tiGO ni mafisadi

Dah ndo maana, nimeweka 2000 nimeongea kama wastani wa dk 5 kucheki salio nna 250 tu. Sasa wakuu akili mkichwa hii hali si hali. I'm shocked
 
haya mamitandao yanatia kichefuchefu! mimi natumia li modem la VODACOM. Yaani kama mtu umebakiza kama 12 MB data bundle halafu ukafungua blog yenye pichapicha kama ya Issa Michuzi .. mb zote zinayayuka kwa mpigo...! Shit.. yaani ili u browse kwa mda mrefu kidogo inabidi uangalie web sites zenye content ya maandishi tu siyo picha!
 
Ufisadi wao umevuka mipaka. Tcra saidia.hats ideos wanasema wanatoa elfu! Kumi ya internet na maongezi bure ni u
Ongo mtupu.
 
acheni uongo bana, ngoja niwape data za ukweli...ni kweli tigo ni ghali lakini ndo cheapest off all kwa sasa
tigo wanachaji sh 1.3 kwa secunde kuanzia saa moja asbh mpk saa 11.59 jioni, baada ya hapo 12 mpaka saa 4.59 usiku
ni sh 1.8 kwa sekunde, ikifika saa 5 usiku mpaka majogoo ni bure baada ya dakika ya tatu.

hao voda na airtel ndo chanzo cha tigo kupandisha bei, wao wanachaji 2.5 kwa sekunde full time.

airtel na voda wapo kwenye crisis nzito, wafanyakazi wao wanaacha kazi kila kukicha wanahamia tigo, voda wamefutiwa overtime zote

na airtel wamepunguziwa perdiems kutoka elf 80000 mpaka elf 30000 ma-engineer wao wanaacha kazi kukimbilia tigo

so hizo accusatiions mnazozitoa hazina mashiko. fanya mahesabu mwenyewe utaamini nachosema. piga simu angalia duration

na ulivochajiwa then calculate utagundua nachosema ni kweli au uongo.
 
nimewamind hawa tigo!zamani katika mahusiano mapya nikiwa na buku tano namtosheleza chips funga kwa maongezi matamu ila sasa bila buku 15 naonekana sipo romantic!
 
kwanini unawabembeleza? Kama hawakufai achana nao,jiunge na shirika lenye unafuu.
 
Mi nimekoma toka wanile hela yangu wala sihangaiki najiunga na ile ya mesage 15 kwa mia 2 basi sina zaidi na tgo,
 
Back
Top Bottom