Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Kibaki hivyo, ila wafungue cha kiswahili sasa.
Kibaki hivyo, ila wafungue cha kiswahili sasa.
hicho kipindi kinalenga watu wenye muono wa hali ya juu na wa uchambuzi yakinifu.
Tatizo ni lugha, kumbe elimu ya lugha iko chini sana. Tuna tatizo hapa.
kweli mkuu watu wengi wanaangamia kwa kukosa maharifa,uo mstari ata kwenye biblia upo
Mstari wa biblia unasema "watu wangu WANAANGAMIZWA kwa kukosa maarifa"
Lugha ya kiingereza itaendelea kuwa muhimu sana kwa miaka mingi ijayo. Hivyo, Watanzania wasijaribu kuikwepa kwani hasara itakuwa juu yetu. Fikiria utandawazi bila kuwepo kwa lugha ya kiingereza unaweza kuitwa utandagiza.
hivi tbc 1 ndio tv gani mbona.mimi siijui?
shirika la utangazaji tanzania
ahhh! mimi nilijua shirika la utangazaji tanzania ni ipp media
Hamtaki kiingereza?, ndio maana hata mikataba mingi ya kiingereza inaziweka rehani rasilimali za taifa!
Kutazama vipindi vya TVT I mean TBC inabidi uwe na moyo wa ujasiri kama SImba mfalme wa wanyama. Mkuu unajiuliza "Thus Week In Perspective" inamlenga nani? Mie nalitazama hiyo channel wakati Tido yungalipo, kabla ya Tido na baada yake sina sababu za kutazama channel hiyo maana hata taarifa za habari huwezi kujua zinamlenga nani...! TBC inabidi wawe na kitengo madhubuti cha risachi kitakachotafiti nini cha kuwatangazia Watanzania badala ya kukurupuka