The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

sitaki kuamini kuwa watu wanachekelea Gadafi na nchi yake kushambuliwa na na mabepari wa magharibi,,hivi Kule Somalia wamewshindwa kwenda kutuliza ila hadi iwe sehemu yenye mafuta ? hawana lolote ,hii inaonesha kuwa AU haina meno,,,,
 
Mkuu marekani haijapeleka ndege libya, nchi zilizopeleka ndege ni france, italy, denmark, uk qatar na uae.

Ndugu yangu, America ndio organizer wa hii vita. Siwezi kusema kifalu ni cha France, bunduki ni za Uingereza etc.
Ninaposema Ndege za America ninamaanisha jeshi zima lililoenda kule yaani America na washirika wake.
 
Sikushangai. Nahs umebebwa na fkra za knyonyaj, umetawaliwa tangu babu yake babu yako na bado hutak kuwa huru... Hv lini Afrìca tutakuwa "sisi"
 
Hapa ishu sio kumuacha Gadafi uwe raia wake, ishu ni kwamba kwa nini kule Ivory cost raia wanauliwa na majeshi ya Gagbo na hawa UN hawafanyi kama libya?

wewe umeingia jamvini bila kupitia jukwaa la utambulisho............

UN hawapigi Libya. Wanaopiga libya ni EU,UAE,France,Italy,UK,Denmark na USA(kwa mbali).

Hao UN unaowasema ndo wanavikosi vya kulinda amani Ivory Coast na hata sasa wapo wanamlinda Ouwatarra kwenye hoteli ya Abidjan.

Huyo Gbagbo alishakata tamaa. Anajua safari ya kwa Ocampo imeiva.
 
tuwekee hiyo the said "resolution" tuone
Originally Posted by Askari Kanzu:
Nafikiri ni kipengele hiki cha UNSC Resolution 1973 (2011) ambacho kinaidhinisha kuyatwanga magari ya Gaddafi:

4. Authorizes Member States that have notified the Secretary-General, acting nationally or through regional organizations or arrangements, and acting in cooperation with the Secretary-General, to take all necessary measures, notwithstanding paragraph 9 of resolution 1970 (2011), to protect civilians and civilian populated areas under threat of attack in the Libyan Arab Jamahiriya, including Benghazi, while excluding a foreign occupation force of any form on any part of Libyan territory, and requests the Member States concerned to inform the Secretary-General immediately of the measures they take pursuant to the authorization conferred by this paragraph which shall be immediately reported to the Security Council;
 
hivi nani kawaloga WAISLAM? kila kitu udini udini, mbona hatujawasikia mkisema udini pale ndugu zetu WAAFRIKA KULE DARFUR WAKILIUWA NA WAARABU? GADAFFI anaua raia wake hakuna udini, wenye pesa wanasema umeua inatosha sasa tunakustopisha, mnakuja na hoja za udini. hakuna udini hapa, lazima mbadilike ktk kuangalia mambo, muwe na macho. Ni lazima kuona bila kutanguliza dini.

kitu gani cha kwanza ktk familia yako jiulize kabla.

acha gadafi aondoke.mtu anaeua raia wake hafai kuwa madalakani
 
Ndugu yangu, America ndio organizer wa hii vita. Siwezi kusema kifalu ni cha France, bunduki ni za Uingereza etc.
Ninaposema Ndege za America ninamaanisha jeshi zima lililoenda kule yaani America na washirika wake.
Again mkuu ukweli ni kuwa anayespear head hii operation ni France US wanatoa support mpaka aircraft carrier ya ufaransa ya Charles de Gaule itakapofika kwenye pwani ya Libya kwa sababu tayari walikuwa na destroyer kwenye pwani ya Libya as well as ss trafalgar ya UK.
 
Originally Posted by Askari Kanzu:
Nafikiri ni kipengele hiki cha UNSC Resolution 1973 (2011) ambacho kinaidhinisha kuyatwanga magari ya Gaddafi:

4. Authorizes Member States that have notified the Secretary-General, acting nationally or through regional organizations or arrangements, and acting in cooperation with the Secretary-General, to take all necessary measures, notwithstanding paragraph 9 of resolution 1970 (2011), to protect civilians and civilian populated areas under threat of attack in the Libyan Arab Jamahiriya, including Benghazi, while excluding a foreign occupation force of any form on any part of Libyan territory, and requests the Member States concerned to inform the Secretary-General immediately of the measures they take pursuant to the authorization conferred by this paragraph which shall be immediately reported to the Security Council;

kwahiyo kwa mtazamo wako hiyo jumuiya ya kiarabu wote "wameshindwa kutafsiri" hichi na kuamua kurudi kwenye vyombo vya habari kupinga Libya kupigwa mabomu???,wakitahadharisha wao hawakukubari kuivamia Libya??
 
hivi nani kawaloga WAISLAM? kila kitu udini udini, mbona hatujawasikia mkisema udini pale ndugu zetu WAAFRIKA KULE DARFUR WAKILIUWA NA WAARABU? GADAFFI anaua raia wake hakuna udini, wenye pesa wanasema umeua inatosha sasa tunakustopisha, mnakuja na hoja za udini. hakuna udini hapa, lazima mbadilike ktk kuangalia mambo, muwe na macho. Ni lazima kuona bila kutanguliza dini.

kitu gani cha kwanza ktk familia yako jiulize kabla.

acha gadafi aondoke.mtu anaeua raia wake hafai kuwa madalakani
Haijazungumziwa ishu ya udini hapa.
Ishu ni maslahi ya kiuchumi kwa mataifa ya magharibi yaani uvamizi huu lengo lake sio democracy wala udini bali ni maslahi ya kiuchumi, baasi.
 
wewe umeingia jamvini bila kupitia jukwaa la utambulisho............

