This week in Perspective: Kipindi kinamlenga nani?

hicho kipindi kinalenga watu wenye muono wa hali ya juu na wa uchambuzi yakinifu.
Tatizo ni lugha, kumbe elimu ya lugha iko chini sana. Tuna tatizo hapa.
 
hicho kipindi kinalenga watu wenye muono wa hali ya juu na wa uchambuzi yakinifu.
Tatizo ni lugha, kumbe elimu ya lugha iko chini sana. Tuna tatizo hapa.

tatizo watanzania wengi awajui lugha inayozungumzwa apo,hivo inawanyima fursa ya wao kuangalia
 
Kutazama vipindi vya TVT I mean TBC inabidi uwe na moyo wa ujasiri kama SImba mfalme wa wanyama. Mkuu unajiuliza "Thus Week In Perspective" inamlenga nani? Mie nalitazama hiyo channel wakati Tido yungalipo, kabla ya Tido na baada yake sina sababu za kutazama channel hiyo maana hata taarifa za habari huwezi kujua zinamlenga nani...! TBC inabidi wawe na kitengo madhubuti cha risachi kitakachotafiti nini cha kuwatangazia Watanzania badala ya kukurupuka
 
Lugha ya kiingereza itaendelea kuwa muhimu sana kwa miaka mingi ijayo. Hivyo, Watanzania wasijaribu kuikwepa kwani hasara itakuwa juu yetu. Fikiria utandawazi bila kuwepo kwa lugha ya kiingereza unaweza kuitwa utandagiza.
 
atujakaa kiingereza ni muhimu sana,kwanza inatakiwa kitiliwe mkazo kuanzia shule ya msingi harafu ndio watengeneze vipind kwa kiingereza,mfano kwa nchi kama kenya na uganda ata makonda wanaongea english ata watoto wadogo,hivo sishangai wakiwa na vipind kwa lugha ya kiingereza,lakin kwa tanzania ambao ata waalimu english aipand kwa kichwa,ukaweka vipind vyenye maana na vinavyowagusa raia wa kawaida,ukaweka kwa lugha ya kiingereza tena kwenye tv ya taifa,unategemea nini kama siyo watu kubadilisha channel na kuweka bongo fleva,au wakaweka movie za kupigana
 
Hicho kipindi wakiondoe tu! Maana hata hao wanaoalikwa wanavunja tu au mmesahau kuna mdau alishawahi weka sredi ya this week in perspective alikuwepo felix mkosamali studio ilikua full mivunjo....bora wabadirishe kiwe kwa swahili medium.
 
Hamtaki kiingereza?, ndio maana hata mikataba mingi ya kiingereza inaziweka rehani rasilimali za taifa!
 
Hiki kipindi kinaendeshwa kama vile ni semina ya wakurugenzi na highly top management leaders.
 
Hamtaki kiingereza?, ndio maana hata mikataba mingi ya kiingereza inaziweka rehani rasilimali za taifa!

mkuu ishu sio kiingereza,mbona watu wanaangalia cnn,bbc na midahalo mingi tu ya kimataifa? Tatizo ni jinsi hicho kipindi kinavyoandlia, anzia background colour/pictur ya kipndi, creativity ya host mwenyewe,studio,tbccm wenyewe etc. Watu wa media wanaweza kufafanua zaidi..hicho kipindi kiko domant kwenye creativity.
 
Tatizo letu WATZ lugha yetu tunayosema ya taifa hatuitumii ipasavyo,TUJILEKEBISHE.
 
Kutazama vipindi vya TVT I mean TBC inabidi uwe na moyo wa ujasiri kama SImba mfalme wa wanyama. Mkuu unajiuliza "Thus Week In Perspective" inamlenga nani? Mie nalitazama hiyo channel wakati Tido yungalipo, kabla ya Tido na baada yake sina sababu za kutazama channel hiyo maana hata taarifa za habari huwezi kujua zinamlenga nani...! TBC inabidi wawe na kitengo madhubuti cha risachi kitakachotafiti nini cha kuwatangazia Watanzania badala ya kukurupuka

Tehe teh, kuna jamaa watu kama wewe anawaita 'BUSH LAWYER'
 
Back
Top Bottom