Tibaijuka Kumvaa Masilingi?

Hayo niliyoainisha ndiyo siasa za Bongo na siku zote ndio yametufikisha hapa tulipo na tukiyaendekeza hatuendi mbali na tulipo leo.
Tutabaki kupiga makitaimu hapa jf tukilalama kila siku. Nililiona wazi 2005 na nikawambia rafiki zangu waliokuwa karibu na mimi, na leo wananiita nabii.
Kwa taarifa nani anaweza kutueleza JK aliuzika kwa sifa zipi za maana? Kabla ya kuwa rais alifanya lipi la kumzidi kwa mfano mama Tibaijuka au huyo Rose kiasi cha kununulika?
Tukienda kwa misifa kama anayotoa fmes hapa nawambia tutaishia kufuga wakina EL na RA kibao tu.
Wacha ninyamaze hapa nisije rushiwa vijembe mimi. Migiro ni mzuri na Tibaijuka mzuri na wote wanafaa kwa uongozi. Lakini kwa virus aliye sisiemu hawawezi kufanya lolote la maana kwa nchi hii maana imedhihirika kama wasemavyo wao Chama kina wenyewe na hao wenyewe ndio wanatuamulia watanzania twende wapi hata kama hatutaki.

- Nimeona maelezo yako mengi sana kuhusu Tibaijuka, my conclusion ni sidhani kama unamfahamu na pia samahani sana JF huwa hatujali kabila wala dini ya the subject huwa tunajali facts, ambazo hapa zipo very clear kwamba Migiro ni bahari na Tibaijuka ni mto, Migiro ni bosi wa Tibaijuka tena huko huko UN,

- Mama Migiro ni bosi wa pili kutoka juu huko UN, Tibaijuka ni mkuu wa kitengo kidogo sana cha UN tena katika Africa huko Nairobi, hizi ni facts, Migiro amekuwa mbunge Tibaijuka hajawahi, Migiro amekuwa waziri Tibaijuka hajawahi, na sasa Migiro ni bosi wa Tibaijuka huko UN, sasa unawalinganishaje ndio ninashangaa sana!

- Kuhusu CCM you should know better kwamba mawazo yako hayo sio ya wananchi wote waTanzania, tukianzia na kiongozi wako huko Chadema Mama wa Zitto.

Respect.

FMEs!
 
Hayo niliyoainisha ndiyo siasa za Bongo na siku zote ndio yametufikisha hapa tulipo na tukiyaendekeza hatuendi mbali na tulipo leo.
Tutabaki kupiga makitaimu hapa jf tukilalama kila siku. Nililiona wazi 2005 na nikawambia rafiki zangu waliokuwa karibu na mimi, na leo wananiita nabii.
Kwa taarifa nani anaweza kutueleza JK aliuzika kwa sifa zipi za maana? Kabla ya kuwa rais alifanya lipi la kumzidi kwa mfano mama Tibaijuka au huyo Rose kiasi cha kununulika?
Tukienda kwa misifa kama anayotoa fmes hapa nawambia tutaishia kufuga wakina EL na RA kibao tu.
Wacha ninyamaze hapa nisije rushiwa vijembe mimi. Migiro ni mzuri na Tibaijuka mzuri na wote wanafaa kwa uongozi. Lakini kwa virus aliye sisiemu hawawezi kufanya lolote la maana kwa nchi hii maana imedhihirika kama wasemavyo wao Chama kina wenyewe na hao wenyewe ndio wanatuamulia watanzania twende wapi hata kama hatutaki.

Mkuu nashukuru kwa kukiri kuwa siasa ni kitu tofauti na siasa ya bongo ni ya kipekee.Lakini siyo bongo bali na kwingineko pia,kwamba politics does not always equate exclusively with the merits of aspirants.Ndiyo maana hata arrogants kama Obama wakajikuta wanabadili baadhi ya vikorombwezo ili ku suit in the political field.
Hoja yangu ni kwamba unaweza kuwa mtendaji mzuri sana,msomi wa ma degree mengi na exposure kubwa lakini still ukashindwa kuwa convince the voters why to go for u and not ur opponent.Na ndiyo maana nikatoa mfano wa Kikwete na Mwandosya/Lipumba(achilia mbali kashfa za mtandao na EPA),inawezekana kama unavyodai Kikwete haku deliver sana,hakuwa na sifa unazozitaka lakini ndiyo huyo Rais wako mpaka 2015!Na hii ndiyo siasa ninayoisema.Sasa ili kui cheza ni lazima u fit na mazingira ya a given platform.
 
Anna Maria mbona umeivalia sana njuga hii srefi utafikiri wewe ndio muanzisha sredi
 
Unatumia kigezo/vigezo gani kumuona ameivalia njuga. Kila mtu ana haki ya kuchangia mada yoyote kama analo la kuchangia bila kipingamizi chochote, ukitaka kufuatilia watu namna hiyo utaua mijadala.
 
FMES said:
Mama Migiro ni bosi wa pili kutoka juu huko UN, Tibaijuka ni mkuu wa kitengo kidogo sana cha UN tena katika Africa huko Nairobi, hizi ni facts, Migiro amekuwa mbunge Tibaijuka hajawahi, Migiro amekuwa waziri Tibaijuka hajawahi, na sasa Migiro ni bosi wa Tibaijuka huko UN, sasa unawalinganishaje ndio ninashangaa sana!

FMES,

..samahani, hapa naona kama umeteleza kidogo.

..majukumu ya UN-Habitat ambayo inaongozwa na Mama Tibaijuka yanagusa dunia nzima. si kweli kwamba hicho ni kitengo kidogo kinachojishughulisha na Afrika peke yake.

..kitengo cha UN ambacho kina-deal na Africa peke yake ni UN-Economic Comm for Africa.

..Executive Director wa UN-Habitat ana rank ya UN-Under Secretary General. Uteuzi wake hufanywa na UN General Assembly kwa mapendekezo ya UN SG.

..UN SG hana mamlaka ya kumuondoa ktk nafasi yake UN-undersecretary general. jukumu hilo limeachiwa UN General Assembly[baraza kuu la umoja wa mataifa]

..madai kwamba Migiro[UN deputy sec general] ni bosi wa Tibaijuka[UN under secretary general] bila kuelekeza kwamba mamlaka ya nidhamu ya under secretary generals ni UN general assembly yana walakini.

Naona mzee FMES anajirudia rudia.

* Kuwa ubunge wa kuteuliwa, na Uwaziri wa mambo ya nje wa Dr. Migiro haumaanishi kwamba automatically ana uwezo zaidi kiuongozi na utendaji kuliko Dr. Tibaijuka. Umeelezwa ya kuwa nyadhifa ya D-SG ni ya heshima ila ni appointment ambayo kiutendaji ni kama 'secretary' (in the Tanzanian sense of the word) wa SG kwani nyadhifa hiyo haina utendaji wenye kuleta mabadiliko yeyote yale kama ukilinganisha na Directors wa WHO, WFP au UN-HABITAT. Mostly it is to represent the SG in ceremonies, state visits etc etc when he is not available.

Dr. Tibaijuka has been active in the UN system for over 10 years, and during all that time she has led numerous projects and negotiated several deals which brought about change.

* Pia, ningependa kurekebisha taarifa ya kuwa UN-HABITAT ni ofisi ndogo tu ya UN, na tena iliyopo Africa. Just because the office is in Africa is it automatically relegated to a diminutive status? Let's overcome this inferiority complex. Anyway, back to my point.
The following UN programs report directly to the General assembly:

* International Trade Centre (ITC)
* Office of the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR)
* United Nations Children's Fund (UNICEF)
* United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD)
* United Nations Development Programme (UNDP)
* United Nations Drug Control Programme (UNDCP)
* United Nations Environment Programme (UNEP)
* United Nations Human Settlements Programme (UN-HABITAT)
* United Nations Population Fund (UNFPA)
* United Nations Relief and Works Agency for Palestine
Refugees in the Near East (UNRWA)
* United Nations World Food Programme (WFP)

Makau makuu ya ofisi hizi zimetapaa duniani kote, ila 'epicentres' ni Geneva na NY. Kwahiyo UN-HABITAT kuwa Kenya, haiifanyi kuwa ofisi ndogo isiyo na umuhimu.

* Jambo lingine ni kwamba Dr. Tibaijuka yupo kwenye 'cabinet' ya UN-SG, i.e. UN Senior Management Group (SMG). http://www.un.org/sg/management.shtml

Kwahiyo, ni kudanganyana tukisema kwakuwa Dr. Tibaijuka hajawahi kuwa mbunge na waziri basi automatically tu'conclude kuwa uwezo wake ni mdogo ukimlinganisha na Dr. Migiro. (Bahari na mto. What a joke!)

Kama Dr. Tibaijuka atarudi TZ kugombea ubunge, atakuja kwa ajili ya uchungu na nchi yake na sio tu kuja kugombea ubunge ili apate 'experience' ya ubunge, na ili apate nafasi ya uwaziri. She has been raking in a 6 figure UN salary for 10 years, for crying out loud. She will be taking a pay cut coming to TZ for that matter. She has seen it all and wants to retire diplomatic service and serve her people while at it. I respect her for this.

Hawa wote ni mabingwa na 'role model' kwa waTanzania kwa ujumla.
 
- Mkuu kuna one thing unakwepa, kama Rais wa jamhuri ya Tanzania angekua anaamini kwamba Tibaijuka ni better kuliko Mama Migiro, si angempa uongozi wa jamhuri yetu, na kama Ban-kimoon angeamini Tibaijuka ni better kuliko Mama migiro si angempa Tibaijuka, ndio nasema kwamba huu ubishi ni waste of time,

- Halafu unaongelea hata mishahara yao, wewe unajua mshahara wa Naibu wa UN na pension yake, phew! hebu nenda sasa unagalie wanaposhi kama panafanana, acha hasira mkuu mmezidiwa for once maana ni lazima huwa muwe juu, samahani not this time, mmezidiwa kubalini tu!

- Naibu Katibu Mkuu wa UN, hawezi linganishwa na mkuu sekta ya UN huko Nairobi, Africa that is a big joke!

Es!
 
FMES,

..samahani, hapa naona kama umeteleza kidogo.

..majukumu ya UN-Habitat ambayo inaongozwa na Mama Tibaijuka yanagusa dunia nzima. si kweli kwamba hicho ni kitengo kidogo kinachojishughulisha na Afrika peke yake.

..kitengo cha UN ambacho kina-deal na Africa peke yake ni UN-Economic Comm for Africa.

..Executive Director wa UN-Habitat ana rank ya UN-Under Secretary General. Uteuzi wake hufanywa na UN General Assembly kwa mapendekezo ya UN SG.

..UN SG hana mamlaka ya kumuondoa ktk nafasi yake UN-undersecretary general. jukumu hilo limeachiwa UN General Assembly[baraza kuu la umoja wa mataifa]

..madai kwamba Migiro[UN deputy sec general] ni bosi wa Tibaijuka[UN under secretary general] bila kuelekeza kwamba mamlaka ya nidhamu ya under secretary generals ni UN general assembly yana walakini.

- Kipenda roho bwana sasa unasema Tibaijuka ni mkubwa huko UN kuliko Mama Migiro, nikiendelea na mijadala a namna hii wenye akili watashindwa kuelewa kama na mimi ni mzima au nimepungukiwa!

Es!
 
Mkuu kama una lingine linakufukuta moyoni mwako kuhusu mimi ungelisema tu kuliko hizi sarakasi unazoruka.

Wala sina hata linalonifurukuta moyoni kwani hata sikujui..Ila nina mashaka wewe ndio.....siri yangu.Usajali lakini ndio JF lazima upate changamoto mbalimbali.Unahitaji kuwa mvumilivu Mkuu..dont take things as personal kwani hata hatujuani.
 
- Tibaijuka hajawa Waziri wa jamhuri yetu na mind you walipokuwa wanamuomba Mama Migiro huko UN, Tibaijuka alikuwepo mbona hawakumchukua yeye mbona tunataka kubebeshana mbuzi kwenye magunia asubuhi sana jamani haya si mambo ya Common sense tu, wewe uko UN tayari tena miaka mingi wanakuruka na kwenda kwenye nchi yako kumuomba Waziri wenu aende kuongoza shirika ambalo wewe unalifanyia kazi miaka kibao, sasa wewe utakuwaje na uwezo kuliko huyu aliyombwa kwa jamhuri, it does not make any sense kwangu mkuu!

- Huwezi fananisha Mama Migiro na Tibaijuka, how? Na unaanzia wapi? Tibaijuka ndio kwanza anataka kuwa mbunge kazi ambayo Migiro ameishaisahau maana ameifanya siku nyingi sana, sasa unawalinganishaje?

Respect.

FMEs!

I dont agree. Tibaijuka>migiro. In whatever dimesions.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom