UmtwaAlumbwagwe
Member
- May 24, 2012
- 54
- 10
Leo Jumapili Mlezi wa chama CDM kanda ya nyanda za juu kusini Ndugu Thomas Nyimbo anatarajiwa kufungua ofisi ya CDM Kidugala tawi la Mkeha. Jana jioni nimefika hapa Kidugala nikakuta watu wengi vijana kwa wazee wakikamilisha maandalizi kwa kufanya usafi nje ya ofisi hiyo. Kidugala ilikuwa ni ngome ya CCM lakini sasa watu wamefunguka sana hata baadhi ya viongozi Wa UWT wamevua magamba. Nitawajuzeni baadaye yanayojiri.