William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #41
Kha, We vp ina maana mwenye kutoa hiyo info. hataki kuwa cited sio? Na akaiweka khiyo info. kwenye blog sio?ndo unachomwambia Geza hapa sio? Acha mambo ya mitaani hiyo info. umeipata www.madarakanyerere.blogspot.com ingekuwa busara kama ungeandika hiyo link! Uache ubishi! umesoma chini ya mwembe nini? hatujauliza kama ni rafiki yako au la? source ni muhimu mzee!
- Hayo ni matatizo yako sio yangu, sikuweka jina la source lakini nimeiweka kwenye quote, aliyetoa habari ni rafiki yangu asiyependa jina lake kurushwa ruhswa hapa JF, na hii sio habari ya kwanza ninaileta hapa kutoka kwake na sio kutoka huko unakosema, hutaki nenda topic nyingine, unataka jadili hoja mengine ni pure nonsense na ni waste of my time na ya wengine humu JF.
- Shule niliyosoma na uliyosoma ni non ishu maana wote yaani mimi na wewe tunatawaliwa na CCM mpaka mwisho wa dunia yako na yangu! na wala sihitaji kubishana sana kwamba kati yangu na wewe nani amesoma miembeni maana ukweli unajisema wenyewe, Bwa! ha! ha! ni kawaida yako kuhangaika hangaika!
Es!