hivi majuzi baadhi ya wabunge wetu walikuwa wakali kwenye semina pale mtoa mada alipotumia lugha ya kiingereza, wakalazimisha kiswahili kikatumika. Jambo la kujiuliza sera, na sheria wanazopitisha kule bungeni huwa zimeandikwa kwa kiingereza, hivi huwa wanatumia kiingereza kwa maslahi ya nani??