Threatening messages to CDM supporters

matungusha

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
594
126
Hello wana jf, nina rafiki yangu katumiwa ujumbe wa kutisha na nina hisi umetumwa na baadhi ya wana ccm!! ujumbe unasomeka hivi

SENDER: IKULUTZ
MESSAGE:HELLO,WE NOTED THAT YOU ARE SUPPORTING CHADEMA AS IF ITS YOUR PARRENT KNOWING THAT WITHOUT CCM YOU COULDNT GET YOUR DEGREE. WE WILL CALL YOU TO IKULU SOON.

Naomba mchango wenu kuhusu hii message coz haina number and can not be replied.
 
Waambie ni mda wa kwenda ikulu na kila anaetumiwa ujumbe huo azidi kukiponda ccm ili aitwe ikulu na akifika huko atajua nini na amwambie jk kua ndio kwanza kunaanza kuwaka
 
Mkubwa hatishiwi Nyau hiyo mesage itakuwa imetoka kwa mchumia tumbo TAMBWE HIZI ..... A. Isikutishe keep on guy.
 
Ndio kazi ambayo "usalama wa taifa" wamebakiza.
Na kujaa mavyuoni.
Hawana madhara hao jamaa.
Wakati wa uchaguzi walituma sana hizo sms lakini hazikuwa na madhara kwa yeyote!
 
Achana nao, niliwahi kupita uhamiaji mpakani wakati wa kugonga muhuri jamaa akanambia? Ni wewe? Nimekuona facebook na sikujua kuwa we ni mwanaJF, wala sikumjibu lolote. Hata watutishe ukweli na mtazamo wetu tutautoa tu!
 
but these guys are not serious!!! wahisi vitisho ndo solution ya kupendwa na wananchi?
 
Sikonge uko hapa Sikonge nilipo mie,samahani sana naomba tufahamiane mwanaharakati mwenzangu,uko wapi,unashugulika na nini n.k,trace me 0717522175
 
Achana nao, niliwahi kupita uhamiaji mpakani wakati wa kugonga muhuri jamaa akanambia? Ni wewe? Nimekuona facebook na sikujua kuwa we ni mwanaJF, wala sikumjibu lolote. Hata watutishe ukweli na mtazamo wetu tutautoa tu!
but watachoka tu the day is coming when no one will trust them.
 
Mimi sitaki kuichukulia hii msg kwa urahisi hivyo maana huenda ikaleta madhara. Hiki kitu uongozi wa chadema na Jf wakitolee taarifa rasimi kwenye vyombo vya habari ili jamii ijue kuwa watu wanawatishia maisha yao.
This again will be another blow to them. Tena kifanywe kipindi maalumu kabisa kwenye TV kama Rais anavyo hutubia taifa. Nadhani pia waeleze wazi kuwa kama kuna mwanachama wao atadhulika au kupotea bila sababu basi familia na umma wa watanzania ujue jambo hili.
 
We should take more serious pls, they know the impact of social networks! But who is delivering our particulars or leaking our personal profiles to them? kama nimeamua ku-hide ID yangu wao inawahusu nini? kwa hio tusiongee? tusiulize? Je wanajua athari ya wanachokifanya? this is more than serious!!
 
Ngoja nilale kwanza niote ndoto tamtam!! hayo ya dunia yapo tu maana hata maandiko yanasema Ogopa awezaye kuua mwili na Roho pia! sasa hawa CCM si wataua mwili tu! gnt and stay blessed
 
Hello wana jf, nina rafiki yangu katumiwa ujumbe wa kutisha na nina hisi umetumwa na baadhi ya wana ccm!! ujumbe unasomeka hivi

SENDER: IKULUTZ
MESSAGE:HELLO,WE NOTED THAT YOU ARE SUPPORTING CHADEMA AS IF ITS YOUR PARRENT KNOWING THAT WITHOUT CCM YOU COULDNT GET YOUR DEGREE. WE WILL CALL YOU TO IKULU SOON.

Naomba mchango wenu kuhusu hii message coz haina number and can not be replied.

Sitegemei barua kutoka ikulu iwe na kimombo cha level hii, lakini pia sishangai kwa sababu ya vihio wengi waliojaa ndani ya system.
 
Waambie na bado, zama za jembe na nyundo zimekwisha, sasa ni zama za hoja na kukiliki tu hadi nyoka anatoka pangoni!
 
Poa sana Mami. Mie ntakutafuta tu kwa SIMU na ikibidi basi tutafutane maana si unajua Sikonge ni Wilaya? Wengine tunaishi Kisanga, wengine wanaishi Chabutwa, Wengine Isunga au Ukondamoyo, wengine Tutuo kama siyo Mole nyumbani kwa mbunge wetu Juma Nkumba........

Ila wote hao, ni lazima waje waripoti Sikonge Mahakamani, Ikulu, Wilayani, Bank, Madukani kwa waarabu kufanya shoping, Misheni kwa wa-Moravian kupata matibabu na neno la Mungu kama siyo kwa WA-MBATI kwenye kupata Wanzuki.......
Sikonge uko hapa Sikonge nilipo mie,samahani sana naomba tufahamiane mwanaharakati mwenzangu,uko wapi,unashugulika na nini n.k,trace me 0717522175
 
Back
Top Bottom