UN hawapigi Libya. Wanaopiga libya ni EU,UAE,France,Italy,UK,Denmark na USA(kwa mbali).

Hao UN unaowasema ndo wanavikosi vya kulinda amani Ivory Coast na hata sasa wapo wanamlinda Ouwatarra kwenye hoteli ya Abidjan.

Huyo Gbagbo alishakata tamaa. Anajua safari ya kwa Ocampo imeiva.
Tatizo lako unakurupuka, kati yangu na wewe nani amkaribishe mwenzie hapa jamvini?
Niliposema UN wanaiipiga Libya nilikua naamaanisha hayo mataifa unayoyasema yamepewa baraka zote kutoka UN, ndo maana UN haija condemn kile kinachofanyika libya na haya Mataifa.
 
Hehehe mkuu hii umeitoa kwenye forums za pro gaddafi? Command ya hii operation iko Naples Italy, base nyingine zinazotumika ni Sardinia na Sicily tornadoesbna typhoon za uingereza zinaruka kutoka marham raf base.

mkuu najua nachokisema,marekani anavunga hapigani libya kwa kuogopa fallout itakayofuata.
Ndege za marekani B 52 BOMBER zilishiriki kulipua viwanja vya ndege libya,nuclear assault submarine USS PROVIDENCE,Marine helcopter carrier USS kearsage iko hapo uss ponce and Barry zote ziko hapo zikurusha guided missile tomahawk kupiga target inside libya baadae wanasema we are not envolved now,they are coward punk who enjoy dropping bombs on human instead of fighting like MEN.
 
Originally Posted by Askari Kanzu:
Nafikiri ni kipengele hiki cha UNSC Resolution 1973 (2011) ambacho kinaidhinisha kuyatwanga magari ya Gaddafi:

4. Authorizes Member States that have notified the Secretary-General, acting nationally or through regional organizations or arrangements, and acting in cooperation with the Secretary-General, to take all necessary measures, notwithstanding paragraph 9 of resolution 1970 (2011), to protect civilians and civilian populated areas under threat of attack in the Libyan Arab Jamahiriya, including Benghazi, while excluding a foreign occupation force of any form on any part of Libyan territory, and requests the Member States concerned to inform the Secretary-General immediately of the measures they take pursuant to the authorization conferred by this paragraph which shall be immediately reported to the Security Council;

Hapo penye red naomba umtafsirie kwa kiswahili au kwa kilugha chao aelewe vizuri kwamba jamaa wana baraka zote za UN kwa mashambulizi yote waliyomfanyia Gadafi to date.
 
Poor Arab League....they wanted no fly zones that's enforced by dropping marshmallows, rainbows and stuffed teddy bears. How silly it is?..how do they expect no-fly zone to be enforced without tomahawk? Your false naivety is on par with your ineffectual league of dictator. Amri Mouse & Co is useless to Arab people!
 
NO outsider has any right whatsoever to interfere with the internal affairs of a sovereign nation.
This is simply all about the West's selfish demand for OIL and has absolutely NOTHING to do with the circumstances of the people of Libya...irrespective of which side of the civil uprising they variously stand.
No "slaughter of thousands" was ever mentioned, let alone 'intended' by the legitimate Libyan leader and administration...
Wilful mistranslations of Colonel Gaddafi's statements, and wildly distorted and exaggerated interpretations of them are all parts of the West's propaganda, all-too-willingly broadcast by the western media....
Really sickening stuff, the only surprise about which is that so many members of the general public have been taken-in by this vile, hugely elaborate deceit...much propped-up, of course, by the numerous anti-Gaddafi 'Libyan experts' who pollute every TV studio into which Sky, the BBC and CNN invite them...many of them of former Libyan royalist families and tribes, together with the former 'elite' families of those previous King Idris times; all of whom are determined to regain the wealth and advantage their former 'ruling-class' status once afforded them...before Colonel Gaddafi and the Libyan freedom-fighters rose up from the poverty of the masses, at last, and threw out the parasites...together with the western governments' influences, and the West's oil companies who, together, were contriving to prop them up, supporting them in both their wealth and their suppression of the ordinary people!
Thus, this present entire scenario has been engineered by The States, France and the UK, and others...planned over several years, and carefully erected and manipulated in recent weeks and days...with the blanket collusion of the Western media:
Regime change, purely in the interests of the West [a glimpse of some of the reasons for which I have just provided]...and, disgustingly indeed, the trumped-up UN authorisation makes a mockery of that very institution.
Western, sheer hypocrisy is in full egotistical flight once more...and, as with Iraq, it is very very wrong.
 
Hehehe mkuu hii umeitoa kwenye forums za pro gaddafi? Command ya hii operation iko Naples Italy, base nyingine zinazotumika ni Sardinia na Sicily tornadoesbna typhoon za uingereza zinaruka kutoka marham raf base.

mkuu najua nachokisema,marekani anavunga hapigani libya kwa kuogopa fallout itakayofuata.
Ndege za marekani B 52 BOMBER zilishiriki kulipua viwanja vya ndege libya,nuclear assault submarine USS PROVIDENCE,Marine helcopter carrier USS kearsage iko hapo uss ponce and Barry zote ziko hapo zikurusha guided missile tomahawk kupiga target inside libya baadae wanasema we are not envolved now,they are coward punk who enjoy dropping bombs on human instead of fighting like MEN.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom