Tibaijuka Kumvaa Masilingi?

- Mkuu GS, heshima yako kwani kuna tofauti yoyote between the two?

Respect.

FMEs!

Tofauti zipo Mkuu.Anaweza akataka kugombea ili awe Waziri na sio kuwa Mbunge kama Mbunge.Mimi naona nayaoyafanya yanatosha wala hahitaji tena kuanza kugombea ubunge ndo maana nina mashaka na nia yake ya Ubunge.It is Obvious anataka Uwaziri na sio kwa kuwatetea wananchi kwani mawaziri wapo wapo tu always on govet side kwani ndio serikali yenywe.Bora hata Mbunge anaweza akasaidia wananchi.
 
..Mama Tibaijuka atakuwa msaada mkubwa zaidi kwa taifa lake kama atagombea ubunge kupitia chama tofauti na CCM.

..binafsi nadhani Dr.Tibaijuka ana record ya utendaji kuliko Dr.Migiro. majukumu ya nafasi walizonazo huko UN ndiyo yanayomfanya Tibaijuka awe na rekodi wakati Migiro hana.

..rekodi ya Tibaijuka inajulikana kwa jinsi alivyobadilisha utendaji wa shirika la UN-Habitat. rekodi hiyo ndiyo iliyomuwezesha kuteuliwa ktk Tume ya Tony Blair kuangalia jinsi ya kuboresha mahusiano ya bara la Africa na bara la Ulaya. Tume hiyo ilimshirikisha PM wa Ethiopia Meles Zenawi na Raisi Mkapa. kwa maana nyingine ktk world politics heshima na rekodi ya Dr.Tibaijuka iko juu sawa na wakuu wa nchi.

..so far Dr.Tibaijuka ame-prove kwamba she is a fighter kutokana na jinsi alivyopambana kutetea Bawata na alivyomvaa Mugabe na kumueleza ukweli bila kificho.

NB:

..ninaposema kwamba Dr.Migiro hana record sina maana ya kumkandia. nature ya kazi yake kama Deputy UN-SG ndiyo inayomkwaza. angekuwa na nafasi ya chini ya hiyo, kama DG-UNHCR etc etc tungekuwa na uwezo wa kumpima kwasababu huko angekuwa na uhuru zaidi wa kiutendaji.

..pia Mama Tibaijuka alipigiwa kura kuongoza UN-Habitat. sasa kama Ban Ki Moon angemuondoa Dr.Tibaijuka ktk nafasi ya DG-UN Habitat then tungeweza kusema kwamba Tibaijuka ameboronga ktk kazi.

nafasi ya kuwa Mkuu wa Mashirika ya UN hapo Nairobi ni nafasi ambayo mhusika huteuliwa kwa mapenzi na utashi wa UN-SG na inazingatia zaidi siasa kuliko utendaji.

..yale maandamano wafanyakazi wa UN pale Nairobi kupinga uamuzi wa Ban Ki Moon yanadhihirisha kwamba Dr.Tibaijuka anakubalika na wale anaowaongoza.
 
- Heshima yako mkuu, wewe deal na contest habari sio yangu ndio maana nimeiweka kwenye quote, ukiona hatuweki majina huwa tuna sababu sio hivi hivi, thanks for the understanding.

Respect.

FMEs!
you still need to state the source! tuheshimu kazi za watu hii ni plagiarism kijana sio unakuwa mbishi! Ku-quote in quatation marks means nothing if you don't state exactly where you got your info. at the end of ur story since you are not an original writer! pls observe that
 
Kuwa successful kwenye kuendesha shirika la umoja wa mataifa ni tofauti sana na kuwa successful kama mbunge/waziri/waziri mkuu wa nchi masikini kama Tanzania. Ni lazima tu tofautishe haya mawili na sio lazima kuwa huyu mama atangára katika siasa za Tanzania. These are very different types of institutions. Hata hivyo kujiunga kwake na Ubunge kutasaidia kuongeza level ya debate katika Bunge la Tanzania kama akishinda.
 
