Threatening messages to CDM supporters

Ukipata nafasi ya kuongea nao wambie juhudi zao haziwezi kuzuia mvua kunyesha. Nguvu ya Chadema ni kama mvua!Wataishia kunyeshewa tu.

M.Kiti Mbowe na Katibu Mkuu Dr. Slaa chukueni hatua tafadhali mtulinde.
 
Bora waliosema ccm sio baba wala mama yangu kwa hiyo naweza kuhama wakati wowote kuanzia sasa...................hao wangekuwepo mpaka sasa (shukuru wametangulia mbele ya haki) wangekuwa wamehama na ccm hii ovu na ongo isingeendelea kudanganya watz................
Ikulu gani yenyewe imekuwa mradi wa familia ya kikwete?
 
Back
Top Bottom