wakati Voda kwenda Voda ni Tshs 165 kwa dakika moja wakati Zantel kwenda Zantel ni Tsh 162 kwa Dakika Sita (6).
Tupilia mbali kama wengine walivyofanya
 
nahamia Zantel rasmi.
 
Kampuni ya simu ya TIGO ni majambazi. Hawa jamaa ni Roba ya mbao.
TIGO phone company are Robbers.......They are robbing poor Tanzanian public. We are going to mobilize Tanzania public to AIRTEL or Zantel. In two minutes TIGO charged me Tsh. 3,000/=. Throw way their sim card if you do have any........Just like VODACOM

Yaani wana kula hela kama hawana akili nzuri vile,..
too bad hata ukipiga simu customer care hawapokei....

Sasa kila sekta naona inaiba kulingana na uwezo wake,...its time
kuhamia airtel.

Kuiba wanaiba na bado kodi hawalipi
 
nahamia Zantel rasmi.
Ila kuwa makini, ukijiunga na huduma ya Highlife ili kuinganisha na Moderm kupitia hiyo line, ikatokea unampigia mtu yaani Zantel kwenda Zantel watakukata 250 kwa dakika moja.
 
mitandao yote ni wahuni hata uhamie wapi utakumbana na matatizo kibao mbona me tigo wananicharge pouwa kabisa wakati nina voda ni balaa kwa charges. Hao airtel ndo sitaki kuwasikia kabisa
 
Yaani wana kula hela kama hawana akili nzuri vile,..
too bad hata ukipiga simu customer care hawapokei....

Sasa kila sekta naona inaiba kulingana na uwezo wake,...its time
kuhamia airtel.

Kuiba wanaiba na bado kodi hawalipi

where is so called TCRA???
 
Tokea waliposimamisha ile huduma yao ya ku-double salio wakati unapoongeza salio lako, TIGO wamekuwa zaidi ya HITLER.....Ingawa simu nyingi ninazopiga ni TIGO TO TIGO, yet budget yangu ya simu per day imepanda kutoka average ya TShs.4,000/- per day na sasa imepanda hadi above TShs. 10,000/- per day....very shocking!!!!
 
Mbona nasikia watu wameshazitupa hizo line za huo mtandao.....tiGO kwenda tiGO Tshs 200 - mpaka 230 kwa dakika moja, wakati Voda kwenda Voda ni Tshs 165 kwa dakika moja wakati Zantel kwenda Zantel ni Tsh 162 kwa Dakika Sita (6).
Tupilia mbali kama wengine walivyofanya

Mkuu, kuna kitu nadhani kinaendelea kwenye hii mitandao kwa sasa.... voda ,tigo. walikuwa na gharama nafuu sana kama ukipiga siku kwenda tigo to tigo ulikuwa ukiwa na TSH 1000 ulikuwa unaweza kuongea hadi dk 12 na zaidi ila kwa sasa unapata dk 4 tu.

Voda to voda kwa TSH 1000 ulikuwa unaweza kuongea kwa dakika 15 na zaidi, ila kwa sasa unapata dk 4.5 tu.
na gharama hizi zimepanda ndani ya wiki moja na nusu iliyipita...

Sijui hawa jamaa wanakusanya pesa za sikukuu au wanarudisha fedha zao walizotoa misaada huko Zenji?
 
Jiungeni na tigo pesa kule ukinunua salio unapewa na dakika za bure ukinunua buku 3 unapata dk 19 za bure acheni kulalamika kama dagaa!!
 
Jiungeni na tigo pesa kule ukinunua salio unapewa na dakika za bure ukinunua buku 3 unapata dk 19 za bure acheni kulalamika kama dagaa!!

Hivi unajua ukitaka kuangalia salio lako la tigopesa unakatwa kiasi gani? ukijua utakimbia huo mtandao
 
Sasa basi mtupe data, mtandao upi unafaa basi, kwa unafuu?
Tulia na tiGO acha kuhangaika ukihama utarudi tu, kwa kifupi tigo wanadesturi ya kutoa ofa za kipindi maalum na sio za kudumu kwasasa ofa ya salio mara mbili imekwisha ukirudi mitandao mingine ndio wezi kabisa nakushauri tafuta handset ya line 3 utajaza voucher kwenye mtandao ambao utakuwa na gharama nafuu kwa kipindi hicho mingine utakuwa unapokea tu.
 
Back
Top Bottom