Mie sishangai alikua anaitaka sana hiyo waka mu ignore akaenda zake UN, sioni jipya kwani tuna madaktari na maprofesa kibao hakuna jipya, na hivi hao UN habitat wamejenga nyumba ngapi bongo? Tibaaa too much theories.
 
you still need to state the source! tuheshimu kazi za watu hii ni plagiarism kijana sio unakuwa mbishi! Ku-quote in quatation marks means nothing if you don't state exactly where you got your info. at the end of ur story since you are not an original writer! pls observe that

  • Tanzania sent its envoy to plead to UN head Ban Ki-Moon to keep her, to no avail

This week's demotion of Tanzania's top diplomat at the United Nations Office at Nairobi (UNON) has soured relations between Kenya and Tanzania, the Sunday Nation has learnt.

Mrs Anna Kajumulo Tibaijuka, a Tanzanian national who headed the Nairobi office until last Sunday, was replaced by Achim Steiner, the United Nations Environmental Programme boss in Nairobi.

Relations between the two neighbouring nations, also members of the East African Community, are reported to be troubled following her demotion.

Tanzania made frantic efforts to ensure Mrs Tibaijuka was not demoted, including sending the country's permanent representative to the United Nations in New York to UN Secretary General Ban Ki-Moon.

These efforts were augmented by those of African diplomats in Nairobi and employees at the UN Nairobi office pleading with Mr Ban not to replace her.

The efforts failed and Mr Steiner sent a memo to all members of staff to alert them that Mr Ban had designated him as the Director General of UNON effective March 1, 2009.

Some employees at the Gigiri complex who refused to be named for fear of antagonising their superiors said Mrs Tibaijuka was seen to have favoured one of the Grand Coalition members, a key factor in her demotion.

Mrs Tibaijuka has been in Nairobi since 2001 when she was named to head UN-Habitat and later promoted to Director General of UNON in September 2006.

According to correspondence in our possession, the move to clip her wings began last September after the UN General Assembly in New York.

- Haya ni matatizo yako binafsi wala sio ya kila member hapa, nimeleta habari ya mtu ambaye hapendi jina lake liwe hapa JF na ni rafiki yangu wa karibu, hayo plagiarism ni yako wewe mwenyewe kama kawaida na matatizo yako ya binafsi kuyahamishia huku JF, aliyenipa ile habari ni rafiki yangu wa karibu sana asiyependa jina lake liwepo hapa, ndio maana siku zote habari zisizokuwa zangu huwa ninaziweka kwenye quote,

- Kama nimeleta habari ambayo haina unayotaka basi badilisha channel tu nenda kwenye unayoitaka kuliko kujidhalilisha na nonsense hapa, deal na contest kama huwezi kaa pembeni waachie wanaoweza, lakini usilete upuuzi wako hapa, hatuuhitaji, sijawahi na wala sihitaji hizo plagiarism hata siku moja nina enough info na dataz za kwangu wala sihitaji kuiba za mtu, pole sana naona kama kawaida yako na kuhangaika hangaika! sisi tunasonga mbele na masilahi ya taifa!

Es
 
..Mama Tibaijuka atakuwa msaada mkubwa zaidi kwa taifa lake kama atagombea ubunge kupitia chama tofauti na CCM.

..binafsi nadhani Dr.Tibaijuka ana record ya utendaji kuliko Dr.Migiro. majukumu ya nafasi walizonazo huko UN ndiyo yanayomfanya Tibaijuka awe na rekodi wakati Migiro hana.

..rekodi ya Tibaijuka inajulikana kwa jinsi alivyobadilisha utendaji wa shirika la UN-Habitat. rekodi hiyo ndiyo iliyomuwezesha kuteuliwa ktk Tume ya Tony Blair kuangalia jinsi ya kuboresha mahusiano ya bara la Africa na bara la Ulaya. Tume hiyo ilimshirikisha PM wa Ethiopia Meles Zenawi na Raisi Mkapa. kwa maana nyingine ktk world politics heshima na rekodi ya Dr.Tibaijuka iko juu sawa na wakuu wa nchi.

..so far Dr.Tibaijuka ame-prove kwamba she is a fighter kutokana na jinsi alivyopambana kutetea Bawata na alivyomvaa Mugabe na kumueleza ukweli bila kificho.

NB:

..ninaposema kwamba Dr.Migiro hana record sina maana ya kumkandia. nature ya kazi yake kama Deputy UN-SG ndiyo inayomkwaza. angekuwa na nafasi ya chini ya hiyo, kama DG-UNHCR etc etc tungekuwa na uwezo wa kumpima kwasababu huko angekuwa na uhuru zaidi wa kiutendaji.

