Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,344
This BMW IN NAIROBI THOUGH!
Ningependa kujua huwa anachaji wapi hiyo gari? Kwa maana nijuavyo hiyo ni BMW i8 ambayo ni plug in hybrid, maana yake ni kwamba badala ya kutumia diesel au petroli inatumia betri ambayo baada ya muda ni lazima uiweke kwenye chaja ndiyo uendeshe tena, sidhani kama Nairobi kuna mahali pa kuchajia plug in cars!
hazijagi na Power Bank?
wangekuwa wanaweka halafu bei inaongezekaHakuna kitu kama hicho labda ununue mwenyewe, ni kama vile kusema ununue gari ya diesel au petroli halafu wakupe na kituo cha mafuta cha kujazia!
Nawewe umenunua hii?
Tuliza kijambiombona ya kawaida sana!
if they advertising it, it means they have somewhere to charge it..Nimeona hii car charging station lkn ni ya magari ya Nissan. sijui kama kuna tofauti ya aina ya magari yanayo chajiwa. Wanasema inatumia solar energy kuchaji magari ya Nissan.
Electrical car makes debut in Kenya
Here is an excerpt from the website....
........The car is a low carbon transport initiative for the company that focuses on offering renewable energy solution for industries, homes and corporates. To further make the electric car utilise the available renewable energy, the company has installed a nine Kilo Watt solar car park at its headquarters in Karen, which not only provides shade, but also power to charge the car.
Utilising solar energy to charge the car has ensured that the company incurs zero costs in maintaining it. Once it is acquired, the car only needs to be charged, which means there are no other extra costs aside from maintenance........