William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #81
Hayo niliyoainisha ndiyo siasa za Bongo na siku zote ndio yametufikisha hapa tulipo na tukiyaendekeza hatuendi mbali na tulipo leo.
Tutabaki kupiga makitaimu hapa jf tukilalama kila siku. Nililiona wazi 2005 na nikawambia rafiki zangu waliokuwa karibu na mimi, na leo wananiita nabii.
Kwa taarifa nani anaweza kutueleza JK aliuzika kwa sifa zipi za maana? Kabla ya kuwa rais alifanya lipi la kumzidi kwa mfano mama Tibaijuka au huyo Rose kiasi cha kununulika?
Tukienda kwa misifa kama anayotoa fmes hapa nawambia tutaishia kufuga wakina EL na RA kibao tu.
Wacha ninyamaze hapa nisije rushiwa vijembe mimi. Migiro ni mzuri na Tibaijuka mzuri na wote wanafaa kwa uongozi. Lakini kwa virus aliye sisiemu hawawezi kufanya lolote la maana kwa nchi hii maana imedhihirika kama wasemavyo wao Chama kina wenyewe na hao wenyewe ndio wanatuamulia watanzania twende wapi hata kama hatutaki.
- Nimeona maelezo yako mengi sana kuhusu Tibaijuka, my conclusion ni sidhani kama unamfahamu na pia samahani sana JF huwa hatujali kabila wala dini ya the subject huwa tunajali facts, ambazo hapa zipo very clear kwamba Migiro ni bahari na Tibaijuka ni mto, Migiro ni bosi wa Tibaijuka tena huko huko UN,
- Mama Migiro ni bosi wa pili kutoka juu huko UN, Tibaijuka ni mkuu wa kitengo kidogo sana cha UN tena katika Africa huko Nairobi, hizi ni facts, Migiro amekuwa mbunge Tibaijuka hajawahi, Migiro amekuwa waziri Tibaijuka hajawahi, na sasa Migiro ni bosi wa Tibaijuka huko UN, sasa unawalinganishaje ndio ninashangaa sana!
- Kuhusu CCM you should know better kwamba mawazo yako hayo sio ya wananchi wote waTanzania, tukianzia na kiongozi wako huko Chadema Mama wa Zitto.
Respect.
FMEs!