..pia Mama Tibaijuka alipigiwa kura kuongoza UN-Habitat. sasa kama Ban Ki Moon angemuondoa Dr.Tibaijuka ktk nafasi ya DG-UN Habitat then tungeweza kusema kwamba Tibaijuka ameboronga ktk kazi.

nafasi ya kuwa Mkuu wa Mashirika ya UN hapo Nairobi ni nafasi ambayo mhusika huteuliwa kwa mapenzi na utashi wa UN-SG na inazingatia zaidi siasa kuliko utendaji.

..yale maandamano wafanyakazi wa UN pale Nairobi kupinga uamuzi wa Ban Ki Moon yanadhihirisha kwamba Dr.Tibaijuka anakubalika na wale anaowaongoza.

- Naona hizi ndio standards zetu huku Africa za kukubalika kwa CEO, ingekwua majuu basi huyu ambaye wafanyakazi wake wanaandamana on her behalf, ni clear kwamba hafai kabisa kwa shareholders wa kampuni kwa hiyo anaondolewa mara moja, lakini Africa ndio dalili kwamba anafaa, duh! Africaaaaa!

Respect.

FMEs!
 
Mkulu FMES, heshima mbele.

Mkuu, najua hakika unamzimia na kumkubali mama Migiro (on a personal and professional basis), which is your decision I fully respect. Lakini vile vile usione wale wanaompinga au kusema kwamba hana record kwamba wanamkandia au ni haters. I for one, I respect mama Migiro-big time. Lakini kwa ukweli huwezi kumlinganisha na mama Tibaijuka! Yaani Migiro hana hata nusu ya record ya mama Tibaijuka.

Hebu turudi nyuma kidogo. Mama/Prof. Tibaijuka alianza kuwika tangu enzi za BWT (BARAZA LA WANAWAKE TANZANIA) alivyokuwa anakimbizana na CCM na serikali yake walipotaka kulifuta hili Baraza. Huyu mama ali-dare kuwa against/kuichallenge serikali. Nadhani Prof. Shivji kesi yao aliishinda hivi majuzi.

Na unakumbuka ni jinsi gani Jamhuri yetu ilikuwa against mama Tibaijuka. Lakini yeye hakuogopa yeyote. She stood her ground. I honestly namheshimu sana huyu mama kwa kile kitendo. NAAMINI WENGI TUNAKUMBUKA. And as you well know..katika nchi za kimaskini kama zetu..kuwa against jamhuri harafu ukasalimika, inahitaji mahesabu makubwa mno! Wakati mama yetu Migiro...she hasnt been tested kwa lolote katika jamhuri yetu! from UDSM Facultuy of law..alipeta mpaka uwaziri! Ukweli ni kwamba kwa achievements...Prof. Tibaijuka yuko mbali sana! Ofcourse as any other human she has her own failings. Lakini hii isituondolee uwezo wa kutambua mchango wake uliotukuka katika utumishi wa umma na wa kimataifa.

I for one, I would say, huyu mama akigombea ubunge..litakuwa ni jambo la furaha sana kwa watanzania akiwa katika nafasi ya kufanya maamuzi yanayotugusa watanzania. Either akiwa mbunge au waziri. Hata Rais wetu kama yuko makini..I am sure atakuwa amefurahi kusikia kwamba huyu mama anataka kugombea ubunge.

She is well educated, she has impeccable credentials....experience ya kufa mtu! Kifupi she is just a full package! We couldnt ask for more!

Kama kweli hizi habari ni za kweli, I for one, I applaud her and wish her well in her endeavours!

Masanja
 
Mkulu FMES, heshima mbele.

Mkuu, najua hakika unamzimia na kumkubali mama Migiro (on a personal and professional basis), which is your decision I fully respect. Lakini vile vile usione wale wanaompinga au kusema kwamba hana record kwamba wanamkandia au ni haters.

- Mkuu vipi ni wapi nimeyasema haya? Siwezi kuwalinganisha hawa wawili ni sawa na kulinganisha bahari na mto, Mama Migiro ni too big kwa Tibaijuka no contest hata chembe!

I for one, I respect mama Migiro-big time. Lakini kwa ukweli huwezi kumlinganisha na mama Tibaijuka! Yaani Migiro hana hata nusu ya record ya mama Tibaijuka.
Hebu turudi nyuma kidogo. Mama/Prof. Tibaijuka alianza kuwika tangu enzi za BWT (BARAZA LA WANAWAKE TANZANIA) alivyokuwa anakimbizana na CCM na serikali yake walipotaka kulifuta hili Baraza. Huyu mama ali-dare kuwa against/kuichallenge serikali. Nadhani Prof. Shivji kesi yao aliishinda hivi majuzi.

Na unakumbuka ni jinsi gani Jamhuri yetu ilikuwa against mama Tibaijuka. Lakini yeye hakuogopa yeyote. She stood her ground. I honestly namheshimu sana huyu mama kwa kile kitendo. NAAMINI WENGI TUNAKUMBUKA. And as you well know..katika nchi za kimaskini kama zetu..kuwa against jamhuri harafu ukasalimika, inahitaji mahesabu makubwa mno! Wakati mama yetu Migiro...she hasnt been tested kwa lolote katika jamhuri yetu! from UDSM Facultuy of law..alipeta mpaka uwaziri! Ukweli ni kwamba kwa achievements...Prof. Tibaijuka yuko mbali sana! Ofcourse as any other human she has her own failings. Lakini hii isituondolee uwezo wa kutambua mchango wake uliotukuka katika utumishi wa umma na wa kimataifa.

I for one, I would say, huyu mama akigombea ubunge..litakuwa ni jambo la furaha sana kwa watanzania akiwa katika nafasi ya kufanya maamuzi yanayotugusa watanzania. Either akiwa mbunge au waziri. Hata Rais wetu kama yuko makini..I am sure atakuwa amefurahi kusikia kwamba huyu mama anataka kugombea ubunge.

She is well educated, she has impeccable credentials....experience ya kufa mtu! Kifupi she is just a full package! We couldnt ask for more!

Kama kweli hizi habari ni za kweli, I for one, I applaud her and wish her well in her endeavours!

Masanja

- Mkuu haya ni mawazo yako, mimi yangu siamini kwamba Tibaijuka anauwezo kuliko Mama Asha-Rose, huyu amekwua Waziri wa jamhuri na mpaka mataifa ya nje kuheshimu uwezo wake wakamuomba kwa serikali yetu akaongoze UN,

- Tibaijuka hajawa Waziri wa jamhuri yetu na mind you walipokuwa wanamuomba Mama Migiro huko UN, Tibaijuka alikuwepo mbona hawakumchukua yeye mbona tunataka kubebeshana mbuzi kwenye magunia asubuhi sana jamani haya si mambo ya Common sense tu, wewe uko UN tayari tena miaka mingi wanakuruka na kwenda kwenye nchi yako kumuomba Waziri wenu aende kuongoza shirika ambalo wewe unalifanyia kazi miaka kibao, sasa wewe utakuwaje na uwezo kuliko huyu aliyombwa kwa jamhuri, it does not make any sense kwangu mkuu!

- Huwezi fananisha Mama Migiro na Tibaijuka, how? Na unaanzia wapi? Tibaijuka ndio kwanza anataka kuwa mbunge kazi ambayo Migiro ameishaisahau maana ameifanya siku nyingi sana, sasa unawalinganishaje?

Respect.

FMEs!
 
FMES said:
- Naona hizi ndio standards zetu huku Africa za kukubalika kwa CEO, ingekwua majuu basi huyu ambaye wafanyakazi wake wanaandamana on her behalf, ni clear kwamba hafai kabisa kwa shareholders wa kampuni kwa hiyo anaondolewa mara moja, lakini Africa ndio dalili kwamba anafaa, duh! Africaaaaa!

FMES,

..what you have posted is one way of looking at what happened to Mama Tibaujuka na matokeo yake.

..kwangu mimi namchukulia Ban KiMoon kama CEO aliyefanya maamuzi bila kufanya utafiti wa kutosha na kuwashirikisha wadau wengi zaidi. Mama Tibaijuka is not the top authority huko UN.

..matokeo yake ni kwamba uamuzi wake umepingwa na wale watumishi wa UN pale Nairobi kitu ambacho kingeweza kuathiri morale na productivity.

..mitaani na ktk soko la mitaji[stock exchange] uamuzi kama wa Ban KiMoon unaweza kusababisha hisa za kampuni anayoingoza kuporomoka.

..huko majuu naamini CEO anayefanya uamuzi kama wa Ban Ki Moon huwa anachukuliwa hatua kali sana na shareholders.

NB:
..kumbuka kwamba kilichotokea UN-Nairobi hakikuwa maandamano ya kama ya matawi ya CCM tuliyoyazoea hapa bongo. yale yalikuwa maandamano ywafanyakazi wa UN ambao wengi wao ni wasomi, wenye uelewa, na wanaolipwa vizuri tu. baada ya maandamo yao, walitoa tamko kwa vyombo vya habari.

- Ukipenda chongo yote huwa ni sawa tu! hamna cha ajabu na mapambio mengi, ila ukweli uko pale pale Tibaijuka alikuwa demoted kwa sababu za mapungufu yake kikazi sasa kama wamemshusha huko ndio ataweza urais wetu? Ubunge sawa anaweza hauna tatizo, lakini kwamba anafaa kuliko Mama Migiro, that is the biggest joke nimewahi kusikia!

Respe
ct.

FMEs!
 
Kwangu as long as ameamua kugombea kupitia sisiemu sidhani kama ataleta mchango wowote wa maana bungeni. Ni bora abaki huko huko UN habitant kwani kuna kaupendeleo tuna gain. Lakini akitoka kuja kwa wasanii wa sisiemu amejimaliza na umaarufu wake umeishia hapo.
Nasema hivi kwa sababu nimeona wabunge machachali tena wasomi kama yeye wakinywea kama vile mbwa anavyorudisha mkia ndani akimuona chatu anamnyemelea kumnyonga. Aminini hataleta badiliko lolote kwenye bunge la sisiemu.
 
FMES,

..hapa siyo suala la kupenda chongo na kuita kengeza. hiyo "demotion" ya Mama Tibaijuka ilishazungumziwa hapa jamii forums and almost every fair person ali-conclude kwamba ilitokana na "UN politics."

..kama Mama Tibaijuka angeondolewa ktk nafasi ya DG-UN-Habitat basi moja kwa moja tungeweza kusema utendaji wake umekuwa na mapungufu. lakini so far nadhani Mama ameongoza shirika hilo kwa zaidi ya kipindi kimoja.

..pia tunaposema Mama Migiro hana rekodi usichukulie kwamba tunamkandia yeye binafsi. tatizo ni hiyo nafasi aliyopewa ya D-UNSG. nafasi hiyo ni sawa na U-Vice President wa hapa kwetu Tz au hata USA. unaweza kukuta mhusika ana uwezo lakini nature ya kazi yake na inamkwaza ktk utendaji na kumzuia kuwa na rekodi yake mwenyewe.

NB:

..Mama Migiro alikuwa mbunge wa viti maalumu CCM. ubunge huo hauna challenges kama ule wa kuchaguliwa majimboni. binafsi ningemkubali zaidi kama angekwenda kwao Usangi na kushindana na kina Prof.Jummanne Maghembe, au angebakia hapa DSM na kushindana na kina Charles Keenja ktk jimbo la Ubungo.
 
wewe huyu mama yuko more competent than Migiro ukiangalia vizuri utaona she is the most sucessful woman at her capacity at the UN office! Just google her CV to see how much restructuring she has carried and how much money she managed to garner for improving habitats from the rich countries! How much awards she has won! No one has even done so from Africa may be Prof. Maathai! Forget about Migiro's who her nomination was more political and honouring the promises he gave, than merit, that resulted into serious credibility questions from people who thought and till today think of her credibility! even the media contested!

Mkuu politics is a different game.I may call it dirty and nasty most if not all the time.Yah u might be right that Tibaijuka has delivered more goods at UN than Migiro but those grounds can never help her to seize the top most job in the country as easy as u think.At least Migiro has already got some experiences with Tanzanian politics.Migiro has a commanding personality,she is more popular amongst Tanzanian voters than Tibaijuka(Im sure though i dont have statistics to back up my theory),She got charisma and she can make better rhetorics than Mama Tibaijuka.Im not underestimating Mama Tibaijuka but like i said it would be so better for her to start with ubunge rather than jumping to the King's throne in the first place!
 
- Haya ni matatizo yako binafsi wala sio ya kila member hapa, nimeleta habari ya mtu ambaye hapendi jina lake liwe hapa JF na ni rafiki yangu wa karibu, hayo plagiarism ni yako wewe mwenyewe kama kawaida na matatizo yako ya binafsi kuyahamishia huku JF, aliyenipa ile habari ni rafiki yangu wa karibu sana asiyependa jina lake liwepo hapa, ndio maana siku zote habari zisizokuwa zangu huwa ninaziweka kwenye quote,

- Kama nimeleta habari ambayo haina unayotaka basi badilisha channel tu nenda kwenye unayoitaka kuliko kujidhalilisha na nonsense hapa, deal na contest kama huwezi kaa pembeni waachie wanaoweza, lakini usilete upuuzi wako hapa, hatuuhitaji, sijawahi na wala sihitaji hizo plagiarism hata siku moja nina enough info na dataz za kwangu wala sihitaji kuiba za mtu, pole sana naona kama kawaida yako na kuhangaika hangaika! sisi tunasonga mbele na masilahi ya taifa!

Es
Kha, We vp ina maana mwenye kutoa hiyo info. hataki kuwa cited sio? Na akaiweka khiyo info. kwenye blog sio?ndo unachomwambia Geza hapa sio? Acha mambo ya mitaani hiyo info. umeipata www.madarakanyerere.blogspot.com ingekuwa busara kama ungeandika hiyo link! Uache ubishi! umesoma chini ya mwembe nini? hatujauliza kama ni rafiki yako au la? source ni muhimu mzee!
 
pamoja na usomi na uchapakazi wake lakini bado hajawa na mvuto kama wa mama Migiro

Msomi, mchapa kazi lakini bado havutii - na bado tunajiuliza kwa nini bado nchi yetu inashika mkia katika kila idara?
 
pamoja na usomi na uchapakazi wake lakini bado hajawa na mvuto kama wa mama Migiro

Msomi, mchapa kazi lakini bado havutii - na bado tunajiuliza kwa nini bado nchi yetu inashika mkia katika kila idara?

Siasa ni tofauti.Nadhani ungesoma kwanza post #35 labda ungenielewa na usingeweka hii comment yako.
 
Kha, We vp ina maana mwenye kutoa hiyo info. hataki kuwa cited sio? Na akaiweka khiyo info. kwenye blog sio?ndo unachomwambia Geza hapa sio? Acha mambo ya mitaani hiyo info. umeipata www.madarakanyerere.blogspot.com ingekuwa busara kama ungeandika hiyo link! Uache ubishi! umesoma chini ya mwembe nini? hatujauliza kama ni rafiki yako au la? source ni muhimu mzee!

HAhahah JF kuna watu makini....thanks for the link nitakuwa nachungulia hii blog ya Madaraka Nyerere!
 
Nadhani hapa tuna-distort records kwa kumuonea mama Tibaijuka.

Mama Tibaijuka ameondoka Mlimani akiwa ni Professor..Mama Migiro ameondoka pale mlimani akiwa Senior Lecturer. Migiro ana PhD ya Sheria Konstanz, Mama Tibaijuka ana PhD ya uchumi huko Sweden. Kwa hiyo wote ni wasomi.

By the time, mama Tibaijuka anaondoka mlimani alienda Geneva kama Director kwenye UN kwenye kitengo cha nchi zinazoendelea. mpaka kuwa appointed kuwa Director wa UN-HABITAT ilikuwa ni Promotion ambayo alipewa baada ya kukiimarisha kile kitengo cha makazi. Utumishi wake UN umekuwa based on merit na promotion. (as attested na Kofi Anan mwenyewe wakati anawaomba General Assembly wai-upgrade ile UN-HABITAT kuwa full fledged UN Institution based in Nairobi!).

Hivi jamani kama hapa siyo kudanganyana...wengi hapa mama Migiro wameanza kumfuatilia career yake baada ya Mkapa kumpa uwaziri 2000. Na Kikwete kumpa Ministry of Foreign Affairs. Otherwise..she was just another lecturer pale Mlimani ambao wengi "tu"lipita mikononi mwake. Which ofcourse doesnt diminish her ability to lead.

Please people, while I admire mama Migiro, still I believe we can discuss her achivements bila kudistort record ya mama Tibaijuka. Ban Ki Moon mwenye mpaka leo ana kashkashi kwamba wengi wanamuona the most failed UN DIPLOMAT! Can you imagine..the guy went to Yangoon to meet Aung San Sukyi..akarudi mikono mitupu..next week..senator from US akakubaliwa kukutana na Aung Sukyi?..mfano kama huu unatuonyesha kwamba....success au failure katika UN ziko relative.

With due respect: Mama Migiro should EARN her credibility. Msitake kutupa hii longo longo. Though ultimately, was she to stand for a public office, I would definitely give her my vote.
 
Back
Top Bottom